King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
SANDALAND waprinti tu jezi mpya kama wanataka kufupisha jina la kampuni yao waziandike (SaLa), kama walishazalisha jezi nyingi itabidi waingie hasara tu kwana zitakuwa vigumu sana kuuzika.
Hawa Sandaland hawakuweza kujifunza kutokana na mjadala wa kukataliwa balozi mteule wa Zambia nchini Tanzania mwaka 2016 Bwana Musenge Mukuma?
SANDALAND anataka kufanya kila kitu yeye ,awe anatafuta consultant katika project zake ,yaani hakufikiri kabisa neno SANDA kibiashara litaleta mushkeri?