chuki binafsi ni kitu mbaya sana kuishi nacho moyoni, ni kama kutu tu,
Front page zichafuke ,HIi imenishangaza yaani akili yangu imegoma kuelewa.
Yaani, mtu alikuwa anaelekea kujiandiandikisha kupiga kura, huko barabarani msafara wake umesababisha watu na magari kusimamishwa ili kuruhusu “mheshimiwa awahi” aendako (hili ni la ajabu pia lakini tumeshalizoea hakuna namna ya kulibadilisha kwa sasa)
Kilichonistaajabisha hadi kufikia kuandika huu uzi ni yeye baada ya kufika huko kwenye kujiandikisha eti akapanga foleni, yaani eti aliowakuta hawakumpisha.
Naona kama vile wananchi wamekosa adabu, iweje ushindwe kumpisha mheshimiwa apite mbele wakati huko barabarani watu wamempisha na kusababisha kuchelewa kwenye shughuli zao na wengine wagonjwa wamechelewa kufika hospitali kwa wakati kupata matibabu.
View attachment 3122399
kwani mnazo bas ni vileCCM huwa wanaona watu wote hawana akili
AiseeHiyo ndo raha ya kutawala Maiti,....
HayoHIi imenishangaza yaani akili yangu imegoma kuelewa.
Yaani, mtu alikuwa anaelekea kujiandiandikisha kupiga kura, huko barabarani msafara wake umesababisha watu na magari kusimamishwa ili kuruhusu “mheshimiwa awahi” aendako (hili ni la ajabu pia lakini tumeshalizoea hakuna namna ya kulibadilisha kwa sasa)
Kilichonistaajabisha hadi kufikia kuandika huu uzi ni yeye baada ya kufika huko kwenye kujiandikisha eti akapanga foleni, yaani eti aliowakuta hawakumpisha.
Naona kama vile wananchi wamekosa adabu, iweje ushindwe kumpisha mheshimiwa apite mbele wakati huko barabarani watu wamempisha na kusababisha kuchelewa kwenye shughuli zao na wengine wagonjwa wamechelewa kufika hospitali kwa wakati kupata matibabu.
View attachment 3122399
Hayo ni maigizo ya wanasiasa,hakuna la kushangaza hapo.Tunapoelekea uchaguzi lazima usikie maigizo kila sehemu.Mara,kiongozi fulani aingia kwenye mkutano kwa baiskeli,mara aingia mgahawani na kula na wateja huku amekalia benchi,mara,kiongozi fulani asimamisha msafara wake ili watembea kwa miguu wapite....HIi imenishangaza yaani akili yangu imegoma kuelewa.
Yaani, mtu alikuwa anaelekea kujiandiandikisha kupiga kura, huko barabarani msafara wake umesababisha watu na magari kusimamishwa ili kuruhusu “mheshimiwa awahi” aendako (hili ni la ajabu pia lakini tumeshalizoea hakuna namna ya kulibadilisha kwa sasa)
Kilichonistaajabisha hadi kufikia kuandika huu uzi ni yeye baada ya kufika huko kwenye kujiandikisha eti akapanga foleni, yaani eti aliowakuta hawakumpisha.
Naona kama vile wananchi wamekosa adabu, iweje ushindwe kumpisha mheshimiwa apite mbele wakati huko barabarani watu wamempisha na kusababisha kuchelewa kwenye shughuli zao na wengine wagonjwa wamechelewa kufika hospitali kwa wakati kupata matibabu.
View attachment 3122399
Vichekesho kila mahali😄Hayo
Hayo ni maigizo ya wanasiasa,hakuna la kushangaza hapo.Tunapoelekea uchaguzi lazima usikie maigizo kila sehemu.Mara,kiongozo fulani aingia kwenye mkutano kwa baiskeli,mara aingia mgahawani na kula na wateja huku amelalia benchi,mara,kiongozi fulani asomamisha msafara wake ili watembea kwa miguu wapite....
Drama kila ukikaribia uchaguzi.
Kwani hata wewe na mumeo hamna akili?kwani mnazo bas ni vile
Basi kazi ipoHayo ni sawa na maigizo ya BONGO MOVIE
Kama wewe umewaza hivyo basi ukweli hao ni TISS hasa huyo mbaba wa mbele alie beba picha ya sa100. Picha ya nini sasa kama sio ushambaKuna wajinga watasema hadi hao vikongwe kwenye foleni ni TISS
😀 😀 😀 😀Wamguse Bega hapo waone ndy watajua yuko kwenye foleni au la
😄
Ova
Maigizo tu hayokusababisha
wangempisha usingepata ya kuandikaHIi imenishangaza yaani akili yangu imegoma kuelewa.
Yaani, mtu alikuwa anaelekea kujiandiandikisha kupiga kura, huko barabarani msafara wake umesababisha watu na magari kusimamishwa ili kuruhusu “mheshimiwa awahi” aendako (hili ni la ajabu pia lakini tumeshalizoea hakuna namna ya kulibadilisha kwa sasa)
Kilichonistaajabisha hadi kufikia kuandika huu uzi ni yeye baada ya kufika huko kwenye kujiandikisha eti akapanga foleni, yaani eti aliowakuta hawakumpisha.
Naona kama vile wananchi wamekosa adabu, iweje ushindwe kumpisha mheshimiwa apite mbele wakati huko barabarani watu wamempisha na kusababisha kuchelewa kwenye shughuli zao na wengine wagonjwa wamechelewa kufika hospitali kwa wakati kupata matibabu.
View attachment 3122399
Kwahiyo unataka kusemaje mkuu?wangempisha usingepata ya kuandika
Wanatuona sie watoto au sioMkuu ujaushtukia huo mchezo hio ni danganya toto.
Aisee una logic ila kama mtu hana D ya hesabu hawez elewa. Kawachelewesha watu kwenda shule, kanisani, hospitali, kwenye biashara zako ili awahi foleni ya kujiandikisha aje kupanga mstari akiwa kama mtu wa 20 ivi , this is so illogical na hii inaonyesha kuwa hawa jamaa wako kwa ajili ya maslai yao binafsiMimi sina tatizo na kutii mamlaka, nimeshangazwa na hao wapanga foleni kwanini wasimpishe mheshimiwa ahudumiwe haraka kama ambavyo wananchi wengine barabarani walimpisha bila tatizo?