Kinengunengu
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 1,716
- 4,375
Kwanini wasiende mahospital kuna wagonjwa wengi wanahitaji kuombewa wapone warudi majumbani
Bro tunafanya sana hiyo huduma. Tunaenda mahospitalini na kuombea wagonjwa. Shida kubwa ni kuamini watumishi pekee wa Mungu ni hao mnaowaona kwenye TV.Haijawahi , na haitawahi tokea" wale ni wagonjwa halisi. ..sio staged.
Upo sahihi kiongozi. Shida ya sasa ni kufanya mambo ya Kiroho kwa jinsi ya Kimwili. Tunatakiwa kumtangaza Kristo yeye ndio brand kubwa na sio kujitangaza sisi wenyewe.UTAPELI WA WACHUNGAJI KAMA ROHO MTAKATIFU AKISHUKA HAKUNA ATAKAYEKUMBUKA KUREKODI VIDEO.
UKIONA WATU WANAOMBEA HUKU WANAREKODI UJUE NI WAJASIRIAMALI WAPO KAZINI KUJENGA BRAND.
Tunaongelea wale wagonjwa wanaokwenda kanisani kuombewa na papo hapo kupona.....Bro tunafanya sana hiyo huduma. Tunaenda mahospitalini na kuombea wagonjwa. Shida kubwa ni kuamini watumishi pekee wa Mungu ni hao mnaowaona kwenye TV.
Mimi sidhani kama kuna kosa la kuwa na makanisa mengi. Huo ni utimilifu wa unabii. Kikubwa Kristo anahubiriwa basi. Utaratibu wa kwenda kufundisha na kuhubiri mashuleni upo na ulikuwepo toka zamani. Shule nyingi Ijumaa huwa kuna kipindi cha Dini. Ni vyema kuwalea watoto wetu katika misingi na hofu ya Mungu. Mimi naona kasoro hapa ni kuwarekodi na kuweka mtandaoni. Masuala ya Imani yanaenda kwa hekima na utaratibu.Kwanza usinibwatukie. Nikuulize kitu labda utajielewa na kuacha kubwatuka. Wakati wa ukuaji wako (utoto wako) uliwahi kushuhudia uotaji wa haya makanisa mitaani kama ilivyo sasa? Kulikuwa na makanisa rasmi na yanajulikana. Nadhani jibu umelipata.
Tunaongelea wale wagonjwa wanaokwenda kanisani kuombewa na papo hapo kupona.....
Kwa nini wale wachungaji km kina Gwajima wasiende hospital na kuponya wagonjwa waliolala vitandani? ... au kwenda mortuary kuwafufua marehemu? Mpaka amfufulie kanisani bila haya!
Unazungumziaje Gwajima kumfufua mtu kanisani?Naona unakuza mambo na kulazimisha ubishani. Umesema hatuendi nikakwambia tunaenda tena sana. Sasa umehamisha unasema wagonjwa wanaenda kwa akina Gwajima. Hawajakatazwa kwenda. Pia kuna kosa watu wengi hawalioni. Hakuna mwanadamu anayeponya, ila ni Mungu. Gwajima and cos hawaponyi ila Mungu ndio mponyaji.
Bro uponyaji wa kimungu una "Principle" ambayo ni "Imani" na kuna imani za namna tatu ili Mtu apokee uponyaji.
i. Imani ya Muombeaji
ii. Imani ya muombewaji
iii. Imani ya Yesu Kristo. Hapa anajifunua mwenyewe.
Yesu yupo na ni halisi. Mimi nipo kijiji kwetu na tunafanya sana hizo huduma na Bwana Yesu anajitwalia utukufu.
Hapana ndugu yangu labda walokole wasiojitambua ila wanaojitambua hawayumbishwi japo nayo ni mafunuo na neema ya kimungu iwe juu yako. Mimi nimeokoka muda tu na ninajua taratibu za kiimani sidhani kama kuna mtu atanibabaisha kwa jambo lolote kwa sasa. Ukikosa utulivu wa kiroho, utayumbishwa na kuteseka sana.Kureason na mlokolole ni kazi. Utakesha. Tofautisha mtu aliekaririshwa imani na mtu ambae yuko free. Hapa unahangaika. Mlokole uki reason nae anakuona we ndo unakosea badala ya kureason na ww
Sioni kosa hapoHayo hayakua maombi? Labda unataka serikali ipinge marufuku Dini za wenzetu, ndo jinsi wanavo omba brother
Ni kosa kwa mtumishi wa Mungu kumsema mtumishi mwingine. Acha Kanisa la Leodikia libaki kuwa Leodikia na Kanisa la Efeso kuwa la Efeso. Alitakiwa kusemea huduma za mwingine. Wakati Yesu anawatokea Petro na Yohana walipokuwa wanavua na Yesu kumrudisha Petro baada ya kumkana mara tatu. Petro alimgusia Yohana lakini majibu ya Yesu yalikuwa Petro abaki kwenye Utumishi wake Binafsi.Unazungumziaje Gwajima kumfufua mtu kanisani?
Uwe na siku njema mtumishi wa bwana.[emoji114]Ni kosa kwa mtumishi wa Mungu kumsema mtumishi mwingine. Acha Kanisa la Leodikia libaki kuwa Leodikia na Kanisa la Efeso kuwa la Efeso. Alitakiwa kusemea huduma za mwingine. Wakati Yesu anawatokea Petro na Yohana walipokuwa wanavua na Yesu kumrudisha Petro baada ya kumkana mara tatu. Petro alimgusia Yohana lakini majibu ya Yesu yalikuwa Petro abaki kwenye Utumishi wake Binafsi.
Yohana Mtakatifu 21:15-23.
Nachofahamu mimi agizo la Yesu kwa waamini na hii ni kwa yoyote anayeamini hata wewe ni kuponya wagonjwa,kutoa pepo, kufufua wafu n.k
Mathayo Mtakatifu 10:1,8
...
Huwezi wakuta huko Ni makanjanja wa diniKwanini wasiende mahospital kuna wagonjwa wengi wanahitaji kuombewa wapone warudi majumbani
Boss mbona tunaenda sana.Huwezi wakuta huko Ni makanjanja wa dini
Mimi Ni mkristo Ila Hawa Jamaa siwakubali kabisa
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Kumlaumu Masanja kwa akifanyacho huku ukiwaacha Wakongwe wengine kama wa Kawe, Ubungo na Mwenge ni Unafiki mkubwa na Chuki kubwa iliyojaa Wivu uliyonayo Kwake.Kuna video imesambaa mtandaoni ikimuonyesha Masanja Mkandamizaji na vijana wengine nadhani ni wafuasi wake katika kanisa lake lile liko pale Leaders club. Clip inaonyesha wako ktk shule fulani nmeshindwa kujua ni shule gani exactly lakini kwa mazingira inaweza kuwa Arusha, anaonekana Masanja anaomba na watoto wanaanguka kimapepo.
Hii kitu sio sahihi kabisa kwa mazingira ya eneo la elimu na pia kwa mazingira ya watoto wadogo. Sijui uongozi wa shule waliweka wapi akili na fikra zao kuruhusu hili.
Binafsi nmeona ni jambo lisilo na mantiki kabisa. Sioni kabisa logic ya hii kitu kabisa. Inaweza kuleta madhara ya kisaikolojia hapo baadae kwa wanafunzi na hata shule husika pia.
Tunajua jinsi baadhi ya watu wanaojiita watumishi wa Mungu kutumia nguvu tofauti tofauti kujifanya wanakemea mapepo na watu wakianguka ovyo, huwa sijui lengo hasa ni lipi lakii kwa watu wazima wenye akili timamu ambayo hawajapelekwa pale kwa bakora, walienda kwa matakwa yao ni sawa.
Lakini kwa watoto wadogo kama wale hakika sio jambo sahihi kabisa. Unless hiyo shule iwe na shida fulani inayohitaji maombi kama yaliyofanywa na Masanja na watu wake.
Lakini kwa uchunguzi kidogo nimebaini ni kama tour huyu Masanja anafanya katika mashule kufanya anachokifanya. Hapa namaanisha kuzunguka katika mashule na kuombea na watoto kuanguka ovyo. Nadhani si sahihi na shule sio eneo sahihi kwa haya anayofanya Masanja.
Naona ni busara kwa wenye mamlaka kuzuia hii kitu kufanyika katika mashule.
Acha watu na dini zao,acha kuwashwa washwaKuna video imesambaa mtandaoni ikimuonyesha Masanja Mkandamizaji na vijana wengine nadhani ni wafuasi wake katika kanisa lake lile liko pale Leaders club. Clip inaonyesha wako ktk shule fulani nmeshindwa kujua ni shule gani exactly lakini kwa mazingira inaweza kuwa Arusha, anaonekana Masanja anaomba na watoto wanaanguka kimapepo.
Hii kitu sio sahihi kabisa kwa mazingira ya eneo la elimu na pia kwa mazingira ya watoto wadogo. Sijui uongozi wa shule waliweka wapi akili na fikra zao kuruhusu hili.
Binafsi nmeona ni jambo lisilo na mantiki kabisa. Sioni kabisa logic ya hii kitu kabisa. Inaweza kuleta madhara ya kisaikolojia hapo baadae kwa wanafunzi na hata shule husika pia.
Tunajua jinsi baadhi ya watu wanaojiita watumishi wa Mungu kutumia nguvu tofauti tofauti kujifanya wanakemea mapepo na watu wakianguka ovyo, huwa sijui lengo hasa ni lipi lakii kwa watu wazima wenye akili timamu ambayo hawajapelekwa pale kwa bakora, walienda kwa matakwa yao ni sawa.
Lakini kwa watoto wadogo kama wale hakika sio jambo sahihi kabisa. Unless hiyo shule iwe na shida fulani inayohitaji maombi kama yaliyofanywa na Masanja na watu wake.
Lakini kwa uchunguzi kidogo nimebaini ni kama tour huyu Masanja anafanya katika mashule kufanya anachokifanya. Hapa namaanisha kuzunguka katika mashule na kuombea na watoto kuanguka ovyo. Nadhani si sahihi na shule sio eneo sahihi kwa haya anayofanya Masanja.
Naona ni busara kwa wenye mamlaka kuzuia hii kitu kufanyika katika mashule.
Nje ya mada: hivi hayo makabila kwa ulimwengu wa leo bado yapo na yanaitwaje?Na mafarisayo na masadukayo [emoji23]
Everyday is Saturday................................[emoji41]
Amina ubarikiwe kwa Neno zuri. Watu wanashindwa tambua kubwa Ulimwengu unaendeshwa kwa mambo mawi. Neno(Unabii) na Nyakati. Sasa ni utimilivu wa unabii wa Injili kuhubiriwa kwa Kila kiumbe. Injili inahubiriwa sasa na ndio maana utaona nyimbo za kikristo zinapigwa Vilabuni, kwenye mabasi hata sherehe za wenzetu watoto wa Ajiri.
Nyinyi ndiyo mnao changia hawa matapeli waendelee kuwaibia watu kwa sababu ya kupenda kwenu kufuga majini! 👹Wagalatia na wagalilaya mnakaribishwa huku mje mtie neno!
Matapeli tu nyinyi! Hamna lolote!!! Karne ya 21 hii bado mnawaibia tu watu kupitia hayo mazingaombwe yenu! Masanja ni mchekeshaji tu wa siku zote! Hana tofauti na wachekeshaji wenzake akina Joti, Mpoki, Kingwendu, nk.Nani alikudanganya kwamba kukemea pepo kwa jina ka Yesu ni kazi ya makanisa ya mitaani ? Unaweza kuniambia hapa nini maana ya makanisa ya mitaani ? Kazi ya kukemea pepo iliagizwa na kufanywa na Yesu mwenyewe, leo unatuambiaje wewe ? Kama huna cha kuposti ni bora ukaacha kuandika upuuzi kama huu. Ninakushauri uokoke ili Yesu awe Bwana na Mwokozi wako.