Hiki ndiyo kituko nlichowahi kukutana nacho makaburini usiku. Sitosahau

Sisi tulikua tunatoka bagamoyo kumzika jirani yetu. Kufika njiani tukakuta pembeni ya barabara kuna fimbo ina kofia. Jamaa mmoja akasema hapa kuna mzee anataka kwenda mjini (Dar) hivyo hii fimbo ni saini ya kuonesha kuwa gari itakayoanza kufika hapa na kuona fimbo na kofia hii isimame kumsubiri huyo mzee aje apande tuende nae.

Dereva wetu alivyosikia vile akataka asimame kumsubiri huyo mzee ambae hata yeye alikuwa hamjui. Sisi tukaanza kupiga kelele kuwa asisimame maana wengine tunachelewa katika shughuli zetu, dereva akatusikia akaendelea.

Kufika mbele kabla ya kufika katika mpaka wa Dar na Bagamoyo gari yetu ikaacha njia, tukaenda kulivamia bonge la mti dereva hapo hapo akakata moto, i mean akafariki.

Haya mambo sio poa
 
Sasa wakati nageuka nikaona nyuma yangu kuna kundi la watu wamebeba jeneza wanakuja upande wangu halafu juu ya jeneza kuna mtu kakaa na yeye anavuta fegi, halafu kila jamaa wakipiga hatua, yeye anajamba.

Nikaona nyuma hakufai bora huku huku nilipotaka kupakimbia. Nikageuka na kuanza kutoka nduki kuelekea kwa mbuzi anaevuta sigara. Ghafla nikaona na mbuzi na yeye anatoka nduki na sigara yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Makaburini: Ni sehemu iliyojaa upweke na ukiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukikaa chini nchumali, na ukinyanyuka juu nchale πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
mwanangu umenitajia hayo majina umenikumbusha utoto aisee movie ya kwanza kuona ilikua disco dancer.... wahindi waliteka hisia za muafrika kipindi kile ...andha kanoon hafu kila movie amrish poor ndo jambazi kuuπŸ˜‚πŸ˜‚ aloo
Yani enzi hizo majambazi waliokuwa wanaongoza kunogesha movie walikuwa ni Amrish Puri sisi tulipenda kumwita mzee ashanti, au Deni (mzee fulani alikuwa na sura kama ya kichina kichina), pia alikuwepo mungine tulimwita Shakti, mungine kadel kana.

Kwa upande wa masterling kuna Dharmendra na mwanae Sunny Deol, Kuna Amita Bachan, Mithun Chakarabot, Vijay Kumar, Ajey, Sunil Shety, Sanj duty, Sharu Khan na wengine wengi.

Kwa sasa mtu ambae anaweza kucheza movie watu wa aina zote yani wa miaka ya 90 na sasa wakaipenda ni Sharu Khan na Salman Khan.
 
Yule nahisi alikuwa mwenzao, ningekimbilia kule anapoelekea yeye huenda nisingerudi. Ndomaana nilishtuka na kubadili uelekeo. Nikakimbia kivyangu.
 
Ukiona mtu anapinga ujue naye yumo hataki watu wajue kama kuna mambo kama hayo.
Hapa kuna ukweli. Wanaobisha sana ndio wahusika wenyewe wa kimya kimya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hizi ishu zinatokea ila hiyo image unavyoona ni ubongo wako mwenyewe tu unakudanganya kwa vile una hofu ya kufirikia kitu fulani kwa sanaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…...Hii inasababishwa na akili za kitoto
 
Haya mambo kama mtu hujakutana nayo hauwezi kuelewa. Hata mimi before ya kukutana nayo sikuwa nayaelewa kabisa.
 
Huoni kama kakosea kuandika Magomeni Mikumi...
Sasa hata kama kakosea bado haihalalishi mtu kushangazwa vile alivyoshangaza.

Magomeni kota kweli ni mbali sana kufika midizini maana itakulazimu uvuke Morogoro road.

Lakini Mikumi sio mbali kivile hadi mtu uone maajabu. Alafu sisi tulikuwa tunaenda yale maeneo ambayo mtu una uhakika wa kuona zile movie uzipendazo, sio ilimradi kuangalia movie tu hata kama hauzipendi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…