Mtoto wangu anaadabu zile nazohitaji mimi.Wewe wako anaadabu katika mizani yako tusipangiane maisha.Aisee 😒, yani mtoto wa miaka mitatu anaweza kupitiliza nini hasa mpaka umlambe mboko?
Basi wangu ni kati ya wale wachache, namshukuru Mungu!Ni vile tupo behind keyboard ila kwa aina hiyo ya malezi ya kimayaimayai mtoto kuja kuweza kujisimamia ni wachache sana.
Wengi huaribikiwa na maisha.Tuache kudanganyana humu.
Ukisema huwezi hiyo ni relative and subjective.Kama ni hivyo basi tunakubaliana kua adhabu ina vipimo vyake, adhabu ya kumpa kijana wa miaka 15 mwenye afya njema huwezi kumpa wa miaka 5.
Na mkuu usiende sana kwenye kosa au maonyo uliyompa, ukifanya hivyo basi ni dhahiri unaweza kuua mwanao. Kumkataza na kurudia kosa hakukupi wewe ruhusa ya kumpiga kama mbwa mwizi.
Na hao walimu si wanafundishwa kuhandle watoto, nini maana ya wao kusomea ualimu na ukumbe hao walimu pia ni wazazi.
Kama kuchapwa hivi pia ni ukatili basi hakuna mtanzania ambaye hajawahi kufanyiwa ukatili hizo tumepigwa sana tena huyo ostadhi hapigi sana..anawagusa tu.
Sawa ila ukipuuza hapo jamii ikakuona inakukalia kooni kama huyo shekhe.Ukisema huwezi hiyo ni relative and subjective.
Dunia imebadilika Joh, usipobadilika nayo litakukuta jambo.Kama kuchapwa hivi pia ni ukatili basi hakuna mtanzania ambaye hajawahi kufanyiwa ukatili hizo tumepigwa sana tena huyo ostadhi hapigi sana..anawagusa tu.
Kuna sehemu nimetaja dini ya mtu hapo?Tetea hoja kwa hoja humu kuna watu na heshima zao wanapitia comment.Jiheshimu punguza mihemko jenga hoja dini zote tumeletewa.
Hakuna dini bora kuliko nyingine.Ukienda India kuna baadhi ya majimbo itakulazimu uwaheshimu waabudu Ng'ombe na hairuhusiwi kula nyama ya ng'ombe.Tembea ujifunze!!!
📌📌Jaribu kutumia akili kabla ya kutenda.
Si kweli, mimi sijawahi kupigwa katika umri huo na kwa kiwango hicho na ni mtanzania.Kama kuchapwa hivi pia ni ukatili basi hakuna mtanzania ambaye hajawahi kufanyiwa ukatili hizo tumepigwa sana tena huyo ostadhi hapigi sana..anawagusa tu.
📌Huna akili you certified idiot!!!Kuna sehemu nimetaja dini ya mtu hapo?
Au una kisebusebu na kihoro?
Tunachotakiwa kujua Sisi Waafrika ni kwamba; Wazungu Wametupiga Gap katika Uchumi na Teknolojia na Sisi Tumewapiga Gap katika Misingi ya Familia bora Na Malezi bora.Hamna anaepingana na adhabu, kinachopingwa ni ukubwa wa adhabu.
Yaani unataka kutuaminisha kua kipigo kitasaidia kumshape mtoto pasi na maelekezo na mafunzo, vitoto vyenyewe rojorojo hivi utapiga uue kama yule jamaa wa Njombe sijui alieua kisa dogo hajarudisha chenji kamili.
Toa adhabu lakini ilingane na uhimili, usije sababisha maafa zaidi.
Madogo mabao, makwezi na mitama wanakula sana tu ila sio wote utawapa hizo adhabu.
Tz inajamii ya watu wanafiki,kazi kulaumu serikali na kusubiri kila kitu ifanyiwe na serikali.Sawa ila ukipuuza hapo jamii ikakuona inakukalia kooni kama huyo shekhe.
Nincompoop.📌Huna akili you certified idiot!!!
Kesho akiambiwa atiwe ili asiwe anachapwa lazima akubali.
Ningekuwa muislam nisingepeleka mtotIli washinde 30,000,000/= pale kwa Nkapa wakishinda sifa zote kwa Hostadh alowafundisha kwa kuwatia mikwaju hio ni moja tu imeenda viral ila ndio kinachoendelea huko Mudrasa
Eti mwl huyu anafundisha dini!
Ukishakuwa Mwafrika au Mwarabu Unakuwa Nusu Mtu Nusu Nyani.
Negative reinforcement does not support Physical Injury nor any kind of Abuse.Tuweni serious that is textbook proper dissemination of negative reinforcement for disciplinary purposes!
Mwanafunzi anayedoji masomo unampa adhabu inayomfanya akose masomo zaidi?Negative reinforcement does not support Physical Injury nor any kind of Abuse.
Angempa hata adhabu ya Kubeba maji ajaze ndoo tano kwa kutumoa kidumu cha lita tano. Hii haina physical pain/ injury