Hiki anachofanya Masanja Mkandamizaji sio sahihi kabisa

Wakristo sijui kwann kila kukicha wanageuzwa fursa, imefikia wakat wamekuwa Kama mgodi usioisha madini
 
Masanja pale hamna kitu kuna kitu nyuma ya pazia trust ze process
 
Huyajui makanisa rasmi? Basi tuishie hapo hapo.
 
Kureason na mlokolole ni kazi. Utakesha. Tofautisha mtu aliekaririshwa imani na mtu ambae yuko free. Hapa unahangaika. Mlokole uki reason nae anakuona we ndo unakosea badala ya kureason na ww
 
Hujui unachoongea.
 
Jibu hoja hapo juu. Hoja hujibiwa kwa hoja wewe ndio umekaririshwa imani isiyo na matendo. Pole sana.
Kureason na mlokolole ni kazi. Utakesha. Tofautisha mtu aliekaririshwa imani na mtu ambae yuko free. Hapa unahangaika. Mlokole uki reason nae anakuona we ndo unakosea badala ya kureason na ww
 
Naipenda sana dini ya Kiislam huu uzuzu na uzwazwa haupo. Kila mtu anajifungulia kanisa lake kama nini sijui.
Mzee mbona bar zinafunguliwa sana hukasiriki. Tuna shida kama wakristo, kunyoosheana vidole. Acha Kanisa la Efeso libaki kubwa Efeso na Leodikia liwe leodikia, Yeye apitaye kwenye vibarua saba vya taa atalihukumu.

Mtume Paulo alikutana na watu waliokuwa wanahubiri tofauti nae akasema Kikubwa Kristo anahubiriwa ikiwa ni kwa Hila au la. Relax bro huwezi shindana na Nyakati na Nabii. Sasa utimilifu wa unabii unaendelea. Unapaswa kila mtu aisikie habari ya Kristo hata kama inahubiriwa kwa mzaa na ndio maana zinapigwa nyimbo za Kikristo hata vilabuni, kwenye mabasi n.k
 
Amina ubarikiwe kwa Neno zuri. Watu wanashindwa tambua kubwa Ulimwengu unaendeshwa kwa mambo mawi. Neno(Unabii) na Nyakati. Sasa ni utimilivu wa unabii wa Injili kuhubiriwa kwa Kila kiumbe. Injili inahubiriwa sasa na ndio maana utaona nyimbo za kikristo zinapigwa Vilabuni, kwenye mabasi hata sherehe za wenzetu watoto wa Ajiri.
 
Mapepo na mashetani yapo afrika tu hasa hasa Tanzania kuloja vilaza.
Yapo kila sehemu bro. Unafuatiliaga mahubiri ya watumishi wa nje ya nchi au? Mbona wazungu, waarabu, wachina, wafilipino n.k huanguka mapepo. Ebu fuatilia bwana mkubwa acha kukashfu na kuongea usivyovijua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…