Hii Yanga ya Sasa inaanza kuingia kwenye Mioyo ya Waafrika kutoka kila pembe ya Afrika

Yanga hajawah kutolewa na Afika isiumie.
Jana Yanga katolewa Robo kwa wizi wa wazi Afika nzima saiv inapiga kelele kua vijana wa jangwani walionewa.

Pembe zote za Afrika saiv wanaisemea Yanga.

Las season Yanga second Leg Ya Final ya CAFCC Alifanyiwa uhuni mbele ya Motsepe kule Algeria Afika nzima plus magwiji wa soka Afrika walilalamika kua ule ni uhuni.. kuna mtu amesahau?

Hii Team ni uhakika inateka Nyoyo za Waafrika na soon itakua Moja ya Team zinazofatiliwa sana Afrika Acha rekodi za kufatiliwa za kubumbwa NO yani soon itakua Team akiulizwa mtoto wa Casablanca wa Miaka 4 anaitaja YANGA akiulizwa mtoto wa Tunis Anaisema..

Hii ndio maana ya YOUNG AFRICANS💚💛
Mnendelea kupunguza maumivu ya kutolewa robo fainali.
 
Wakati timu inaondoka kwenye Pretoria, msemaji wa Yanga, Ali Kamwe, alisema kuwa Yanga inaenda kuweka historia Afrika. Alikuwa sahihi; goli la Yanga lililokataliwa limeongelewa kutoka sehemu zote za Afrika kwa zaidi ya siku tatu mfululizo tangu mchezo uishe.

Yanga imeweka historia kweli. Huyo refa huenda hatakuja kupata mechi nzuri tena kama hii aliyovurunda.
 
Hii mada ndi9 unaiona jana
Huu msiba sijui utaisha lini kila siku watu wanaanzisha vilio tu, ila tatizo ni marehemu aliwaaminisha watu kuwa ana afya njema ila ghafla tu kapata mshtuko kafa
Wewe wakat ipo Week saiv.
Punguza Upopoma
 
Wakati timu inaondoka kwenye Pretoria, msemaji wa Yanga, Ali Kamwe, alisema kuwa Yanga inaenda kuweka historia Afrika. Alikuwa sahihi; goli la Yanga lililokataliwa limeongelewa kutoka sehemu zote za Afrika kwa zaidi ya siku tatu mfululizo tangu mchezo uishe.

Yanga imeweka historia kweli. Huyo refa huenda hatakuja kupata mechi nzuri tena kama hii aliyovurunda.
The Club Above All
 
Back
Top Bottom