mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Hebu tuambie tu laini group la simba ni ipi? Tuanze na Vipers ambaye alikupasua mbili ukiwa kwenye siku zako.Simba mkishindwa kutoboa hapo .......mtakua mmezngua sana makundi magumu ni hayo yaliyobaki ....
Hili lenu ni .... kamseleleko
tatizo letu yanga ni ball possesion haswaa midfilders. Ufundi wa midfilders wa kupanda na kushuka huku wakimiliki mpira bado saana . Ila tuombe tuu timu pinzani nao wawe poor in ball possesion hapo tutatoboa kilaini.CAF CONFEDERATION CUP 2022/2023
Group D:
1: TP Mazembe (RDC)
2: US Monastri (TUN
3: Young Africans S.C. (TAN)
4: Real Bamako (MLI)
Sasa hapo timu inayojiita ya wananchi ishindwe yenyewe tu kuongoza kundi. Hakuna timu hapo, na hiyo TP Mazembe imebakiza jina tu, imezembea sana!! Timu kali za wanaume ziko CAF Champions league!! Huko kila kundi ni moto!!
CAF CHAMPIONS LEAGUE 2022/2023
Group C:
1: raja casablanca fc
2: Horoya A,c (GUI)
3: Simba (TAN)
4: Vipers Sc (UGA)
Umewakomesha!! Hakuna uto yeyote mwenye ubavu wa kujibu post yako hii, labda awe na kichwa kama cha mwendawazimu!!Hebu tuambie tu laini group la simba ni ipi? Tuanze na Vipers ambaye alikupasua mbili ukiwa kwenye siku zako.
Hiyo timu kutoka mali nayo ni kali?Yanga hapo ndio underdog Kwa wote , huo ndio ukweli.
Kama ilivyo Yanga, nayo inaongoza kwenye ligi ya Mali.Hiyo timu kutoka mali nayo ni kali?
Hakuna mserleleko hata kidogo.Simba mkishindwa kutoboa hapo .......mtakua mmezngua sana makundi magumu ni hayo yaliyobaki ....
Hili lenu ni .... kamseleleko
Group la moto sana hili maana cassablanca na vipers ni timu ngumu sana kwetuCAF CONFEDERATION CUP 2022/2023
Group D:
1: TP Mazembe (RDC)
2: US Monastri (TUN
3: Young Africans S.C. (TAN)
4: Real Bamako (MLI)
Sasa hapo timu inayojiita ya wananchi ishindwe yenyewe tu kuongoza kundi. Hakuna timu hapo, na hiyo TP Mazembe imebakiza jina tu, imezembea sana!! Timu kali za wanaume ziko CAF Champions league!! Huko kila kundi ni moto!!
CAF CHAMPIONS LEAGUE 2022/2023
Group C:
1: raja casablanca fc
2: Horoya A,c (GUI)
3: Simba (TAN)
4: Vipers Sc (UGA)
Sawa,ila kwa uzoefu simba haijawahi kupangwa makundi na timu laini ila huwa inatoboaGroup la moto sana hili maana cassablanca na vipers ni timu ngumu sana kwetu
Horoya ni wa moto sana. Cassablanca form yake imedrop lakini kwenye mashindano haya ni giant. Simba asipokaza tutamuona mwisho wa group.Group la moto sana hili maana cassablanca na vipers ni timu ngumu sana kwetu
Dah huu ni ukweli mchungu sana japo wenzangu hawataki kuukubali ila tusipokuwa makini tunaloose makundiHoroya ni wa moto sana. Cassablanca form yake imedrop lakini kwenye mashindano haya ni giant. Simba asipokaza tutamuona mwisho wa group.