Hili jambo linanigharimu sana

Hili jambo linanigharimu sana

Nipo sawa tatizo wanaume wa humu wanapenda nyapu wakiona mtu kajitambua eti hajielewi
Mimi nyapu napenda lkn siwachukii wanaojitambua, ndio maana hakuna alienipa nyapu yake humu wala silalamiki au kuanzisha nyuzi japo inauma kwa kweli.
 
Hapo thatha...😂, ila how come mwanaume ufikie hatua hiyo to pretend be woman and mind consumed with that wacky thinking
Wengi wanafanya hivyo ili kitapeli hela za wanaume wanaokuja inbox
 
Labda na mimi nina bipolar maana mimi naona nyuzi zake za kawaida tu, nadhani humu ndani kuna watu maalum wanajifanya wana akili sana na kuwafanya wengine wajinga, kuna yule kid kidukulile alikuwa anajimwambafai humu basi akipost kitu chochote walikuwa wanamuambia dishi limeyumba, kuna masuala ya unyanyasaji wa mitandaoni huu ni mmoja wapo, tuacheni mambo ya kijinga inawezekana kuna wana wawili watatu waliwahi kujisevia kwa da mauwa kwa hiyo wanajikuta wajanja wakati ni mambo ya kawaida tu, ache acheni ushamba uliopitiliza, tena kuna mademu utakuta wanaunga mkono mambo kama haya ujinga mtupu, kabla hujamuona mwenzako dishi limeyumba, una uhakika na wewe hatukuoni hivyo hivyo sema tu tumeamua kukustiri?
Halafu wadada wengi humu wanafiki , wana ID hamsini , badala ya kusupport vitu vya kujenga wana support wanaume mwisho wa siku haileti picha nzuri ni mbaya nakusikitisha
 
Usiwe negativity kuwa positive
How!!
Kwa sasa malengo ya mwanamke wa kuoa yanatakiwa yawe hivi
Apate baba ambaye atamuhakikishia vitu hivi
Kuvaa apendeze
Uhakika wa kwenda salon angalau kila wiki
Kumnunulia simu nzuri yenye storage kubwa pamoja na camera nzuri
Kula vizuri
Kutatua shida kadhaa za kipesa kwa wakwe
Outing angalau kila mwezi

Kwasababu sisi ni kitu kimoja malengo ya mama yaende kama ushauri kwa baba juu ya nini cha kufanya ili mambo yawe vipi
 
Hiyo ni amri ya 7 sio ya 6,kasome vizuri biblia yako .
 
Back
Top Bottom