Hiki ndicho alichopost Zari baada ya picha za Hamisa na Diamond kuvuja

Wivu uuu,.. Ama???
 
Ila kweli kweny miti mingi hakuna wajenzi mi ningepata uyu manzi zari akiamungooo angenijua,... Ata kura rahaa mpaka akinai,
 
Mwanamke akimchua bwana wa mwenzie ndio anaona ni ushindi mkubwa Duniani.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanawake akili zao moja [emoji23][emoji23][emoji23]
Zari alimwibia Wema
Sasa naye kaibiwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wema alimuacha Diamond.. tena kwa mbwembwe..kisa eti masikini.. anatembelea nyota ya Wema.. na wema alikuwa na mbabu alimpa raha wakati huo.... threads zimo humu. Haikupita mwezi wakakutana kwa safari moja ndani ya ndege
 
Safiii we posti kitanda mwenzako anaposti gari, yaaani ni tope na cement, give up zari
 
Hilo bentley lenyewe Zari sio lake ni la shoga yake Zodwa...aliwadanganya mashabiki wake akaja umbuliwa hana cha bentley wala bubu....apambane na hali tuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] niliona kule kwa thecelebchron duuuh!

Mmama mtu mzima ila anapenda show off sana daaah!
 
Ila kweli kweny miti mingi hakuna wajenzi mi ningepata uyu manzi zari akiamungooo angenijua,... Ata kura rahaa mpaka akinai,
Tumeumbwa kwa kukinai. Ukiwa na mtoto mzuri unapata tamaa ya kula wabaya.
 
Angekuwa msitarabu tusingeona uchafu wake xvideo au niuposti apa
 
Mwanamke akimchua bwana wa mwenzie ndio anaona ni ushindi mkubwa Duniani.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanawake akili zao moja [emoji23][emoji23][emoji23]
Zari alimwibia Wema
Sasa naye kaibiwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vipo kul YouTube mbona huleti mrejesho siku izi mkuu?

Sorry kwa kutoka nje ya mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…