Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Usisahau kuwa anaowakera ndo anategemea awauzie hizo SANDA. Nani atanunua sasa?? Soko kubwa la hizo SANDA ni Tanzania, na ndo umewakera..!! Nunua SANDA uchekwe. Na siku ya tarehe nane mkivaa SANDA zenu halafu mfungwe nane ndo utajua maana halisi ya hiki tunachokisema.Sasa si mnachozingatia ninyi ni neno linalokera, bila kujali kuwa muwekezaji ameweka hela zake hapo ili awalipe na yeye apate kiasi chake! Yaani jina la brand ya mtu ndio linakusimamishia mishipa ya shingo hadi unaanzishia uzi? Unafikiri una uchungu na neno la SANDA kuliko mwenyewe Sanda Omari Yenga anayeipa Simba 4B ? Kwamba hapendi hela alizotoa zirudi? Acheni ushamba
SANDA FC oni fulikiiii...!!