Tetea hoja kwa hoja humu kuna watu na heshima zao wanapitia comment.Jiheshimu punguza mihemko jenga hoja dini zote tumeletewa.Afu huyo anayemchapa kavaa kobazi.
Mavaa kobazi yana matatizo sana.
Hii siyo sawa hata kidogo, kama mzazi nimeangalia nikaumia.
ASANTE KA KULIONA HILIHii siyo sawa hata kidogo, kama mzazi nimeangalia nikaumia.
Nyie mnaotetea huu ukatili inawezekana mlipigwa mpaka mkapungukiwa uwezo wa kifikiri, maana huwezi ukaangalia hii clip ukaona hao watoto wadogo hivyo wanastahili kupigwa kwa kiasi hicho.
HAYA YA KUIPGA FIMBO MTOTO YAMEPITWA NA WAKATI, UKATILI MKUBWA HUU!HAPANA Sitetei Dini Nazungumza Uhalisia wa maisha yetu waafrika na malezi yetu kwa ujumla.
Kwa namna ya malezi yetu (both walimu tulionao na Wanafunzi waliopo) adhabu kama hiyo sio Extreme punishment Sababu fimbo tano hadi sita tena za sehemu salama ya mkono sio Adhabu ya kikatili.
Adhabu za kikatili zinafahamika lakini kwa mtoto wa miaka 9 hadi 12 fimbo tano za mkononi kwa Fimbo ya kawaida SIO UKATILI. HII ndio hoja yangu.
Lazima tukubali kuwa adhabu lengo lake sio kumfurahisha Muadhibiwa bali ni kumkanya na Kumuadabisha na katika hatua hiyo lazima kuna maumivu ayapate yule aliyepatiwa adhabu. ili ibaki kumbukumbu katika Akili yake.
Ikiwa ni Extreme punishment hapo sawa. Ila kwa adhabu hiyo katika clip hiyo huwezi sema hiyo ni Extreme punishment.
Hapa wale ambao ni walimu watakuwa wananielewa vizuri.
Atalambwa mboko ikiwa atapitiliza.Sio kwamba sisi CONSERVATIVES hatuna akili.Tunaakili na tunajua kupima magnetude ta jambo kabla ya kuliendea.😂😂 mtoto wa miaka mitatu hata yeye anajua zuri na baya.
Anajua siruhusiwi kushika simu ya baba atanichapa/atafoka au hatanipa hiki.
Ila kwa baba dizaidi yako, mwanao wa miaka 3 akiangusha simu yako makusudi au bahati mbaya si ajabu utamlamba mboko kama za shekhe hapo, sio??
Hiyo ndio maana ya adhabu kwa mujibu wako??
WALIMU KATILI WATAKUELEWAHAPANA Sitetei Dini Nazungumza Uhalisia wa maisha yetu waafrika na malezi yetu kwa ujumla.
Kwa namna ya malezi yetu (both walimu tulionao na Wanafunzi waliopo) adhabu kama hiyo sio Extreme punishment Sababu fimbo tano hadi sita tena za sehemu salama ya mkono sio Adhabu ya kikatili.
Adhabu za kikatili zinafahamika lakini kwa mtoto wa miaka 9 hadi 12 fimbo tano za mkononi kwa Fimbo ya kawaida SIO UKATILI. HII ndio hoja yangu.
Lazima tukubali kuwa adhabu lengo lake sio kumfurahisha Muadhibiwa bali ni kumkanya na Kumuadabisha na katika hatua hiyo lazima kuna maumivu ayapate yule aliyepatiwa adhabu. ili ibaki kumbukumbu katika Akili yake.
Ikiwa ni Extreme punishment hapo sawa. Ila kwa adhabu hiyo katika clip hiyo huwezi sema hiyo ni Extreme punishment.
Hapa wale ambao ni walimu watakuwa wananielewa vizuri.
Kuumia kwako ni swala la kihisia ila wewe mara ngapi umemfumua mtoto wako kisawasawa tuambizane ukweli.Hii siyo sawa hata kidogo, kama mzazi nimeangalia nikaumia.
Nyie mnaotetea huu ukatili inawezekana mlipigwa mpaka mkapungukiwa uwezo wa kifikiri, maana huwezi ukaangalia hii clip ukaona hao watoto wadogo hivyo wanastahili kupigwa kwa kiasi hicho.
KWA RUHUSA YA NANI KUFANYA HIVI? KUWA MWALIMU SIYO KUWA YOU OWN THE KIDS...Hata huyo ostazi huwenda ameshawaonya sana mpaka kifikia hapo
Mkuu nahisi hujawahi kukaa na Watoto katika kuwalea na kuwafundisha ndio maana ni Rahisi wewe kuongea haya.Kama akili yake ya kuwafanya wawahi imefika mwisho basi bakora mbili ziliwatosha.
Na hiyo nguvu za kuoigia mwizi azipeleke mahala pengine na kama umeisikiliza hiyo clip hao mabwana wanasema hiyo cha mtoto huwa anamalizia hasira zake kwa watoto.
Aisee 😒, yani mtoto wa miaka mitatu anaweza kupitiliza nini hasa mpaka umlambe mboko?Atalambwa mboko ikiwa atapitiliza.Sio kwamba sisi CONSERVATIVES hatuna akili.Tunaakili na tunajua kupima magnetude ta jambo kabla ya kuliendea.
Hata huyo ostazi huwenda ameshawaonya sana mpaka kifikia hapo.Tusi hukumu,ndomaana nikasema waalimu waje watupe mrejesho yale wanayopitia kutoka kwq watoto wa watanzania😀😀😀
Yaani hata mimi ningemng'ataIla kwa Mimi angekula ngumi mpaka akome!
Sipigi mtoto na watoto wangu wote ni vijana wakubwa sasa na ni bora kuliko namna yoyote ambayo ningeweza kutarajia (kielimu, kitabia na hofu ya Mungu)Kuumia kwako ni swala la kihisia ila wewe mara ngapi umemfumua mtoto wako kisawasawa tuambizane ukweli.
Kizazi hiki cha wazazi wa kileo bomu tunalopika likija kulipuka hakuna atakayesalimika.HAPANA Sitetei Dini Nazungumza Uhalisia wa maisha yetu waafrika na malezi yetu kwa ujumla.
Kwa namna ya malezi yetu (both walimu tulionao na Wanafunzi waliopo) adhabu kama hiyo sio Extreme punishment Sababu fimbo tano hadi sita tena za sehemu salama ya mkono sio Adhabu ya kikatili.
Adhabu za kikatili zinafahamika lakini kwa mtoto wa miaka 9 hadi 12 fimbo tano za mkononi kwa Fimbo ya kawaida SIO UKATILI. HII ndio hoja yangu.
Lazima tukubali kuwa adhabu lengo lake sio kumfurahisha Muadhibiwa bali ni kumkanya na Kumuadabisha na katika hatua hiyo lazima kuna maumivu ayapate yule aliyepatiwa adhabu. ili ibaki kumbukumbu katika Akili yake.
Ikiwa ni Extreme punishment hapo sawa. Ila kwa adhabu hiyo katika clip hiyo huwezi sema hiyo ni Extreme punishment.
Hapa wale ambao ni walimu watakuwa wananielewa vizuri.
Ni vile tupo behind keyboard ila kwa aina hiyo ya malezi ya kimayaimayai mtoto kuja kuweza kujisimamia ni wachache sana.Sipigi mtoto na watoto wangu wote ni vijana wakubwa sasa na ni bora kuliko namna yoyote ambayo ningeweza kutarajia (kielimu, kitabia na hofu ya Mungu)
Ukatili siyo namna pelee ya malezi, badilikeni!
Hamna anaepingana na adhabu, kinachopingwa ni ukubwa wa adhabu.Mkuu nahisi hujawahi kukaa na Watoto katika kuwalea na kuwafundisha ndio maana ni Rahisi wewe kuongea haya.
Tukitaka kuwalea watoto wetu kizungu tuwalee tuu.... ila Ndio tukubali kile tutakachokuja Kukivuna huko mbeleni.
Huko ulaya now kuna vituo vya kubali tabia sijui vituo vya watoto walishindikana yote hayo kwa Sababu ya kufanya mambo bila kiwango(too much rights),,,
watoto wasiteswe lakini pia wasidekezwe lazima wakikosea waadabishwe. Kwenye kuadabishwa kuna Maumivu.
Kwanini usitoe hoja yako bila kashfa.Hakuna sehemu viongozi wa dini hawana kashfa.Nilidhani ni MRUMI pekee ndiye anafundisha watoa kiingilio cha kanisani wapya (watoa sadaka) kwa kutumia viboko kumbe hata Wafuasi wa Mud nao wanatumia kiboko!
Walivyo wahuni wana walawiti pia.
Hizi imani ni utapeli,tuweni makini.
Wewe weka vipimo vya adhabu.Hamna anaepingana na adhabu, kinachopingwa ni ukubwa wa adhabu.
Yaani unataka kutuaminisha kua kipigo kitasaidia kumshape mtoto pasi na maelekezo na mafunzo, vitoto vyenyewe rojorojo hivi utapiga uue kama yule jamaa wa Njombe sijui alieua kisa dogo hajarudisha chenji kamili.
Toa adhabu lakini ilingane na uhimili, usije sababisha maafa zaidi.
Madogo mabao, makwezi na mitama wanakula sana tu ila sio wote utawapa hizo adhabu.
Kama ni hivyo basi tunakubaliana kua adhabu ina vipimo vyake, adhabu ya kumpa kijana wa miaka 15 mwenye afya njema huwezi kumpa wa miaka 5.Atalambwa mboko ikiwa atapitiliza.Sio kwamba sisi CONSERVATIVES hatuna akili.Tunaakili na tunajua kupima magnetude ta jambo kabla ya kuliendea.
Hata huyo ostazi huwenda ameshawaonya sana mpaka kifikia hapo.Tusi hukumu,ndomaana nikasema waalimu waje watupe mrejesho yale wanayopitia kutoka kwq watoto wa watanzania😀😀😀
Ili washinde 30,000,000/= pale kwa Nkapa wakishinda sifa zote kwa Hostadh alowafundisha kwa kuwatia mikwaju hio ni moja tu imeenda viral ila ndio kinachoendelea huko MudrasaMuwapige kiasi iko
Nimekupa mfano wa mtoto wa miaka mitatu na wewe ukajibu nini??Wewe weka vipimo vya adhabu.
Aina ya Silaha ya kutolea adhabu.
Acha siasa bwqna mkubwa.Unaongea vitu ingeneral sana ebu dadavua vizuri.Maana kimsingi ostadhi yeye kwa makadirio yake ameona hiyo adhabu ndo stahiki kwa mizani yake.
Wewe ni kwa vipi unatuaminisha mizani yako ni sahihi na ya ostadhi sio??.