Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
Mtu mzima hatishiwi nyau
Yaan mtoa mada sijui ana nini...Eti mtu ametoka Moscow hadi Alaska then aogope? Mleta mada ana ujinga mwingi sana.
Wewe nawe uwe unatumia hiko lichwa kufikiria mkuu. Sasa azipeleke Ukraine kwa faida au interest gani ambayo Marekani anayo au ataipata huko mkuu?Hiyo B-2 si lolote na si chochote, kama kweli Ina nguvu azipeleke Ukraine Ili tuone zitakavyo tunguliwa.
Kila mmoja nataka kuonyesha yeye ndio mwamba.
Russia possesses a total of 5,459 nuclear warheads as of 2025, the largest confirmed stockpile of nuclear warheads in the world. Russia's deployed missiles (those actually ready to be launched) number about 1,718, also the largest confirmed strategically deployed arsenal in the world as of 2025. The remaining weapons are either in reserve stockpiles, or have been retired and are slated for dismantling. Russia's predecessor state, the Soviet Union, reached a peak stockpile of about 45,000 nuclear warheads in 1986.The number of weapons Russia may possess is currently controlled by the bilateral New START treaty with the United States. Russia and the United States are the world's biggest nuclear powers, holding about 88% of the world's nuclear weapons.>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Trump ndiyo anambaikia Putin toka lini Trump akampigia makofi mgeni wake na kupanda naye gari moja.>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Unaambiwa haionekani lakini siku ilipopitishwa Iran ilisindikizwa kama mwwnamwali 🤣🤣Hiyo B-2 si lolote na si chochote, kama kweli Ina nguvu azipeleke Ukraine Ili tuone zitakavyo tunguliwa.
Kila mmoja nataka kuonyesha yeye ndio mwamba.
Trump haelewi bado kuwa Putin hataki amani....hapo Trump anajaribu kuupaka rangi upepo.Sio kwamba Trump amefanya haya kumtisha Putin moja kwa moja, haya ni maonyesho ya kimafumbo ya nguvu, ni sehemu ya mbinu za kuonesha ubabe katika ulimwengu wa siasa za kimataifa (geopolitics). 🙌🙌
Salamu ya Trump kwa Putin haikuwa tu ya kawaida, ilikuwa na ujumbe wa mamlaka. Trump aliweza kuvuta mkono wa Putin kirahisi huku Putin akishindwa kumdhibiti, hili ni tukio la aina yake linalotoa ishara ya mwenye nguvu zaidi.
View attachment 3442566
Putin alilazimika kumfuata Trump ili amsalimu, Mchakato huu ulifichua wazi ni nani alikuwa na nafasi ya juu katika tukio hilo la kisiasa juu ya wapi na lini mambo yatekelezwe.
View attachment 3442570
Trump alimpitisha Putin na msafara wake katikati ya msururu wa ndege za kivita hatari zaidi duniani aina ya F-22 Raptor. Haikuwa ajali ya itifaki, ilikuwa ni maonyesho ya nguvu yaliyopangwa kwa uangalifu. Na hapo ndipo Putin humwelewa sana Trump, chuma hunoa chuma. Katika ulimwengu wa geopolitics, heshima haombwi, inadhihirishwa.
View attachment 3442608
Putin, akiwa anatembea kwenye red carpet, akashangazwa na kuibuka ghafla kwa ndege ya mabomu hatari zaidi duniani, B-2 Spirit, yenye uwezo wa kuruka bila kugundulika na rada, ndege hiyo ililipua vinu vya Iran bila kugunduliwa licha ya Iran kutumia rada za Urusi.
Katika ulimwengu wa geopolitics, uwezo wa kushambulia bila kuonekana ni zaidi ya teknolojia.
View attachment 3442602
View attachment 3442604
We naye jinga unajua kazi ya hizo ndege au Ukraine zikafanye nini?Hiyo B-2 si lolote na si chochote, kama kweli Ina nguvu azipeleke Ukraine Ili tuone zitakavyo tunguliwa.
Kila mmoja nataka kuonyesha yeye ndio mwamba.
Inasikitisha sana
Aisee kumbe Putin English hajuiSio kwamba Trump amefanya haya kumtisha Putin moja kwa moja, haya ni maonyesho ya kimafumbo ya nguvu, ni sehemu ya mbinu za kuonesha ubabe katika ulimwengu wa siasa za kimataifa (geopolitics). 🙌🙌
Salamu ya Trump kwa Putin haikuwa tu ya kawaida, ilikuwa na ujumbe wa mamlaka. Trump aliweza kuvuta mkono wa Putin kirahisi huku Putin akishindwa kumdhibiti, hili ni tukio la aina yake linalotoa ishara ya mwenye nguvu zaidi.
View attachment 3442566
Putin alilazimika kumfuata Trump ili amsalimu, Mchakato huu ulifichua wazi ni nani alikuwa na nafasi ya juu katika tukio hilo la kisiasa juu ya wapi na lini mambo yatekelezwe.
View attachment 3442570
Trump alimpitisha Putin na msafara wake katikati ya msururu wa ndege za kivita hatari zaidi duniani aina ya F-22 Raptor. Haikuwa ajali ya itifaki, ilikuwa ni maonyesho ya nguvu yaliyopangwa kwa uangalifu. Na hapo ndipo Putin humwelewa sana Trump, chuma hunoa chuma. Katika ulimwengu wa geopolitics, heshima haombwi, inadhihirishwa.
View attachment 3442608
Putin, akiwa anatembea kwenye red carpet, akashangazwa na kuibuka ghafla kwa ndege ya mabomu hatari zaidi duniani, B-2 Spirit, yenye uwezo wa kuruka bila kugundulika na rada, ndege hiyo ililipua vinu vya Iran bila kugunduliwa licha ya Iran kutumia rada za Urusi.
Katika ulimwengu wa geopolitics, uwezo wa kushambulia bila kuonekana ni zaidi ya teknolojia.
View attachment 3442602
View attachment 3442604
Kuvuta mkono hivyo ni tabia ya trump,hiyo anafanyia watu woteUmeweka kipande, hii ni Full video:
Putin hana nguvu mbele ya Trump, huwa ananyong'onyea, ona huo mkono alivyomvuta 😂
View attachment 3442585
😅😅😅🤔
Humjui Real Putin wewe? Huyo sio Real Putin, huyo ni Body Double ya Real Putin..!!
Russia has more than 5 Putin Body Doubles..!!
Hapo Trump kapigwa tena, ujue Trump hata Kiduku alienda kumuona alikuwa Body double ya Kiduku miaka ile ya awamu yake ya kwanza kuwa US President, sasa na awamu hii Putin kamtumia Trump body double yake, ha haaa hivi vita vikali vile ya Russia alafu Real Putin aende Marekani? Inaingia akilini?
Trump ni kikaragosi cha Putin kwa ulimwengu wa magharibiTrump haelewi bado kuwa Putin hataki amani....hapo Trump anajaribu kuupaka rangi upepo.
Yoda T14 Armata Lee Van free Kichuguu
Hayo ni matoyi tu hayakuleta madhara yangekuwa na madhara trump asingeomba ceasefirePower Bragging..
Hio B2 hivi karibuni imelipua vinu Iran bila kugundulika, Iran wanatumia rada za Urusi.