Labda na mimi nina bipolar maana mimi naona nyuzi zake za kawaida tu, nadhani humu ndani kuna watu maalum wanajifanya wana akili sana na kuwafanya wengine wajinga, kuna yule kid kidukulile alikuwa anajimwambafai humu basi akipost kitu chochote walikuwa wanamuambia dishi limeyumba, kuna masuala ya unyanyasaji wa mitandaoni huu ni mmoja wapo, tuacheni mambo ya kijinga inawezekana kuna wana wawili watatu waliwahi kujisevia kwa da mauwa kwa hiyo wanajikuta wajanja wakati ni mambo ya kawaida tu, ache acheni ushamba uliopitiliza, tena kuna mademu utakuta wanaunga mkono mambo kama haya ujinga mtupu, kabla hujamuona mwenzako dishi limeyumba, una uhakika na wewe hatukuoni hivyo hivyo sema tu tumeamua kukustiri?