MT255
JF-Expert Member
- May 3, 2012
- 3,728
- 5,000
Kwa sababu kaguswa Bahasa wakoUzi wa *******, mavi matupu
Kwa sababu kaguswa Bahasa wakoUzi wa *******, mavi matupu
Elewa wewe kiazi maana ya hiyo ndege na Kazi zake...hiyo sio ndege ya mapigano hiyo ni bomber Kazimierz yake ni kushusha mabomu mazito ndio maana inapokwenda kwenye mission zake inasindikizwa sio hiyo tu bomber yoyote haiwezi dogfight zenyewe zikiwa kazini zinasindikizwa na ndege zingine za mapigano....Unaambiwa haionekani lakini siku ilipopitishwa Iran ilisindikizwa kama mwwnamwali 🤣🤣
Acha ushabiki wa kimaandazi kasome vizuri kuhusu hizo ndege na uone ni nchi ngapi wanamiliki hilo dude ni hatari ogopa linapita kwenye mionzi ya rada yoyote bila kuonekana unadhani kinaweza kuwa kitu cha kawaida au unadhani hizo ni baiskeli za Samia na taarifa yako hizo ni za Dharura haziwez pelekwa Ukraine hizo B-2 ni Batalion Destroyer zilipelekwa pale Iran kwa ajili ya kuharibu vinu hatar vya nyukliaHiyo B-2 si lolote na si chochote, kama kweli Ina nguvu azipeleke Ukraine Ili tuone zitakavyo tunguliwa.
Kila mmoja nataka kuonyesha yeye ndio mwamba.
Mara Battalion destroyer mara ni zilipelekwa kuharibu maandaki yenye Vinu vya nyuklia.Acha ushabiki wa kimaandazi kasome vizuri kuhusu hizo ndege na uone ni nchi ngapi wanamiliki hilo dude ni hatari ogopa linapita kwenye mionzi ya rada yoyote bila kuonekana unadhani kinaweza kuwa kitu cha kawaida au unadhani hizo ni baiskeli za Samia na taarifa yako hizo ni za Dharura haziwez pelekwa Ukraine hizo B-2 ni Batalion Destroyer zilipelekwa pale Iran kwa ajili ya kuharibu vinu hatar vya nyuklia
Trump ndio style yake kuvuta mkono hata hao wengine kawavuta hivyo hivyo. Hio si big deal.Umeweka kipande, hii ni Full video:
Putin hana nguvu mbele ya Trump, huwa ananyong'onyea, ona huo mkono alivyomvuta 😂
View attachment 3442585
Watu wanacho sahau ni kwamba Putin ni gwiji wa majasusi hapa Duniani aliwahi kuongoza kitengo cha ujasusi huko Ulaya (Ujerumani Mashariki) kilicho kuwa kinaratibu masuala ya ujasusi huko Ulaya na Merikani kwa hiyo Putin anajua mambo mengi sana kuhusu Continental Europe na Merikani kwenyewe - Putin si binadamu wa kuchukuliwa poa hata kidogo, watu watasema mengi lakini ukweli utabaki pale pale.Maswali yao yanabadili nini kwa Spy Putin ?
Mnazungumza vitu gani lakini?? Mbona hata ukitumia madishi yanayo rusha na kupokea wawimbi ya VHF radio frequency bomber hizo zinaonekana tu, tatizo lipo kwenye kuunda missiles za kuzifatlia na kuzitungua.Acha ushabiki wa kimaandazi kasome vizuri kuhusu hizo ndege na uone ni nchi ngapi wanamiliki hilo dude ni hatari ogopa linapita kwenye mionzi ya rada yoyote bila kuonekana unadhani kinaweza kuwa kitu cha kawaida au unadhani hizo ni baiskeli za Samia na taarifa yako hizo ni za Dharura haziwez pelekwa Ukraine hizo B-2 ni Batalion Destroyer zilipelekwa pale Iran kwa ajili ya kuharibu vinu hatar vya nyuklia
Labda kwa kuwa sio jihadist na anakula sana kiti moto na kujiburudisha na Vodca.Sasa swali: kwani nani alionekana yuko desparate kuitisha mkutano huu? Trump au Putin labda tuanzie hapo. Kumbuka Putin ni jasusi wa Kimataifa na mwana saikolojia mahili, msimchukulie poa hata kidogo.
Utachekwa kazi ya bomber ni kupeleka mabomu mazito na makubwa na haina uwezo wa kupigana au kwa lugha nyingine haina uwezo wa kujihami ndio maana inasindikizwa na ndege zenye uwezo wa kupigana sio bomba za marekani tu ni bomba zote zipo hivyoMara Battalion destroyer mara ni zilipelekwa kuharibu maandaki yenye Vinu vya nyuklia.
Sio hizo B-2 tu, hata yake mabomu maarufu kama bunker buster yakishindwa kufanya kazi yake kwa 100%.
Umiliki wa nchi chache, kwani zipo China?
Nchi chache si hizo hizo western world au Kuna wengine?
Kama zinaweza kupenetrate radar bila kuonekana, kwa nini lazima ziiscotiwe na F16, 22?
Acha propaganda uchwara, zipelekwe Ukraine
Comment yako inaonyesha jinsi ulivyo mjinga aliyekuzaa bora angevaa kondomHata Kalashnikov AK-47 ikilenga vizuri itaishusha.