Hiki kidonda nateseka sana nikienda haja, mwenye kujua dawa ya kuharisha

Ahsante sana kakaangu, Mungu akubariki
 
Operesheni tu itakuponesha... hiyo bawasiri ina tabia ya kupotea kwa muda na kurudi tena
 
Izo dawa ilikuwa za week 1 tu na nishamaliza. Pia akanambia tu nikazane kukaa kwenye maji ya vuguvugu na dettol bs
Kukaa kwenye maji ya uvugu vugu, how?

Na tokea umetumia hizo dawa, na kufatisha ushauri wake, unaonaje maendeleo?
 
Duuh poleee, jitahidi kunywa mtindi na mapapai ili upate choo kilaini
๐ฐ๐ž๐ฅ๐ฅ ๐ฌ๐š๐ข๐ ๐ก๐ข๐ข ๐ง๐๐ข๐จ ๐๐š๐ฐ๐š ๐ญ๐จ๐ฌ๐ก๐š
 
Kukaa kwenye maji ya uvugu vugu, how?

Na tokea umetumia hizo dawa, na kufatisha ushauri wake, unaonaje maendeleo?
Maendeleo mazuri. Kidonda kinapungua. Nachukua maji ya vuguvugu. Naweka dettol afu nakaa kwa dakka 20. Inasaidia kidonda kuwa katika hali ya usafi na kinawah kupona
 
Maendeleo mazuri. Kidonda kinapungua. Nachukua maji ya vuguvugu. Naweka dettol afu nakaa kwa dakka 20. Inasaidia kidonda kuwa katika hali ya usafi na kinawah kupona
Sawa, kwavile upo katika hatua nzuri, basi endelea kufatisha ushauri wake
 
๐€๐œ๐ก๐š ๐ฏ๐ฒ๐š๐ค๐ฎ๐ฅ๐š ๐ฏ๐ข๐ฅ๐ข๐ฏ๐ฒ๐จ๐ค๐จ๐›๐จ๐ฅ๐ž๐ฐ๐š ๐ค๐ฎ๐ฅ๐š ๐ฏ๐ฒ๐š๐ค๐ฎ๐ฅ๐š ๐ฏ๐ฒ๐š ๐ง๐ฒ๐ฎ๐ณ๐ข ๐ง๐ฒ๐ฎ๐ณ๐ข ๐ค๐ฎ๐ง๐ฒ๐ฐ๐š ๐ฆ๐ญ๐ข๐ง๐๐ข ๐๐š๐ค๐ข๐ค๐š ๐š๐ง๐ ๐š๐ฅ๐š๐ฎ ๐ฆ๐›๐ข๐ฅ๐ข ๐ค๐š๐›๐ฅ๐š ๐ฒ๐š ๐ค๐ฎ๐ฅ๐š ๐ค๐ฎ๐ฅ๐š ๐ฌ๐š๐ง๐š ๐ฆ๐š๐ฉ๐š๐ฉ๐š๐ข ๐ก๐š๐ฉ๐จ ๐ฆ๐š๐ฆ๐›๐จ ๐ฆ๐š๐ณ๐ฎ๐ซ๐ข


๐ˆ๐‹๐€ ๐Š๐€๐Œ๐€ ๐๐€๐ƒ๐Ž ๐๐ˆ ๐Š๐ˆ๐†๐”๐Œ๐” ๐๐‰๐Ž๐Ž ๐๐Œ
 
๐š๐ง๐ฒ ๐ฐ๐š๐ฒ ๐œ๐จ๐ฆ๐ž ๐๐Œ ๐ฎ๐ซ๐ ๐ž๐ง๐ญ๐ฅ๐ฒ
 
๐š๐ง๐ฒ ๐ฐ๐š๐ฒ ๐œ๐จ๐ฆ๐ž ๐๐Œ ๐ฎ๐ซ๐ ๐ž๐ง๐ญ๐ฅ๐ฒ
Asante sana kwa kujali, Mungu akubariki
 
Hata mimi mwanzo nilijua ni Bawasiri, kila ninaemwambia ananambia bawasiri, nikatumia dawa za kienyeji. Sasa juzi nikaamua kwenda hosp nikaambiwa anal fiscure
Hyo ni Anal Fissure kama daktari alivyokueleza. Tumia dawa alizokuelekeza bila shaka ahueni huenda ikapatikana. Ila ikishindikana wazo la upasuaji litakuwa la kipaumbele. Wengi huwa wanarecover after Surgery.
 
Pole mkuu.. ila hii ni kama hemorrhoid kwa maelezo yako kutokana na io hali ya nyamanyama kutokea wakati wa haja..
Io anal fissure alio kwambia daktari ndo io mipasuko inayoleta kidonda na ikiwa chronic io matibabu yake ndo upasuaji..
Ila kwa kuwa umesema maendeleo ni mazuri fata waliyosema wakuu hapo.. Hakikisha hupati choo kigumu..
 
Kitu ya kuitwa bawasili hyo mkuu tumia mafuta ya black seed kupakaa hapo chap utapona
 
ebu njoo unioneshe mkuu hwenda nikakusaidia kalanga1
 
Pole sana mkuu. Nafikiri tafuta alipo daktari bingwa wa mambo hayo na ufuate muongozo wake mkuu. Usisahau pia kuulizia tiba kienyeji ya shida hiyo. Mungu akupe uponyaji wa haraka mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ