Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubaliana na wewe, ila hilo neno SANDA litatia kasoro kwenye mauzo nakuambia. Na wakifungwa hapo tarehe 8, hizi SANDA ndo watazikwa nazo. Ishu siyo kuweka tu hela, bali na ubunifu. Angetafuta namna nyingine ya kuweka jina lake lakini siyo SANDA. Au hata SaLa = Sanda Land..!! AU SLMimi sina maslahi yoyote, ila naheshimu hela ya mtu. Unafikiri kuipa klabu 4B kwa miaka miwili ni kitu kidogo?
Ka SANDA?Kapicha basi
Wasipofungwa zitakuwa sio sanda?Na wakifungwa hapo tarehe 8, hizi SANDA ndo watazikwa nazo.
Kwanza haiwezekani wasifungwe..!! Pili, kama wakifanikiwa kutofungwa, kwa maana ya droo, zitakuwa SANDA ambazo zinasubiri marehemu watarajiwa..!!Wasipofungwa zitakuwa sio sanda?
ExactlyKa SANDA?
Aina hii ya ushabiki huitwa ushabiki OyaOya.Kwangu chochote wanachofanya MBUMBUMBU kwangu ni failure.
Atajua mwenyewe na Ufreemason wake. Hizo jezi atavaa mwenyewe mjinga yule.Tunaoziona ndinga zake kila mara zenye special numbe SANDA pale Kariakoo, wala hicho kitu hakipo kichwani. Mnataka kusema na magari yake ya 350M plus nayo ni sanda ya maiti?
Jamaa hana shida keshakula pesa yake na huo ni mkakati wa jirani.SANDALAND waprinti tu jezi mpya kama wanataka kufupisha jina la kampuni yao waziandike (SaLa), kama walishazalisha jezi nyingi itabidi waingie hasara tu kwana zitakuwa vigumu sana kuuzika.
Hawa Sandaland hawakuweza kujifunza kutokana na mjadala wa kukataliwa balozi mteule wa Zambia nchini Tanzania mwaka 2016 Bwana Musenge Mukuma?
It is too irrelevant, inashangaza kuona mtu akijifichia hapo.Kwahiyo umeona kabisa is very relevant kulinganisha SANDA ya Tanzania na FILA ya brazil?
Kumbe kweli😄😄😄
Jezi zingeandikwa ubaya ubwel
Hiyo kauli ya ubaya ubwela inawarudia wenyepe.Sema haka kauli mbiu ka UBAYA UBWELA kanabamba sana. Japo mimi Uto ila nakakakubali.
Hapa Sanda kufanyaje sijui wangeweka ubaya ubwela wangeuza sana.