Hilda Newton: Siwezi kukubali Ubunge wa kuhalalisha haramu

Kauli ya nini wakati muhusika hataki, hataki, hataki tena mumko..... kama mlivyoko......zi....... la ma....ye.....nu.
Huyu mdada kiboko ni Chadema kwelikweli.
 

“My dear sister, to make a mistake is not a mistake BUT to repeat a mistake is a dangerous mistake”! Wakati Maalim Seif aliposusa uchaguzi na nafasi ya Makamu wa Rais wakati wa kipindi cha Rais mstaafu Dr Shein, chama chake na watu wake walifaidi nini? Sasa kama Maalim atasusa tena mwaka huu na aache kuchukua nafasi ya umakamo wa Rais wa Zanzibar au kupendekeza jina kama la Mheshimiwa Juma Duni Haji kuichukua mwaka huu baada ya Rais mzalendo na mpole Hussein kupeleka mwaliko, ATAFAIDI KITU GANI?????? If you cannot defeat them join them, fighting from within is far better than staying at the main gate hands “AKIMBO”! Please learn from previous committed unholy blunders. Please wake up and be aggressive, seize the opportunity and fight from within. Mfano mwingine mzuri kama Rais Magufuli angalikimbia CCM alipokuwa mbunge na waziri kwa sababu ya kutokukubaliana na viongozi wa awamu zote(huku akijua fika kuna makosa madogo au makubwa ya watendaji) ANGALIKUWA RAIS WA TANZANIA na kupata nafasi ya kurekebisha yote ambayo kishayafanya kwa just kipindi cha miaka mitano??????? Kwani Reli ya kutoka DSM mpaka Arusha kwa kutokuwepo kwa kipindi cha miaka 30 halikuwa kosa/ufisadi/kutokuwa na uzalendo????
 
Hilda tumemjua juzi tu, anataka kusema ana credibility kuliko Mdee? Huko ndani Chadema kuna shida kubwa, hizi ni cheche tu!
 
Kuondoka kwa slaa kuliifanya chadema ibaki jina tu bila substance
Na angeondoka wakati anagombea urais ingekuwaje? Huyu aliisha rudi kwenu hata kabla ya uchaguzi. Na kwa vile kadi alikuwa nayo... Kama alivyokuwa Mashinji.

Amandla...
 
Muda wake haujafika tu na labda hajafika bei, Tanzania wanasiasa ni wanafiki sana sana, ni wachache sana kwa upande wa zanzibar ndio husimama na wananchi., Ata mbowe ni legelege, Lissu pia ni Ligelege, Chadema kwisha habar yake.,
 
Kwenye hili Halima Mdee kajidhalilisha sana.
 
Ndiyo maanake amekataa haramu
Wabunge kwenye oridha 19 na wameapishwa 19. Yeye alikuwa kwenye orodha ipi? Zilikuwepo mbili au kuna jina la mtu liliongezwa baada ya yeye kukataa? Nani huyo aliyeongezwa?
 
Chadema nayo ina wenyewe bila Connection hutoboi Imagine Hilda Newton Kakosa Ubunge wakati alishinda Viti Maalum kwenye Chama!
Imagine Jesca Kishoa Mke wa Kada wa CCM David Kafulila Katoboa Ubunge Viti Maalum CHADEMA ila Hilda Newton Kakosa! Life is not fair kabisa
 
ni muda muafaka kwake kipindi hiki aolewe na kuzaa, umri wake upo 35 sasa.
 
ni muda muafaka kwake kipindi hiki aolewe na kuzaa, umri wake upo 35 sasa.
Hawa wanaharakati,huwa hawawezi swala la ndoa kabisa na wengi wao huwa ni wasagaji.Hakuna mwanaume anaejitambua,na anetafura furaha ya moyo wake anaeweza kuoa mwanaharakati.
 
Hawa wanaharakati,huwa hawawezi swala la ndoa kabisa na wengi wao huwa ni wasagaji.Hakuna mwanaume anaejitambua,na anetafura furaha ya moyo wake anaeweza kuoa mwanaharakati.
Wana harakati wengi wapo kwenye mahusino sema hawapendi kuweka mabwana zao hadharani, refer Fatma ana Mdosi, Maria sarungi, Catherine ruge na wengine wengi, hata hilda Newton afike pahala aweke hadharani tu
 
Wana harakati wengi wapo kwenye mahusino sema hawapendi kuweka mabwana zao hadharani, refer Fatma ana Mdosi, Maria sarungi, Catherine ruge na wengine wengi, hata hilda Newton afike pahala aweke hadharani tu
Aisee, ko bwanaako na ww atakuwa Mdosi flan ivi eeh??! Naye um'display dzain bas tumjue kama vp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…