Hiki ndiyo kituko nlichowahi kukutana nacho makaburini usiku. Sitosahau

Hapo ndio tangawizi ya hii chai ilipo...
Wewe na huyo uliem quote wote hakuelewa mlichosoma. Ni wapi nilipoandika nimetoka Magomeni makuti?
 
Hiyo ninayokwambia mimi imetokea miaka ya 90. Alafu haya mambo hutokea pale ambapo mtu hukutarajia.

Mimi mwenyewe kama unavyosema, nilikuwa napita sana usiku yani ndio ilikuwa njia yangu ya kila siku. Sasa siku ile nahisi vibwengo walikuwa washachoka kunivumilia kupita pale, wakaamua kutaka kuniteka ndo nikatoka nduki.
 
Na baada ya muda wa ufugaji na kulisha hao kuku ukalale au usalimie majirani?.

Yaani mtu asiwe na muda wa jokes siyo?.
Umemjibu vizuri na kisomi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Huenda huwa wanafanya mashindano hayo wenyewe kwa wenyewe baada ya kugundua kuwa sisi hatuwapendi na tunawaogopa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Nyie waoga sana, hakunaga hayo mambo. Tatizo mnayatengeneza vichwani mwenu, mnakuja kusimulia uongo.
Siri ya mtungi ijuayo kata. Wewe hauwezi kubali maana sio ulieona. Usiombe ukutane na vibwengo ndugu yangu kama ni chooni utasahau hata kuvaa chumi utoke nduki uchi.
 
Umeitaja hiyo Loha umenikumbusha mbali sana. 1993 ( std 2) 1994( std 3) 1995( std 4)

Mambo ya Amrish Puri na Mithun Chakraboth.

Movie yangu pendwa ilikuwaga Tridev( Oye Oye) Dance Dance, Disco Dancer, Vishwatmar, Andha Kanoon


Nolstagia is real
mwanangu umenitajia hayo majina umenikumbusha utoto aisee movie ya kwanza kuona ilikua disco dancer.... wahindi waliteka hisia za muafrika kipindi kile ...andha kanoon hafu kila movie amrish poor ndo jambazi kuu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ aloo
 
Sio story kaka, huu mziki nilikutana nao live. Usiombe ukumbane nao ndugu yangu [emoji23][emoji23]
Sasa wewe ulijuaje kama wanajamba? Tena kwanini hukumfuata mbuzi uone anaelekea wapi? Tena alikuwa akivuta sigara kwahiyo alikimbia nao mdomoni? Yule si analiaga wakati anakimbia haikumdondoka?[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siri ya mtungi ijuayo kata. Wewe hauwezi kubali maana sio ulieona. Usiombe ukutane na vibwengo ndugu yangu kama ni chooni utasahau hata kuvaa chumi utoke nduki uchi.
Ukiona mtu anapinga ujue naye yumo hataki watu wajue kama kuna mambo kama hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ