Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
SANDALAND waprinti tu jezi mpya kama wanataka kufupisha jina la kampuni yao waziandike (SaLa), kama walishazalisha jezi nyingi itabidi waingie hasara tu kwana zitakuwa vigumu sana kuuzika.
Hawa Sandaland hawakuweza kujifunza kutokana na mjadala wa kukataliwa balozi mteule wa Zambia nchini Tanzania mwaka 2016 Bwana Musenge Mukuma?
Hawa Sandaland hawakuweza kujifunza kutokana na mjadala wa kukataliwa balozi mteule wa Zambia nchini Tanzania mwaka 2016 Bwana Musenge Mukuma?