Hawa Sandaland hawakuweza kujifunza kutokana na mjadala wa kukataliwa balozi mteule wa Zambia nchini Tanzania mwaka 2016 Bwana Musenge Mukuma?
Jamaa kajichanganya source ya hii habari ilikua. "Kweli Tena Nakwambia."
Jamaa kajichanganya source ya hii habari ilikua. "Kweli Tena Nakwambia."
Sanda ni tusi?SANDALAND waprinti tu jezi mpya kama wanataka kufupisha jina la kampuni yao waziandike (SaLa), kama walishazalisha jezi nyingi itabidi waingie hasara tu kwana zitakuwa vigumu sana kuuzika.
Hawa Sandaland hawakuweza kujifunza kutokana na mjadala wa kukataliwa balozi mteule wa Zambia nchini Tanzania mwaka 2016 Bwana Musenge Mukuma?
Jezi zingeandikwa ubaya ubwelaSANDALAND waprinti tu jezi mpya kama wanataka kufupisha jina la kampuni yao waziandike (SaLa), kama walishazalisha jezi nyingi itabidi waingie hasara tu kwana zitakuwa vigumu sana kuuzika.
Hawa Sandaland hawakuweza kujifunza kutokana na mjadala wa kukataliwa balozi mteule wa Zambia nchini Tanzania mwaka 2016 Bwana Musenge Mukuma?
Kwahiyo umeona kabisa is very relevant kulinganisha SANDA ya Tanzania na FILA ya brazil?
FactKwahiyo umeona kabisa is very relevant kulinganisha SANDA ya Tanzania na FILA ya brazil?
hakuna kinachobamba hapo mwananchi mwenzangu ni ladha tu ya kutamka lakini kimantiki hamna kituSema haka kauli mbiu ka UBAYA UBWELA kanabamba sana. Japo mimi Uto ila nakakakubali.
Hapa Sanda kufanyaje sijui wangeweka ubaya ubwela wangeuza sana.
Kama FILA kwao siyo tusi sioni kama ni tatizo. Kwetu sisi neno SANDA linahusishwa na kifo. Na mtakufa tarehe 8Fact
Ukiacha maana ya FILA huko ilipotoka, ile ya bongo huwa ina “R” siyo “L”
Kwangu chochote wanachofanya MBUMBUMBU kwangu ni failure.Sema haka kauli mbiu ka UBAYA UBWELA kanabamba sana. Japo mimi Uto ila nakakakubali.
Hapa Sanda kufanyaje sijui wangeweka ubaya ubwela wangeuza sana.
Sasa si mnachozingatia ninyi ni neno linalokera, bila kujali kuwa muwekezaji ameweka hela zake hapo ili awalipe na yeye apate kiasi chake? Yaani jina la brand ya mtu ndio linakusimamishia mishipa ya shingo hadi unaanzishia uzi? Unafikiri una uchungu na neno la SANDA kuliko mwenyewe Sanda Omari Yenga anayeipa Simba 4B ? Yaani abadilishe jina alilopewa utotoni kwa sababu tu mla mihogo mmoja halipendi? Kwamba hapendi hela alizotoa zirudi? Acheni ushambaKwahiyo umeona kabisa is very relevant kulinganisha SANDA ya Tanzania na FILA ya brazil?