Hii vita ni Makombora vs Vikwazo vya kiuchumi, mmoja anakaribia kuomba poo!

Watu mnajua vitu vizito na mnavielezea kwa ufasaha hadi vinaonekana rahisi kueleweka.Asante sana Mkuu kwa hii shule,nadhani hata aliyeongelea Digital Curency hakuwa na huu ufahamu pia.
 
Sasa huyo wa nnje anaetaka kununua atatumia njia zipi kufanya malipo? Tukubali tu hapa hivi vikwazo ni mwiba mkubwa kwa Russia,anarudishwa nyuma kwa nguvu ki uchumi.
 
Sasa huyo wa nnje anaetaka kununua atatumia njia zipi kufanya malipo? Tukubali tu hapa hivi vikwazo ni mwiba mkubwa kwa Russia,anarudishwa nyuma kwa nguvu ki uchumi.
Na naombea Mungu azidi kupigwa vikwazo vingi zaidi na ikiwezekana kma kumtandika wamtandike.
Ana ubabe wa kipumbavu na wa kizamani.
Hii inanikumbusha mgogoro wa Russia na Georgia pindi Georgia alivyotangaza kujitoa umoja wa Soviet na kujiuga UN na US Russia alipinga km anavyopinga sasa hv kwa Ukraine ila pale Georgia aliposapotiwa silaha na US Russia alichapika vibaya sana na kuiachia Georgia.
Kwahiyo watu wasihadaike na kusema Russia ataionea Ukraine atakavyo huwenda Yale ya Georgia yakajirudia.
 
Watu mnajua vitu vizito na mnavielezea kwa ufasaha hadi vinaonekana rahisi kueleweka.Asante sana Mkuu kwa hii shule,nadhani hata aliyeongelea Digital Curency hakuwa na huu ufahamu pia.
huyo kaongelea mining wakati hao wanatoa hizo kwa ambao tayari wanazo bitcoins na kwa ambao hawana serikali yenyewe inatoa currency yao kwahio hapo hata kama kuna issue ya mining atakae husika ni serikali na sio mtumiaji
 
zilipendwa
 
Sema hvyo hvyo zilipendwa.

Ilhali Mrusi wenu Mambo yanaanza kumuelemea.Kwa vikwazo anavyoendelea kupigwa asipotathmini atakua na hali ngumu ya kiuchumi Kama Iran .
Uchumi anakuja kuwazaba mabao mchina......huu mchezo hauhitaji hasira...................hii formation kama 442 mrusi anakutwanga, mchina anabeba uchumi
 
Uchumi wa China
Uchumi anakuja kuwazaba mabao mchina......huu mchezo hauhitaji hasira...................hii formation kama 442 mrusi anakutwanga, mchina anabeba uchumi
Unahusiana Nini na uchumi wa Russia!?
Unataka kuleta ya Cuba kuidindia USA eti kisa China inaipa Support mwishowe Cuba bado ikawa in starve.
Hata Kama China akiamua kuibeba Russia kiuchumi ndugu that is not enough.
Ilhali upande mkubwa wa dunia umekukataa.
 
mambo ndo kwanza yanaanza bakiza hilo povu kwa baadae hiii ndio great reset baba
 
Syria na vikwazo vyote alivyowekewa vipi umeona wameyumba? Korea kaskazin Cuba vipi
Inategemea na aina ya vikwazo, na uchumi wa nchi husika, sasa urusi anapoambiwa ndege zake ni marufuku kutumia anga la nchi za ulaya, ni sawa na huyo N.korea?urusi akipigwa marufuku kutumia dola athari zake ni sawa na za cuba?
 
Watu mnajua vitu vizito na mnavielezea kwa ufasaha hadi vinaonekana rahisi kueleweka.Asante sana Mkuu kwa hii shule,nadhani hata aliyeongelea Digital Curency hakuwa na huu ufahamu pia.
Hizo digital currency ni sawa na assets unazotarajia zitakuwa na thamani miaka 100 ijayo ila sio Sasa...

Hao Russia wangeanza kuzitumia miaka mingi sana kama zingekuwa zinafanya kazi Kwenye uchumi halisia.

80% ya wanaozitumia kwa sasa wanatumia kwenye black markets na mambo ya uhalifu(mauaji, madawa ya kulevya, child porns), sababu kuficha identity zao.
 
mrusi anarasilimali za kutosha hakuna atakaemsusia.....jua hilo, gesi itachukuliwa, mafuta yatanunuliwa na ngano watabeba
 
digital currency sio bitcoin tu blaza, mataifa mengi tu kwa sasa wanataka kuhamia huko,,, yani hata uganda anataka kuimplement hio sembuse mrusi ashindwe rudi kalale
 
Pro Russia ukiwakumbushia kile kichapo walichokipata Georgia,wanabaki kutoa povu hatari,Dunia ya leo hii unaleta ubabe wa kizamani wa 80's huko.Mara anatishia kutumia Nukes,utadhani anazo peke yake,ajaribu sasa aone kama Dunia itamtizama tu,lile somo la Georgia naona hakulipata vizuri,kupitia Ukraine nadhani ataelewa zaidi,wenzie wanatumia akili zaidi wanamtandika kwa vikwazo huku wanapop Champagne wakati yeye huku anapigana vita na wakati huo huo anapambana na vikwazo.Unaweza kuwa na maguvu mengi lakini usiwe na akili ya kuyatumia yakakuletea manufaa kwako.
 
huyo kaongelea mining wakati hao wanatoa hizo kwa ambao tayari wanazo bitcoins na kwa ambao hawana serikali yenyewe inatoa currency yao kwahio hapo hata kama kuna issue ya mining atakae husika ni serikali na sio mtumiaji
Asante kwa elimu hii pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…