Hili kundi la Yanga mchekea sana, Timu hapo ni TP Mazembe tu nayo siku hizi imezembea

Hili kundi la Yanga mchekea sana, Timu hapo ni TP Mazembe tu nayo siku hizi imezembea

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
CAF CONFEDERATION CUP 2022/2023
Group D:

1: TP Mazembe (RDC)

2: US Monastri (TUN

3: Young Africans S.C. (TAN)

4: Real Bamako (MLI)

Sasa hapo timu inayojiita ya wananchi ishindwe yenyewe tu kuongoza kundi. Hakuna timu hapo, na hiyo TP Mazembe imebakiza jina tu, imezembea sana!! Timu kali za wanaume ziko CAF Champions league!! Huko kila kundi ni moto!!

CAF CHAMPIONS LEAGUE 2022/2023
Group C:

1: raja casablanca fc

2: Horoya A,c (GUI)

3: Simba (TAN)

4: Vipers Sc (UGA)
 
Simba mkishindwa kutoboa hapo .......mtakua mmezngua sana makundi magumu ni hayo yaliyobaki ....

Hili lenu ni .... kamseleleko
 
Mashabiki wengi wa Simba huwa mnalialia kwa kudhani mambo ni mepesi kama mnavyo andika kama hivi. Yan mnavyorahisisha mambo utafikiri nini sijui
 
1672597043765.png
 
CAF CONFEDERATION CUP 2022/2023
Group D:

1: TP Mazembe (RDC)

2: US Monastri (TUN

3: Young Africans S.C. (TAN)

4: Real Bamako (MLI)

Sasa hapo timu inayojiita ya wananchi ishindwe yenyewe tu kuongoza kundi. Hakuna timu hapo, na hiyo TP Mazembe imebakiza jina tu, imezembea sana!! Timu kali za wanaume ziko CAF Champions league!! Huko kila kundi ni moto!!

CAF CHAMPIONS LEAGUE 2022/2023
Group C:

1: raja casablanca fc

2: Horoya A,c (GUI)

3: Simba (TAN)

4: Vipers Sc (UGA)
tatizo letu yanga ni ball possesion haswaa midfilders. Ufundi wa midfilders wa kupanda na kushuka huku wakimiliki mpira bado saana . Ila tuombe tuu timu pinzani nao wawe poor in ball possesion hapo tutatoboa kilaini.
 
Screenshot_20230101-215302_Chrome.jpg

Screenshot_20230101-214945_Chrome.jpg

Screenshot_20230101-214734_Chrome.jpg

Uhalisia wa form ya timu kwa kundi la Yanga hauko kama unavyodhani. Tazama zinavyofanya kwenye ligi zao utajua ugumu uliopo.
 
Hiyo timu kutoka mali nayo ni kali?
Kama ilivyo Yanga, nayo inaongoza kwenye ligi ya Mali.
US Monastir pia iko juu kwenye kundi lake. Juzi juzi tu hapa imempa Africain 3-0.

Ukiangalia kwa kina, timu zote kwenye group la Yanga inaomekana haifungiki kizembe. Na hii itakuwa changamoto sana kwa Yanga maana utumiaji wa nafasi kwa timu zetu ni mdogo sana.
 
CAF CONFEDERATION CUP 2022/2023
Group D:

1: TP Mazembe (RDC)

2: US Monastri (TUN

3: Young Africans S.C. (TAN)

4: Real Bamako (MLI)

Sasa hapo timu inayojiita ya wananchi ishindwe yenyewe tu kuongoza kundi. Hakuna timu hapo, na hiyo TP Mazembe imebakiza jina tu, imezembea sana!! Timu kali za wanaume ziko CAF Champions league!! Huko kila kundi ni moto!!

CAF CHAMPIONS LEAGUE 2022/2023
Group C:

1: raja casablanca fc

2: Horoya A,c (GUI)

3: Simba (TAN)

4: Vipers Sc (UGA)
Group la moto sana hili maana cassablanca na vipers ni timu ngumu sana kwetu
 
Horoya ni wa moto sana. Cassablanca form yake imedrop lakini kwenye mashindano haya ni giant. Simba asipokaza tutamuona mwisho wa group.
Dah huu ni ukweli mchungu sana japo wenzangu hawataki kuukubali ila tusipokuwa makini tunaloose makundi
 
Back
Top Bottom