Nimeshindwa kuweka link ya bei za ndege hizi kutoka kiwandani. Bei ya kiwandani huko USA zinakotengenezwa ni USD 1.7 million. Tatizo letu ni kununua kwa middle men kwa njia ya kushindanisha middle men kwenye tender badala ya kununua direct kutoka kiwandani. Hivyo middle man anainunua kwa US dollars 1.7 anatuuzia kwa US dollars 3.0 million.
Hili ndiyo tatizo kubwa la sheria yetu ya manunuzi ya umma. Vitu vya gharama kubwa kama ndege vinapaswa kununuliwa kutoka moja kwa moja kwenye viwanda vinavyotengeneza hizo bidhaa. Kama ni ushindani wa tender basi vishindanishwe viwanda na siyo middle men.
Huu ndo ukweli. Bei zijulikane kiwandani afu dalali akupige mara 2 ya bei hapana.Dr Akili huna akili, tatizo sio Middle Men, tatizo ni Bashe kuweka cha Juu kupitia middle Man
huyo middle men ni mnunuzi mwenyewe usidhani kwamba hajui anachokifanya, halafu baadae anaifuata hela yake dubai , lema supo sahihi pale tumepigwaNimeshindwa kuweka link ya bei za ndege hizi kutoka kiwandani. Bei ya kiwandani huko USA zinakotengenezwa ni USD 1.7 million. Tatizo letu ni kununua kwa middle men kwa njia ya kushindanisha middle men kwenye tender badala ya kununua direct kutoka kiwandani. Hivyo middle man anainunua kwa US dollars 1.7 anatuuzia kwa US dollars 3.0 million.
Hili ndiyo tatizo kubwa la sheria yetu ya manunuzi ya umma. Vitu vya gharama kubwa kama ndege vinapaswa kununuliwa kutoka moja kwa moja kwenye viwanda vinavyotengeneza hizo bidhaa. Kama ni ushindani wa tender basi vishindanishwe viwanda na siyo middle men.
🤣 🤣 🤣 🔊Bashe ni Mwizi, hata yeye mwenyewe anajujua
Hebu fungua basi hiyo link niliyokuwekea utajua kuwa mleta mada yuko upande wa God bless Lema. Bashe katudanganya, alipaswa kutupa bei ya kiwandani ya hizo ndege ambazo kwa bei hazifikii bei ya ndege ya Diamond au helicopter ya Gwajima. Ni ndege ambazo mkulima wa kati (farmer) anaweza kununua kwa matumizi ya mashamba yake binafsi.Bashe amempa mleta mada pesa ya dodoki? Au ni kati zile $US 3.0!