Hiki walichofanya Sandaland ni marketing failure kubwa sana, waprinti jezi nyingine tu upya

Usisahau kuwa anaowakera ndo anategemea awauzie hizo SANDA. Nani atanunua sasa?? Soko kubwa la hizo SANDA ni Tanzania, na ndo umewakera..!! Nunua SANDA uchekwe. Na siku ya tarehe nane mkivaa SANDA zenu halafu mfungwe nane ndo utajua maana halisi ya hiki tunachokisema.

SANDA FC oni fulikiiii...!!
 
Hii ndio jezi mbaya kuliko zote ya simba kwa kipindi cha miaka ya hivi karibuni.Hii timu itakua imejichokea kila sekta.
 
Kama anapenda ela irudi angetengeneza kitu kizuri.Lengo nikuwapa mashabiki kitu kizuri sasa kama kujiita sanda ndo kitu kizuri kwake ngoja tuone muitikio wa mashabiki itakuaje.ila mimi binafsi naona kazingua.
 
Mkuu mashart hayo lazima atekeleze
Ukitaka cha uvunguni lazima uiname
 
Mtazoea tu na mtasahau. Tulikuwa tuna mchezaji mmoja anaitwa Sserunkuma, alipokuja hata watu wakawa na ukakasi kutaja jina lake. Lakini baada ya mwezi tu watu wakawa wanatamka kama tunavyoitamka utopolo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…