Hiki ndicho alichopost Zari baada ya picha za Hamisa na Diamond kuvuja

Yani haya maisha mkuu huitaj kuish kwa kushindana na mtu.. Wenzetu wako wanashindana ndo maana tukinao ana kazi ya kuonyesha magar na saa, mara pete sasa kabmdogo kamemkomesha ameufyata! Hawa wanaume tunaokutana nao ukubwan cyo wa kuwatambia wenzako ukimpata tulia nae usjshaue shaue! Mbele za watu Nyakunyaku mjin ni wengi wamejipodoa kusubr mabae zetu
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] hapana jamani hizi heka heka za domo zimezidi,
Hazijazidi bhn sema tu kwakuwa maisha yake yanafuatiliwa sana kila kitu kipo wazi, wanaume wengi tupo hivyo
 
Wewe utakuwa mchawi au mganga wa kienyeji kila mtu anaugulia maumivu kivyake binadamu hatufanani kimatendo na kinafsi.
Kusema kweli hata uishi kwenye nyumba iiyojengwa kwa Almasi. Kinachomatter ni yule muhusika uwe naye tena tu sio physically bali kiupendo.
 
Wewe binti mbona unaogopa kuibiwa?
 
Duh mboni pove?!!, imekuumiza hyo B eeeh?
 
Mwanamke akimchua bwana wa mwenzie ndio anaona ni ushindi mkubwa Duniani.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanawake akili zao moja [emoji23][emoji23][emoji23]
Zari alimwibia Wema
Sasa naye kaibiwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Na matusi juu yeye Wema mgumba anaongea na waliongia leba haya mwenye kuingia leba mwenzake nae kaja . waache warushiane maneno ya leba....
 
Huyo zari angekua levels asingekuja kutafuta umaarufu Bongo tena kwa mond ,Asingeshare na huyo Hamisa anaemuita Cheap ass.....
Maboss lady hawawi hivo,atulie tu hamisa amvue nguo hadharani,na inavoonekana hamisa anaingia madale muda wowote hana kizuizi maana kuna video ana mimba kubwa kabisa ya miezi kama 8 au9....

atulie hamisa atushushie mahiroshimaπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜› ili wanaume wengine waone mfano wasikatae watoto zao
 
Aliesemaga mwanamke mzuri akikosa akili kiumiacho zaidi ni sehemu za siri hakukosea
 
Mwanamke akimchua bwana wa mwenzie ndio anaona ni ushindi mkubwa Duniani.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanawake akili zao moja [emoji23][emoji23][emoji23]
Zari alimwibia Wema
Sasa naye kaibiwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kila mla cha mwenzake na chake pia huliwa. Wahenga hawakukosea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…