Sio kwamba Trump amefanya haya kumtisha Putin moja kwa moja, haya ni maonyesho ya kimafumbo ya nguvu, ni sehemu ya mbinu za kuonesha ubabe katika ulimwengu wa siasa za kimataifa (geopolitics). 🙌🙌
1. Salamu ya Trump kwa Putin haikuwa tu ya kawaida, ilikuwa na ujumbe wa mamlaka. Trump aliweza kuvuta mkono wa Putin kirahisi huku Putin akishindwa kumdhibiti, hili ni tukio la aina yake linalotoa ishara ya mwenye nguvu zaidi.
Hii si mara ya kwanza, linapokuja suala la nguvu za mwili, Trump anamcontrol Putin apendavyo hata ajipange vipi
2. Putin alilazimika kumfuata Trump ili amsalimu, Mchakato huu ulifichua wazi ni nani alikuwa na nafasi ya juu katika tukio hilo la kisiasa juu ya wapi na lini mambo yatekelezwe.
3. Trump alimpitisha Putin na msafara wake katikati ya msururu wa ndege za kivita hatari zaidi duniani aina ya F-22 Raptor. Haikuwa ajali ya itifaki, ilikuwa ni maonyesho ya nguvu yaliyopangwa kwa uangalifu. Na hapo ndipo Putin humwelewa sana Trump, chuma hunoa chuma. Katika ulimwengu wa geopolitics, heshima haombwi, inadhihirishwa.
4. Putin, akiwa anatembea kwenye red carpet, akashangazwa na kuibuka ghafla kwa ndege ya mabomu hatari zaidi duniani, B-2 Spirit, yenye uwezo wa kuruka bila kugundulika na rada, ndege hiyo ililipua vinu vya Iran bila kugunduliwa licha ya Iran kutumia rada za Urusi.
Kazi maalum ya Bombers ni kubeba na kurusha mabomu makubwa na mazito, hazina uwezo mkubwa wa kujihami kutokana na ukubwa na uzito wake, hupewa ulinzi kwa kusindikizwa na ndege za vita kama tahadhari.
Katika ulimwengu wa geopolitics, uwezo wa kushambulia bila kuonekana ni zaidi ya teknolojia.