Hiki walichofanya Sandaland ni marketing failure kubwa sana, waprinti jezi nyingine tu upya


SANDALAND anataka kufanya kila kitu yeye ,awe anatafuta consultant katika project zake ,yaani hakufikiri kabisa neno SANDA kibiashara litaleta mushkeri?
 
Mbaya zaidi hao wachambaji wajinga wanachamba neno Sanda huku wakiwa wamevaa jezi zilizoandikwa neno Fila , na wamezivaa miaka nenda rudi, tangu utotoni hadi leo wamekuwa wazee(sijui kama wamewahi kufanyiwa kitendo kama hicho)
 
Jezi zimeuzika snaa na zinaendlea kuuzika.....Hilo neno sanda limeshatolewa ufafanuzi hvo acheni kuweka maana tofauti na aliyosema mzabuni wa jezi.
 
Kwa tuliosoma lugha neno Sanda halitusumbui kabisa.Tunajua process of word formation,pia tunajua homonyms,kwamba maneno yanatamkwa the same lakini yana maana tofauti..Kuna neno kwa mfano *Barabara*Lina mana ya njia pia linamanisha sawa sawa. Hata SANDA Lina maana ya vazi la maiti na pia ni kifupisho Cha SANDALAND ila kwakuwa wenye akili huko ni wawili bàsi Haina shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…