Hili jambo lilinifanya nikatae kujiunga na Jeshi. Niliona ni udhalilishaji

Wa
Utani mwingine bwana.

Ile kazi inahitajika kuwa imara haswa.

Kuna siku nimewakuta wenyewe zile lori zao imezimwa wanasukuma kwenye muinuko kidogo.

Sasa kama huko vizuri utajikuta unaporomosha tu vitu huko bila kujizuia.
Vizuri, umegusa moja ya mifano mizuri kuna zaidi ya hayo ambayo lazima physically uwe vizuri. Tatizo humu watu wanaandika kwa kudhihaki majukumu ya watu. Lakini ni vyema kukumbuka lazima watu wagawane majukumu ili Taifa lisogee sasa wote tukiwa wahasibu, walimu, wahandisi n.k hatutakuwa na usalama wa kutimiza hayo majukumu ndiyo maana lazima wengine wajiunge huko kwa jukumu la kuleta utulivu na amani unazani hata nyumba za ibada watu wangeenda? Huwa tunakosea sana.
 
Jilaumu kwa uelewa wako mdogo. Hata ukifanyiwa uchunguzi wa mwili mzima ni vivyo hivyo.
 
Anayekupima ni mwanamke, sasa unaogopa nini?
 
You made my day [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…