Hiki anachofanya Masanja Mkandamizaji sio sahihi kabisa

Hiki anachofanya Masanja Mkandamizaji sio sahihi kabisa

Mbona tunafanya sana hivyo. Mimi binafsi natumika kuhubiri na kuombea watu huku kijijini kwetu. Tuna timu ya kuhubiri kwenye masoko, vilabuni, majumbani, stendi za magari n.k Pia tuna ratiba za kwenda mahospitali kuombea wagonjwa. Nafikiri nyie mmekariri kuwa watumishi wa Mungu ni akina Mwamposa n.k mnaowaona kwenye TV.
Kwanini wasiende mahospital kuna wagonjwa wengi wanahitaji kuombewa wapone warudi majumbani
 
UTAPELI WA WACHUNGAJI KAMA ROHO MTAKATIFU AKISHUKA HAKUNA ATAKAYEKUMBUKA KUREKODI VIDEO.

UKIONA WATU WANAOMBEA HUKU WANAREKODI UJUE NI WAJASIRIAMALI WAPO KAZINI KUJENGA BRAND.
Upo sahihi kiongozi. Shida ya sasa ni kufanya mambo ya Kiroho kwa jinsi ya Kimwili. Tunatakiwa kumtangaza Kristo yeye ndio brand kubwa na sio kujitangaza sisi wenyewe.
 
Bro tunafanya sana hiyo huduma. Tunaenda mahospitalini na kuombea wagonjwa. Shida kubwa ni kuamini watumishi pekee wa Mungu ni hao mnaowaona kwenye TV.
Tunaongelea wale wagonjwa wanaokwenda kanisani kuombewa na papo hapo kupona.....
Kwa nini wale wachungaji km kina Gwajima wasiende hospital na kuponya wagonjwa waliolala vitandani? ... au kwenda mortuary kuwafufua marehemu? Mpaka amfufulie kanisani bila haya!
 
Kwanza usinibwatukie. Nikuulize kitu labda utajielewa na kuacha kubwatuka. Wakati wa ukuaji wako (utoto wako) uliwahi kushuhudia uotaji wa haya makanisa mitaani kama ilivyo sasa? Kulikuwa na makanisa rasmi na yanajulikana. Nadhani jibu umelipata.
Mimi sidhani kama kuna kosa la kuwa na makanisa mengi. Huo ni utimilifu wa unabii. Kikubwa Kristo anahubiriwa basi. Utaratibu wa kwenda kufundisha na kuhubiri mashuleni upo na ulikuwepo toka zamani. Shule nyingi Ijumaa huwa kuna kipindi cha Dini. Ni vyema kuwalea watoto wetu katika misingi na hofu ya Mungu. Mimi naona kasoro hapa ni kuwarekodi na kuweka mtandaoni. Masuala ya Imani yanaenda kwa hekima na utaratibu.

Tatizo kubwa la watumishi vijana ni kutoandaliwa katika maadili ya kutumika. Hii inaweza sababishwa na kutokumtii Mungu au tamaa binafsi za kimwili au kiburi au kukosa malezi. Mimi natumika chini ya Mchungaji anayenilea, najua nitakuwa Mchungaji pia najua kuna "miiko" ya utumishi wa Mungu. Mungu aliponiita katika utumishi yeye mwenyewe alinifundisha "do" and "don't" hiki ni kitu muhimu kwani hakuna kitu duniani kisicho na utaratibu. Kukosa utaratibu ndio chanzo cha haya yote.

Vijana wengi wanaoingia kwenye Utumishi sasa hawajitambui ndio maana kuna feel free vaa, kunywa, fanya, nyoa utakavyo Mungu haangalii Mwili anaangalia moyo. Huo ni upotoshaji, kila kitu kina utaratibu wake "Miiko"
 
Naona unakuza mambo na kulazimisha ubishani. Umesema hatuendi nikakwambia tunaenda tena sana. Sasa umehamisha unasema wagonjwa wanaenda kwa akina Gwajima. Hawajakatazwa kwenda. Pia kuna kosa watu wengi hawalioni. Hakuna mwanadamu anayeponya, ila ni Mungu. Gwajima and cos hawaponyi ila Mungu ndio mponyaji.

Bro uponyaji wa kimungu una "Principle" ambayo ni "Imani" na kuna imani za namna tatu ili Mtu apokee uponyaji.
i. Imani ya Muombeaji
ii. Imani ya muombewaji
iii. Imani ya Yesu Kristo. Hapa anajifunua mwenyewe.

Yesu yupo na ni halisi. Mimi nipo kijiji kwetu na tunafanya sana hizo huduma na Bwana Yesu anajitwalia utukufu.
Tunaongelea wale wagonjwa wanaokwenda kanisani kuombewa na papo hapo kupona.....
Kwa nini wale wachungaji km kina Gwajima wasiende hospital na kuponya wagonjwa waliolala vitandani? ... au kwenda mortuary kuwafufua marehemu? Mpaka amfufulie kanisani bila haya!
 
Naona unakuza mambo na kulazimisha ubishani. Umesema hatuendi nikakwambia tunaenda tena sana. Sasa umehamisha unasema wagonjwa wanaenda kwa akina Gwajima. Hawajakatazwa kwenda. Pia kuna kosa watu wengi hawalioni. Hakuna mwanadamu anayeponya, ila ni Mungu. Gwajima and cos hawaponyi ila Mungu ndio mponyaji.

Bro uponyaji wa kimungu una "Principle" ambayo ni "Imani" na kuna imani za namna tatu ili Mtu apokee uponyaji.
i. Imani ya Muombeaji
ii. Imani ya muombewaji
iii. Imani ya Yesu Kristo. Hapa anajifunua mwenyewe.

Yesu yupo na ni halisi. Mimi nipo kijiji kwetu na tunafanya sana hizo huduma na Bwana Yesu anajitwalia utukufu.
Unazungumziaje Gwajima kumfufua mtu kanisani?
 
Kureason na mlokolole ni kazi. Utakesha. Tofautisha mtu aliekaririshwa imani na mtu ambae yuko free. Hapa unahangaika. Mlokole uki reason nae anakuona we ndo unakosea badala ya kureason na ww
Hapana ndugu yangu labda walokole wasiojitambua ila wanaojitambua hawayumbishwi japo nayo ni mafunuo na neema ya kimungu iwe juu yako. Mimi nimeokoka muda tu na ninajua taratibu za kiimani sidhani kama kuna mtu atanibabaisha kwa jambo lolote kwa sasa. Ukikosa utulivu wa kiroho, utayumbishwa na kuteseka sana.
 
Unazungumziaje Gwajima kumfufua mtu kanisani?
Ni kosa kwa mtumishi wa Mungu kumsema mtumishi mwingine. Acha Kanisa la Leodikia libaki kuwa Leodikia na Kanisa la Efeso kuwa la Efeso. Alitakiwa kusemea huduma za mwingine. Wakati Yesu anawatokea Petro na Yohana walipokuwa wanavua na Yesu kumrudisha Petro baada ya kumkana mara tatu. Petro alimgusia Yohana lakini majibu ya Yesu yalikuwa Petro abaki kwenye Utumishi wake Binafsi.
Yohana Mtakatifu 21:15-23.

Nachofahamu mimi agizo la Yesu kwa waamini na hii ni kwa yoyote anayeamini hata wewe ni kuponya wagonjwa,kutoa pepo, kufufua wafu n.k
Mathayo Mtakatifu 10:1,8

...
 
Uwe na siku njema mtumishi wa bwana.[emoji114]
 
Kuna video imesambaa mtandaoni ikimuonyesha Masanja Mkandamizaji na vijana wengine nadhani ni wafuasi wake katika kanisa lake lile liko pale Leaders club. Clip inaonyesha wako ktk shule fulani nmeshindwa kujua ni shule gani exactly lakini kwa mazingira inaweza kuwa Arusha, anaonekana Masanja anaomba na watoto wanaanguka kimapepo.

Hii kitu sio sahihi kabisa kwa mazingira ya eneo la elimu na pia kwa mazingira ya watoto wadogo. Sijui uongozi wa shule waliweka wapi akili na fikra zao kuruhusu hili.

Binafsi nmeona ni jambo lisilo na mantiki kabisa. Sioni kabisa logic ya hii kitu kabisa. Inaweza kuleta madhara ya kisaikolojia hapo baadae kwa wanafunzi na hata shule husika pia.

Tunajua jinsi baadhi ya watu wanaojiita watumishi wa Mungu kutumia nguvu tofauti tofauti kujifanya wanakemea mapepo na watu wakianguka ovyo, huwa sijui lengo hasa ni lipi lakii kwa watu wazima wenye akili timamu ambayo hawajapelekwa pale kwa bakora, walienda kwa matakwa yao ni sawa.

Lakini kwa watoto wadogo kama wale hakika sio jambo sahihi kabisa. Unless hiyo shule iwe na shida fulani inayohitaji maombi kama yaliyofanywa na Masanja na watu wake.

Lakini kwa uchunguzi kidogo nimebaini ni kama tour huyu Masanja anafanya katika mashule kufanya anachokifanya. Hapa namaanisha kuzunguka katika mashule na kuombea na watoto kuanguka ovyo. Nadhani si sahihi na shule sio eneo sahihi kwa haya anayofanya Masanja.

Naona ni busara kwa wenye mamlaka kuzuia hii kitu kufanyika katika mashule.
Kumlaumu Masanja kwa akifanyacho huku ukiwaacha Wakongwe wengine kama wa Kawe, Ubungo na Mwenge ni Unafiki mkubwa na Chuki kubwa iliyojaa Wivu uliyonayo Kwake.

Kwani umeambiwa hawa Watoto katika Makanisa ya hawa Wakongwe wengine wa Imani hizi za Kitapeli nchini Tanzania hasa Mkoani Dar es Salaam huwa hawaendi huko?

Kutokana na Waumini wengi wa Kitanzania kupenda zaidi Miujiza badala ya Neno la Mungu lenye Thamani ndilo limefanya hawa akina Masanja na wengine watumie mwanya huu Kuwadanganya Kiimani huku wakijipatia Pesa zao kwa njia rahisi sana.

Watanzania wengi wanaokwenda katika haya Makanisa ya Kiroho si kweli kwamba huwa na Mapepo bali wote wana matatizo makubwa ya Kisaikolojia kutokana na Ugumu wa Maisha na kupotea kwa Utaratibu mzuri wa Kiustawi hasa katika Familia.

Kilichopo sasa na nakuomba Chunguza ni kwamba Watu wengi wanaouhudhuria haya Makanisa ya Kiroho wanaanza kupatwa na matatizo ya Akili kuanzia katika Kauli zao na hata Matendo yao kama umebahatika Kukaa nao.

Acheni hawa Wachungaji wa Imani hizi za Kitapeli wawakamue ipasavyo Pesa zao ili waendelee kuwa Masikini na Wendawazimu huku hao Wachungaji wakiendelea tu kuwa Matajiri kiasi kwamba kuwa mwingine ana Helikopta yake na mwingine hayuko mbali Kununua Meli yake.
 
Kuna video imesambaa mtandaoni ikimuonyesha Masanja Mkandamizaji na vijana wengine nadhani ni wafuasi wake katika kanisa lake lile liko pale Leaders club. Clip inaonyesha wako ktk shule fulani nmeshindwa kujua ni shule gani exactly lakini kwa mazingira inaweza kuwa Arusha, anaonekana Masanja anaomba na watoto wanaanguka kimapepo.

Hii kitu sio sahihi kabisa kwa mazingira ya eneo la elimu na pia kwa mazingira ya watoto wadogo. Sijui uongozi wa shule waliweka wapi akili na fikra zao kuruhusu hili.

Binafsi nmeona ni jambo lisilo na mantiki kabisa. Sioni kabisa logic ya hii kitu kabisa. Inaweza kuleta madhara ya kisaikolojia hapo baadae kwa wanafunzi na hata shule husika pia.

Tunajua jinsi baadhi ya watu wanaojiita watumishi wa Mungu kutumia nguvu tofauti tofauti kujifanya wanakemea mapepo na watu wakianguka ovyo, huwa sijui lengo hasa ni lipi lakii kwa watu wazima wenye akili timamu ambayo hawajapelekwa pale kwa bakora, walienda kwa matakwa yao ni sawa.

Lakini kwa watoto wadogo kama wale hakika sio jambo sahihi kabisa. Unless hiyo shule iwe na shida fulani inayohitaji maombi kama yaliyofanywa na Masanja na watu wake.

Lakini kwa uchunguzi kidogo nimebaini ni kama tour huyu Masanja anafanya katika mashule kufanya anachokifanya. Hapa namaanisha kuzunguka katika mashule na kuombea na watoto kuanguka ovyo. Nadhani si sahihi na shule sio eneo sahihi kwa haya anayofanya Masanja.

Naona ni busara kwa wenye mamlaka kuzuia hii kitu kufanyika katika mashule.
Acha watu na dini zao,acha kuwashwa washwa
 
Uko sahihi ndugu yangu. Asante sana.
Amina ubarikiwe kwa Neno zuri. Watu wanashindwa tambua kubwa Ulimwengu unaendeshwa kwa mambo mawi. Neno(Unabii) na Nyakati. Sasa ni utimilivu wa unabii wa Injili kuhubiriwa kwa Kila kiumbe. Injili inahubiriwa sasa na ndio maana utaona nyimbo za kikristo zinapigwa Vilabuni, kwenye mabasi hata sherehe za wenzetu watoto wa Ajiri.
 
Nani alikudanganya kwamba kukemea pepo kwa jina ka Yesu ni kazi ya makanisa ya mitaani ? Unaweza kuniambia hapa nini maana ya makanisa ya mitaani ? Kazi ya kukemea pepo iliagizwa na kufanywa na Yesu mwenyewe, leo unatuambiaje wewe ? Kama huna cha kuposti ni bora ukaacha kuandika upuuzi kama huu. Ninakushauri uokoke ili Yesu awe Bwana na Mwokozi wako.
Matapeli tu nyinyi! Hamna lolote!!! Karne ya 21 hii bado mnawaibia tu watu kupitia hayo mazingaombwe yenu! Masanja ni mchekeshaji tu wa siku zote! Hana tofauti na wachekeshaji wenzake akina Joti, Mpoki, Kingwendu, nk.
 
Acheni watoto wadogo waje kwangu maana ufalme wa Mungu ni wao.
 
Back
Top Bottom