Duh Pole sana aisee! Nenda ufanyiwe upasuaji.Asante ndugu yangu, yaaani choo sio kama kigumu kwa sasa. Lakini ni kidonda tu. Maji kwa siku nakunywa lita 3. Yaaani natamani niwe naharisha tu yawe yanapita maji tu
Sishauri hili jamboMkuu usifanye upasuaji kwanza, nakuhakikishia kuna mtu anaweza kutibu, ndugu yangu wa kiume alikua hata kusimamisha ni shida ila amepina, hiyo ni wazi Bawaziri
Mpigie huyu
0747933658, ila nadhani ni sheikh sheikh, mida ya swala huwa hapokei. Pole sana
Mpendwa hiyo nyama sio ya Bawasiri, nilimuuliza dr ilo linyama ni nini ?? Alinijibu lakini nmesahau, sio vile vinyama vya bawasiri. Vile navijuaAnal fissures (vertical cuts kwenye anus)
Then umetaja na nyama imetoka nje hio ni hemorrhoids (bawasiri) stage 3 fanya matibabu utakua sawa
Sawa poleMpendwa hiyo nyama sio ya Bawasiri, nilimuuliza dr ilo linyama ni nini ?? Alinijibu lakini nmesahau, sio vile vinyama vya bawasiri. Vile navijua
pole mkuuA.alaykum wakuu, ninaomba msaada wenu jamani kwani ninapitia magumu sana, niende moja kwa moja kwenye mada
.
Kama mwezi mmoja umepita kuna siku nilienda haja kubwa, wakati najikamua nikapata maumivu kama nimechanika na kweli kinyesi kikatoka na damu kidogo... Nilirudi nyumbani kujichunguza vizuri nikakuta kweli nimechanika kidonda ni kikubwa kimetokeza kwa nje kimeingia hadi ndani, halafu kuzunguka kidonda pamevimba kiasi kwamba kuna kama linyama limening'inia chini likubwa, yaaani utaweza useme ni uvimbe umepasuka nashindwa hata kuelewa
Siku inayofata Nilienda RABININSIA HOSPITAL tegeta, doctor akaniangalia pamoja na maelezo yangu (maana hili tatizo limeanza muda, mwanzo nilikuwa napata vidonda kwa nje kuzunguka eneo la haja kubwa, siku naamka asubuhi nakuta tu kidonda, nakiuguza siku ingine nakuta tu, kila siku ni vidonda tu kuzunguka eneo la haja kubwa, nikatumia dawa hiyo hali ya nje ikapona sasa tatizo likawa ndani ) ko kwa maelezo yangu haya dr akanambia nina tatizo la anal fiscure sijui, kwa kiswahili mipasuko ya m.kundu akanipa tu dawa za kutumia ila kisipopona niende wanifanyie upasuaji.
Sasa kilichonifanya niwaombe msaada ndugu zangu hichi kidonda nateseka sana nikienda haja, yaaani napata maumivu makali mnoo pamoja na damu nadhani choo kinakwangua, naombeni mnisaidie mwenye kujua dawa ambayo nikibanwa haja nakunywa then niwe naharisha tu, yaaani maumivu yake acha kbs, nisaidieni jamani
Yeah sure inabidi apake kilainishi.Kitu ya kuitwa bawasili hyo mkuu tumia mafuta ya black seed kupakaa hapo chap utapona
Siku inayofata Nilienda RABININSIA HOSPITAL tegeta, doctor akaniangalia pamoja na maelezo yangu (maana hili tatizo limeanza muda, mwanzo nilikuwa napata vidonda kwa nje kuzunguka eneo la haja kubwa, siku naamka asubuhi nakuta tu kidonda, nakiuguza siku ingine nakuta tu, kila siku ni vidonda tu kuzunguka eneo la haja kubwa, nikatumia dawa hiyo hali ya nje ikapona sasa tatizo likawa ndani ) ko kwa maelezo yangu haya dr akanambia nina tatizo la anal fiscure sijui, kwa kiswahili mipasuko ya m.kundu akanipa tu dawa za kutumia ila kisipopona niende wanifanyie upasuaji.
Huyu ni KE Unadhani Mwanaume ataeleza mambo hayo?Pole sana mkuu. Pole sana.
Ngoja waje wajuvi wa mambo kwenye hili eneo.
By the way, wewe ni ME au KE? I am just curious..
Pole sana .Ila sijawahi kupata ugonjwa nikateseka kama hivi jamani tangu nizaliwe, yaaani nimeteseka jamani Kama ni mtihani Mungu kanipa jamani namuomba aniondoshee, au kama kuna sehem nimemkufuru ndio akaamua kuniadhibu basi Allah aniswamehe, yaaani sina raha na maisha, [emoji24]
Kibaiolojia baadhi ya magonjwa hasa ya mtindo wa maisha huja kutuongoza turudi kwenye mstari.Ila sijawahi kupata ugonjwa nikateseka kama hivi jamani tangu nizaliwe, yaaani nimeteseka jamani Kama ni mtihani Mungu kanipa jamani namuomba aniondoshee, au kama kuna sehem nimemkufuru ndio akaamua kuniadhibu basi Allah aniswamehe, yaaani sina raha na maisha, [emoji24]
Pole Sana ndugu yanguPole sana .