Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Hakuna kitu sikipendi kama kumuona mtu anamsema vibaya magufuli
Yaani natamani nim-meze mzima mzima nikamnye Burundi
Hata kama ni mwizi na muuwaji ??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu sikipendi kama kumuona mtu anamsema vibaya magufuli
Yaani natamani nim-meze mzima mzima nikamnye Burundi
Nina uhakika ame comment bila kusoma. Save your energy bro.Lakini amezungumzia hadi suala la kutumia mabavu kuhakikisha chama chake ndo kinakuwa na uwakilishi bungeni kitu ambacho kimepelekea kukosekana kwa wapinzani ambao wangepaza sauti bungeni kupinga mambo kama haya.
Ukiwa unatoa maoni yako ondoa hulka ya mahaba niue ndo utaiweka akili iwe huru ku argue mambo.
Tuthibitishie kwa kutuwekea hiyo report hapa.kupeleka Uchaguzi ule kugubikwa na ripoti chafu za Waangalizi wa ndani na nje.
kama hutaki kusikia huyo mbwa akisemwa kufa au hama nchi bwabwa lake wewe.Hakuna kitu sikipendi kama kumuona mtu anamsema vibaya magufuli
Yaani natamani nim-meze mzima mzima nikamnye Burundi
Hii ndiyo report?Kuna mtu alisema kinachotuponza ni kuwa tegemezi mpaka kufikiri. Niliumia nikadhani anatusingizia, ghafla nakutana na hoja kama hii
Kibur chenu nyie makuwadi ya warabu dpworld kitawaisha ni mda mchacje umebaki narudia tena ni mda mchache umebaki kama huamin wewe kuwadi la warabu subiria utaona na huyo mamayenu mwambien arudishe hela alizohongwa na warabu kwa hiari tofaut na hapo zitamtokea kwenye kila tundu la mwili wake.Mkuu endelea kulalamika lakini DP World ipo tayari mlangoni mwako. Hutaki, HAMIA Burundi!
Wapumbavu kama hawa ndio mtaji wa madalali wanaouza rasilimali zetu.Kumlaumu marehemu aliyeondoka bila kuacha tatizo, halafu unamuacha aliyetengeneza tatizo na bado analilinda, unatafuta laana.
Ahahahahaha! Ningelikuwa mgeni humu JF ningeliogopa kweli kwa huu mkwara! Ahahahahaha!!!kibur chenu nyie makuwadi ya warabu dpworld kitawaisha ni mda mchacje umebaki narudia tena ni mda mchache umebaki kama huamin wewe kuwadi la warabu subiria utaona na huyo mamayenu mwambien arudishe hela alizohongwa na warabu kwa hiari tofaut na hapo zitamtokea kwenye kila tundu la mwili wake.
Zz wwkama hutaki kusikia huyo mbwa akisemwa kufa au hama nchi bwabwa lake wewe.
Unaweza prove?Hata kama ni mwizi na muuwaji ??
Nakazia
Unakumbuka G55, je unakumbuka Rev Kasuyupa? Na wengineo wakati WA chama kimoja na kiongozi ni Julius , ambaye alikuwa anawatenga wanaompinga na kwanyima fursa ya MaishaBado sehemu mbalimbali za nchi yetu zinaendelea kujadili kuhusu Uwekezaji wa DP-World. Mbaya zaidi, mitazamo inayotolewa sasa inajadiliwa kwa milengo ya kidini, jambo ambalo si la kawaida katika nchi yetu.
Ni nini mzizi wa haya yote?