Nauona mpasuko mkali vibaya sana. Wafu wanataka kuzikana. Heche, Hilda, mange, sarungi na wenye mapumbu ni chadema diaspora (ngumi mkononi) na wengine wasio na mapumbu ni chadema Tanzania (dialogue).Wewe unaelekea wapi ? Mpumbavu mmoja
Ukimzoea sana mbwa atakufuata hata msikitini ukisujudu.
Uongozi wa sasa wa chadema waliwaamini, kuwaheshimu na kuwategemea sana wanaharakati akina mange, sarungi na hilda. Hata hivyo sasa hivi mbwa wameingia nae kwenye mimbari; hawana mapumbu wote kasoro Heche na lissu. Yaani hata Katibu wa chama Mnyika na mwanasheria Nshala hawana hizo zana.
Kwenye hili Heche anacheka kigazeti teh teh teh huku akipunga (wage) mkia wake kama paka anaekunywa maziwa safi. Yuko kimya kwa maana anakubaliana na Hilda kuwa wenzake hawana hizi silaha za usiku kama alivyosema Hilda?
chadema inaelekea wapi?
Unajisumbua bure. Maandiko yako hayawezi kuisambaratisha CHADEMA. Nenda ukaoshe miguu ya bi EdaUkimzoea sana mbwa atakufuata hata msikitini ukisujudu.
Uongozi wa sasa wa chadema waliwaamini, kuwaheshimu na kuwategemea sana wanaharakati akina mange, sarungi na hilda. Hata hivyo sasa hivi mbwa wameingia nae kwenye mimbari; hawana mapumbu wote kasoro Heche na lissu. Yaani hata Katibu wa chama Mnyika na mwanasheria Nshala hawana hizo zana.
Kwenye hili Heche anacheka kigazeti teh teh teh huku akipunga (wage) mkia wake kama paka anaekunywa maziwa safi. Yuko kimya kwa maana anakubaliana na Hilda kuwa wenzake hawana hizi silaha za usiku kama alivyosema Hilda?
chadema inaelekea wapi?
hearsay tu... nawe unaamini? uthibitisho wa hilda kusema hayo upo wapi???Ukimzoea sana mbwa atakufuata hata msikitini ukisujudu.
Uongozi wa sasa wa chadema waliwaamini, kuwaheshimu na kuwategemea sana wanaharakati akina mange, sarungi na hilda. Hata hivyo sasa hivi mbwa wameingia nae kwenye mimbari; hawana mapumbu wote kasoro Heche na lissu. Yaani hata Katibu wa chama Mnyika na mwanasheria Nshala hawana hizo zana.
Kwenye hili Heche anacheka kigazeti teh teh teh huku akipunga (wage) mkia wake kama paka anaekunywa maziwa safi. Yuko kimya kwa maana anakubaliana na Hilda kuwa wenzake hawana hizi silaha za usiku kama alivyosema Hilda?
chadema inaelekea wapi?
Weka sourceUkimzoea sana mbwa atakufuata hata msikitini ukisujudu.
Uongozi wa sasa wa chadema waliwaamini, kuwaheshimu na kuwategemea sana wanaharakati akina mange, sarungi na hilda. Hata hivyo sasa hivi mbwa wameingia nae kwenye mimbari; hawana mapumbu wote kasoro Heche na lissu. Yaani hata Katibu wa chama Mnyika na mwanasheria Nshala hawana hizo zana.
Kwenye hili Heche anacheka kigazeti teh teh teh huku akipunga (wage) mkia wake kama paka anaekunywa maziwa safi. Yuko kimya kwa maana anakubaliana na Hilda kuwa wenzake hawana hizi silaha za usiku kama alivyosema Hilda?
chadema inaelekea wapi?
Silence is the best answer to stupid questions.Ukimzoea sana mbwa atakufuata hata msikitini ukisujudu.
Uongozi wa sasa wa chadema waliwaamini, kuwaheshimu na kuwategemea sana wanaharakati akina mange, sarungi na hilda. Hata hivyo sasa hivi mbwa wameingia nae kwenye mimbari; hawana mapumbu wote kasoro Heche na lissu. Yaani hata Katibu wa chama Mnyika na mwanasheria Nshala hawana hizo zana.
Kwenye hili Heche anacheka kigazeti teh teh teh huku akipunga (wage) mkia wake kama paka anaekunywa maziwa safi. Yuko kimya kwa maana anakubaliana na Hilda kuwa wenzake hawana hizi silaha za usiku kama alivyosema Hilda?
chadema inaelekea wapi?
Taasisi isiyolinda hadhi ya viongozi wake ni taasisi isiyokuwa na hadhi. Taasisi isiyokuwa na utamaduni wa kuvumilia hoja mbadala ni taasisi legelege. Na taasisi yenye wajumbe wanaotumia matusi badala ya hoja kuonyesha kutofautiana ndani ya taasisi ni taasisi isiyokuwa na malengo. Taasisi isiyokuwa na mkemeaji mkuu ni taasisi ya wavulana/watoto.Nadhani unachanganya ujasiri wa kisiasa na lugha za kejeli. Kwanza, kuwaheshimu na kushirikiana na wanaharakati kama Mange, Sarungi na Hilda hakukuwa udhaifu wa CHADEMA, bali ilikuwa ni sehemu ya kujenga nguvu ya umma na kupanua wigo wa mapambano ya kisiasa. Pili, Mnyika na Nshala hawawezi kupimwa kwa vigezo vya matusi au kauli za mitandaoni; wanapaswa kupimwa kwa wajibu, maamuzi na mchango wao ndani ya chama. Kuhusu Heche kukaa kimya, huwezi kuhitimisha kwamba anakubaliana na Hilda kwa sababu tu hajatoa kauli. Huo ni ni mtazamo wako, si ushahidi. Na jambo la msingi zaidi, kama viongozi wa CHADEMA wamekosea, tujadili makosa yao, mikakati yao na uwajibikaji wao badala ya kutumia lugha za kudhalilisha. Siasa si mashindano ya nani ana makelele mengi, bali nani ana hoja, msimamo na uwezo wa kusimamia taasisi.
Hadhi hailindwi kwa kuzuia ukosoaji. Inalindwa kwa kuheshimu taratibu na misingi ya chama. Makosa ya viongozi wachache si makosa ya taasisi nzima,Taasisi isiyolinda hadhi ya viongozi wake ni taasisi isiyokuwa na hadhi. Taasisi isiyokuwa na utamaduni wa kuvumilia hoja mbadala ni taasisi legelege. Na taasisi yenye wajumbe wanaotumia matusi badala ya hoja kuonyesha kutofautiana ndani ya taasisi ni taasisi isiyokuwa na malengo. Taasisi isiyokuwa na mkemeaji mkuu ni taasisi ya wavulana/watoto.