Dr Akili
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 5,313
- 4,751
Nimeshindwa kuweka link ya bei za ndege hizi kutoka kiwandani. Bei ya kiwandani huko USA zinakotengenezwa ni USD 1.7 million. Tatizo letu ni kununua kwa middle men kwa njia ya kushindanisha middle men kwenye tender badala ya kununua direct kutoka kiwandani. Hivyo middle man anainunua kwa US dollars 1.7 anatuuzia kwa US dollars 3.0 million.
Hili ndiyo tatizo kubwa la sheria yetu ya manunuzi ya umma. Vitu vya gharama kubwa kama ndege vinapaswa kununuliwa kutoka moja kwa moja kwenye viwanda vinavyotengeneza hizo bidhaa. Kama ni ushindani wa tender basi vishindanishwe viwanda na siyo middle men.