Hii Yanga ya Sasa inaanza kuingia kwenye Mioyo ya Waafrika kutoka kila pembe ya Afrika

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,224
Reaction score
4,472
Yanga hajawah kutolewa na Afika isiumie.
Jana Yanga katolewa Robo kwa wizi wa wazi Afika nzima saiv inapiga kelele kua vijana wa jangwani walionewa.

Pembe zote za Afrika saiv wanaisemea Yanga.

Las season Yanga second Leg Ya Final ya CAFCC Alifanyiwa uhuni mbele ya Motsepe kule Algeria Afika nzima plus magwiji wa soka Afrika walilalamika kua ule ni uhuni.. kuna mtu amesahau?

Hii Team ni uhakika inateka Nyoyo za Waafrika na soon itakua Moja ya Team zinazofatiliwa sana Afrika Acha rekodi za kufatiliwa za kubumbwa NO yani soon itakua Team akiulizwa mtoto wa Casablanca wa Miaka 4 anaitaja YANGA akiulizwa mtoto wa Tunis Anaisema..

Hii ndio maana ya YOUNG AFRICANS💚💛
 
Hii ndio maana ya YOUNG AFRICANS[emoji172][emoji169]
kwahyo mda huu tukienda Cairo timu inayozungumziwa ni vyura acha kuota wew amka kumekucha
 
Kwa Cairo kusema kweli umepata. Kwa kule klabu inayozungumzwa zaidi saa hizi ni iliyotandikwa nje ndani.

Kwa Cairo bwana kolo uko sawa jamaa aamke tu kumekucha
 
Kwamba pale sudani na Somalia saiz wanalalamika yanga kudinywa na VAR AHAAAAAAAAAAAAAAAA AHAHAHHAHAHAHAJAJA😁😁😁😁
 
Yanga hajawah kutolewa na Afika isiumie.
Jana Yanga katolewa Robo kwa wizi wa wazi Afika nzima saiv inapiga kelele kua vijana wa jangwani walionewa.

Pembe zote za Afrika saiv wanaisemea Yanga.

Las season Yanga second Leg Ya Final ya CAFCC Alifanyiwa uhuni mbele ya Motsepe kule Algeria Afika nzima plus magwiji wa soka Afrika walilalamika kua ule ni uhuni.. kuna mtu amesahau?

Hii Team ni uhakika inateka Nyoyo za Waafrika na soon itakua Moja ya Team zinazofatiliwa sana Afrika Acha rekodi za kufatiliwa za kubumbwa NO yani soon itakua Team akiulizwa mtoto wa Casablanca wa Miaka 4 anaitaja YANGA akiulizwa mtoto wa Tunis Anaisema..

Hii ndio maana ya YOUNG AFRICANS💚💛
AFIKA! NYAMBAFU
 
Hatuna la kujifunza kwa timu ya hovyo kolouzdad
Na mngeshinda nyie UTOPOLO, sina shaka mngekodi hata ndege kuzungusha BANGO Nchi nzima kutangaza "KUMKANDA " Mamelod ! Kukong'otwa kwenu, kumeepushwa mengi! Tusingepumua na NYUZI mpya za kusifu na kuponda upande wa pili za akina Labani og kila baada ya nusu saa!
 
Huwezi ipangia YANGA ama mashabiki wa YANGA wafanye nini, kaa kwa kutulia uone matendo yao... Uendelee kuteseka nafsi na moyo
 
Huyo mwehu hajanywa sumu kweli sijaona mada zake siku nzima leo na si kawaida ..
 
Back
Top Bottom