Hapo sijaelewa hoja Yako, hizo ndege zipo siku zote. Yaani unatakunesha putini hi mnyonge Kwa trump au. Huijui diplpmasia putini yupo ugeniniAnamringishia ..
Hio B2 hivi karibuni imelipua vinu Iran bila kugundulika, Iran wanatumia rada za Urusi.
Hahah hajafanya fair aisee, mpaka Putin amestuka kwa kiasi fulaniAnamringishia ..
Hio B2 hivi karibuni imelipua vinu Iran bila kugundulika, Iran wanatumia rada za Urusi.
Huwa anaishiwa nguvu akimuona Trump 😂Putin siku zote yuko humble.
Ila mambo yake yanashangaza.
Una mdomo na kinywa kichafu mnoUzi wa *******, mavi matupu
Halafu baada ya kushusha zikaleta damage gani, kwani hukuona putin alisema waliwashauri wairan kuhusu ulinzi wa anga ila hawakutilia maanani.Hizo B22 bomber zilipita Iran na kushusha mabomu bila kugundulika na radar za hao hao warusi
Huyu ni miongoni mwa madesigner wa hizi makitu tena hand crafter pale lock heed mkuu.zinaitwa B-2 mkuu siyo B22
Lione hili ngedereHiyo B-2 si lolote na si chochote, kama kweli Ina nguvu azipeleke Ukraine Ili tuone zitakavyo tunguliwa.
Kila mmoja nataka kuonyesha yeye ndio mwamba.
Wewe hata hujui unachisema umejawa na uchawa kwa marekani kenge weweSio kwamba Trump amefanya haya kumtisha Putin moja kwa moja, haya ni maonyesho ya kimafumbo ya nguvu, ni sehemu ya mbinu za kuonesha ubabe katika ulimwengu wa siasa za kimataifa (geopolitics). 🙌🙌
Salamu ya Trump kwa Putin haikuwa tu ya kawaida, ilikuwa na ujumbe wa mamlaka. Trump aliweza kuvuta mkono wa Putin kirahisi huku Putin akishindwa kumdhibiti, hili ni tukio la aina yake linalotoa ishara ya mwenye nguvu zaidi.
View attachment 3442566
Putin alilazimika kumfuata Trump ili amsalimu, Mchakato huu ulifichua wazi ni nani alikuwa na nafasi ya juu katika tukio hilo la kisiasa juu ya wapi na lini mambo yatekelezwe.
View attachment 3442570
Trump alimpitisha Putin na msafara wake katikati ya msururu wa ndege za kivita hatari zaidi duniani aina ya F-22 Raptor. Haikuwa ajali ya itifaki, ilikuwa ni maonyesho ya nguvu yaliyopangwa kwa uangalifu. Na hapo ndipo Putin humwelewa sana Trump, chuma hunoa chuma. Katika ulimwengu wa geopolitics, heshima haombwi, inadhihirishwa.
View attachment 3442608
Putin, akiwa anatembea kwenye red carpet, akashangazwa na kuibuka ghafla kwa ndege ya mabomu hatari zaidi duniani, B-2 Spirit, yenye uwezo wa kuruka bila kugundulika na rada, ndege hiyo ililipua vinu vya Iran bila kugunduliwa licha ya Iran kutumia rada za Urusi.
Katika ulimwengu wa geopolitics, uwezo wa kushambulia bila kuonekana ni zaidi ya teknolojia.
View attachment 3442602
View attachment 3442604
Eti mtu ametoka Moscow hadi Alaska then aogope? Mleta mada ana ujinga mwingi sana.Ama ni ujinga au kutokuwa na taarifa sahihi.
Watu wanakutana kwenye kambi ya jeshi, je ulitaka wakute nini kwenye kambi ya jeshi?? Wakute wanasesere??
Wakute mashamba??
It's obvious watajuta ndege na vifaa vingine vyakijeshi.
Labda wewe mtoa mada ndio umeogopa, ila sijaona dalili ya Putin kuogopa
Sio kwamba Trump amefanya haya kumtisha Putin moja kwa moja, haya ni maonyesho ya kimafumbo ya nguvu, ni sehemu ya mbinu za kuonesha ubabe katika ulimwengu wa siasa za kimataifa (geopolitics). 🙌🙌