Hili la Bandari, lawama hii iende kwa hayati Magufuli

Bado sehemu mbalimbali za nchi yetu zinaendelea kujadili kuhusu Uwekezaji wa DP-World. Mbaya zaidi, mitazamo inayotolewa sasa inajadiliwa kwa milengo ya kidini, jambo ambalo si la kawaida katika nchi yetu.

Ni nini mzizi wa haya yote?

Kisa kilianza Mwaka 2020, wakati wa Uchaguzi Mkuu. Ulikuwa ni moja kati ya chaguzi ambazo zilijawa na malalamiko mengi kutoka upinzani, uvunjifu wa sheria za uchaguzi na kupeleka Uchaguzi ule kugubikwa na ripoti chafu za Waangalizi wa ndani na nje.

Lakini kwa nini haya yote yalitokea?

Haya yote yalitokea ili kutimiza adhma ya aliyekuwa Rais wa wakati huo Hayati, Dkt. John Magufuli ya kutaka kutengeneza Bunge la Jamuhuri ya Muungano lenye wanachama wa chama chake tu (CCM). Hili linathibitishwa na kauli yake aliyoitoa Tarehe 22 Januari 2020, alisema;

“Haiwezekani Mkurugenzi nikuteue mimi, nikulipe mini mshahara na kukujazia mafuta kwenye gari halafu kwenye Uchaguzi utangaze kuwa Mpinzani ameshinda”

Kauli hii ndio leo hii imesababisha leo bunge letu kuwa ni Bunge la chama kimoja. Hivyo, maamuzi yote kufanywa kwa kuridhisha chama na viongozi wake wakuu, wakiwamo Rais wa Jamhuri ya Tanzania kama Mwenyekiti wa Chama hiko.

Je, hasara ya jambo hili ni nini?

Hapa kwenye hasara ndipo kwenye lawama, Magufuli alituachia Bunge lisilo na meno, Bunge ambalo lingekubali kila kitu kwa kuwa kimekubalika na Rais ambaye ndiye Mwenyekiti wa chama. Bunge linalopitisha hoja bila kuchunguza kwa kina.

SUALA LA BANDARI SI LA KUJADILIWA VIJIWENI NA KWENYE NYUMBA ZA IBADA.

Haya maoni ambayo watu wanayajadili, vipengele ambacho vinatia shaka kwenye Mkataba, vilipaswa kujadiliwa bungeni kwa sababu, Bunge ndicho chombo pekee chenye Mamlaka ya kuongoza mijadala hii ambayo imezua gumzo, si kuacha mambo haya kwenda mpaka kwenye nyumba za ibada.

Naamini ya kuwa; kuna kundi kubwa la Wabunge ambao wanaamka sasa hivi kutambua kumbe kuna baadhi ya vipengele katika Mkataba vinazua utata, ila walivyokuwa bungeni, kwa sababu ya “Mob Psychology” wakakubali tu bila kuvitathimini ili vinapofika mtaani wananchi waelewe kuwa Bunge lao limejadili kitu gani kupunguza uwezekano wa kuzuka kwa utata huku mitaani.

Matokeo yake, suala hili linajadiliwa kidini leo hii. Tupo kwenye hatari ya KUGAWANYIKA.

JE, CCM HUJALI MASLAHI YA CHAMA KULIKO NCHI WANAYOONGOZA?

Ni rahisi sana kwa mtu yeyote kujibu swali hili kwa jibu la NDIO. Kwa sababu kuu mbili;

  1. Hoja nilizojadili hapo juu, naamini Hayati Magufuli wakti wa uhai wake hakufikiria madhara ambayo nchi ingeweza kuyapata endapo Bunge litaundwa kwa chama chake tu kupitia kupora Uchaguzi mkuu. Lakini hapa ndipo tulipofikia.
  2. Leo, tarehe 27 Agosti, Rais amekasirishwa sana na amepoteza imani na Mkurugenzi na Mkuu wa wilaya ya Mtwara, kwa sababu ya kushindwa kusambaza kadi za CCM kwa wananchi ambao kwa madai yake wanasema ni Upinzani. Amesema“Siwezi kustahimili kadi za chama zinarudishwa, Mkuu wa wilaya yupo, DED yupo, namtimua leo, kadi za chama zinarudishwa na watu wanashida anaulizwa nini, ooh! Unajua kule wengi wapinzani, so what? Watanzania wale, sina imani na mkuu wa Wilaya aliyesababisha kadi zirudishwe
Inaonyesha dhahiri kuwa, Rais ameumizwa kuona chama kinakataliwa na baadhi ya watu, ila sikuona hatua kama hii ikichukuliwa kwenye ubadhilifu ulioandikwa kwenye ripoti ya CAG.

Makosa yale aliyofanya Hayati, ya kutanguliza chama kisha Taifa. Anayafanya aliyepo sasa. Muda utaongoea.

Mwl. Diwani.

Naona mjadala kuhusu madudu yaliyotolewa katika ripoti ya CAG umekuwa " canibalized" na sakata hili la mjadala kuhusu mkataba wa DPW. Bunge halipaswi kuwa "derailed" katika ripoti hii, kitu ambacho liliahidi kukifanya katika vikao vya mkutano ujao.

Wananchi ni lazima tuwe makini katika kushughulikia kila "specific issue" ili kuliponya taifa. Kila tatizo litibiwe kutokana na "antidotes" zake. Madudu yaliyoorodheshwa katika ripoti iliyopita ya CAG ni lazima yatolewe majibu ya kina ili "audit queries" zijibiwe na kutolewa mashaka yote yaliyopo nyuma yake.

Natoa rai kwa wanaharakati, vyama vya upinzani, na watu wote wenye nia njema na mustakabali mwema wa taifa letu, waanze pia kuizunngumzia ajenda hii kwa nguvu zote ambayo bado ipo "pending" ili iwe sambamba na mijadala kuhusu sakata la mkataba wa DPW.
 
Hiyo kauli aliizumza akiwa wapi?
 
Utakazwa sasa we kazia kila kitu tu
Unawashwa ntakukuna makalio hadi unye umbwa ulikuja duniani kwa bahati mbaya mama yako kapata hasara kwa kuzaa mtoto shoga ambae kichwani na makalio vipo wazi
 
Naona mjadala kuhusu madudu yaliyotolewa katika ripoti ya CAG umekuwa " canibalized" na sakata hili la mjadala kuhusu mkataba wa DPW. Bunge halipaswi kuwa "derailed" katika ripoti hii, kitu ambacho liliahidi kukifanya katika vikao vya mkutano ujao.

Wananchi ni lazima tuwe makini katika kushughulikia kila "specific issue" ili kuliponya taifa. Kila tatizo litibiwe kutokana na "antidotes" zake. Madudu yaliyoorodheshwa katika ripoti iliyopita ya CAG ni lazima yatolewe majibu ya kina ili "audit queries" zijibiwe na kutolewa mashaka yote yaliyopo nyuma yake.

Natoa rai kwa wanaharakati, vyama vya upinzani, na watu wote wenye nia njema na mustakabali mwema wa taifa letu, waanze kuizunngumzia ajenda hii ambayo bado ipo "pending" sambamba na sakata la mkataba wa DPW.
Safi. Suala la DP World lime fade mjadala wa Madudu ya Ripoti ya CAG.

Shida ni kuwa, base ya Wanaharakati ni ndogo ukilinganisha na ukubwa wa Siasa zetu. Mijadala kama hii inakosa tones nyingi.
 
RIP Magufuli daima tutamkumbuka kwa mengi mazuri.
 
Bado sehemu mbalimbali za nchi yetu zinaendelea kujadili kuhusu Uwekezaji wa DP-World. Mbaya zaidi, mitazamo inayotolewa sasa inajadiliwa kwa milengo ya kidini, jambo ambalo si la kawaida katika nchi yetu.

Ni nini mzizi wa haya yote?

Kisa kilianza Mwaka 2020, wakati wa Uchaguzi Mkuu. Ulikuwa ni moja kati ya chaguzi ambazo zilijawa na malalamiko mengi kutoka upinzani, uvunjifu wa sheria za uchaguzi na kupeleka Uchaguzi ule kugubikwa na ripoti chafu za Waangalizi wa ndani na nje.

Lakini kwa nini haya yote yalitokea?

Haya yote yalitokea ili kutimiza adhma ya aliyekuwa Rais wa wakati huo Hayati, Dkt. John Magufuli ya kutaka kutengeneza Bunge la Jamuhuri ya Muungano lenye wanachama wa chama chake tu (CCM). Hili linathibitishwa na kauli yake aliyoitoa Tarehe 22 Januari 2020, alisema;

“Haiwezekani Mkurugenzi nikuteue mimi, nikulipe mini mshahara na kukujazia mafuta kwenye gari halafu kwenye Uchaguzi utangaze kuwa Mpinzani ameshinda”

Kauli hii ndio leo hii imesababisha leo bunge letu kuwa ni Bunge la chama kimoja. Hivyo, maamuzi yote kufanywa kwa kuridhisha chama na viongozi wake wakuu, wakiwamo Rais wa Jamhuri ya Tanzania kama Mwenyekiti wa Chama hiko.

Je, hasara ya jambo hili ni nini?

Hapa kwenye hasara ndipo kwenye lawama, Magufuli alituachia Bunge lisilo na meno, Bunge ambalo lingekubali kila kitu kwa kuwa kimekubalika na Rais ambaye ndiye Mwenyekiti wa chama. Bunge linalopitisha hoja bila kuchunguza kwa kina.

SUALA LA BANDARI SI LA KUJADILIWA VIJIWENI NA KWENYE NYUMBA ZA IBADA.

Haya maoni ambayo watu wanayajadili, vipengele ambacho vinatia shaka kwenye Mkataba, vilipaswa kujadiliwa bungeni kwa sababu, Bunge ndicho chombo pekee chenye Mamlaka ya kuongoza mijadala hii ambayo imezua gumzo, si kuacha mambo haya kwenda mpaka kwenye nyumba za ibada.

Naamini ya kuwa; kuna kundi kubwa la Wabunge ambao wanaamka sasa hivi kutambua kumbe kuna baadhi ya vipengele katika Mkataba vinazua utata, ila walivyokuwa bungeni, kwa sababu ya “Mob Psychology” wakakubali tu bila kuvitathimini ili vinapofika mtaani wananchi waelewe kuwa Bunge lao limejadili kitu gani kupunguza uwezekano wa kuzuka kwa utata huku mitaani.

Matokeo yake, suala hili linajadiliwa kidini leo hii. Tupo kwenye hatari ya KUGAWANYIKA.

JE, CCM HUJALI MASLAHI YA CHAMA KULIKO NCHI WANAYOONGOZA?

Ni rahisi sana kwa mtu yeyote kujibu swali hili kwa jibu la NDIO. Kwa sababu kuu mbili;

  1. Hoja nilizojadili hapo juu, naamini Hayati Magufuli wakti wa uhai wake hakufikiria madhara ambayo nchi ingeweza kuyapata endapo Bunge litaundwa kwa chama chake tu kupitia kupora Uchaguzi mkuu. Lakini hapa ndipo tulipofikia.
  2. Leo, tarehe 27 Agosti, Rais amekasirishwa sana na amepoteza imani na Mkurugenzi na Mkuu wa wilaya ya Mtwara, kwa sababu ya kushindwa kusambaza kadi za CCM kwa wananchi ambao kwa madai yake wanasema ni Upinzani. Amesema“Siwezi kustahimili kadi za chama zinarudishwa, Mkuu wa wilaya yupo, DED yupo, namtimua leo, kadi za chama zinarudishwa na watu wanashida anaulizwa nini, ooh! Unajua kule wengi wapinzani, so what? Watanzania wale, sina imani na mkuu wa Wilaya aliyesababisha kadi zirudishwe
Inaonyesha dhahiri kuwa, Rais ameumizwa kuona chama kinakataliwa na baadhi ya watu, ila sikuona hatua kama hii ikichukuliwa kwenye ubadhilifu ulioandikwa kwenye ripoti ya CAG.

Makosa yale aliyofanya Hayati, ya kutanguliza chama kisha Taifa. Anayafanya aliyepo sasa. Muda utaongoea.

Mwl. Diwani.

Makenge hawatisha nchi hii..wapitishe wengine alaumiwe mwingine..ujenzi wa Bandari ya Bagomoyo Magufuli alihusika pia?
Msoga family acheni kuhamisha ukuta
 
Magufuli hakupanda ndege kwenda kujipendekeza kwa waarabu, wala Magufuli hakujigeuza bubu akiulizwa maswali kuhusu mkataba mbovu wa bandari, kuna watu hamna akili kabisa, mpo kama mbuzi tu.

Kumlaumu marehemu aliyeondoka bila kuacha tatizo, halafu unamuacha aliyetengeneza tatizo na bado analilinda, unatafuta laana.
Huwa ninakuelewa, ila hapa ni big No. pointi kuu ya mleta mada ni jinsi Magufuli alili paralyse bunge kwa kuuiba uchaguzi. ishu za chama kushika hatamu zimeathiri nchi pakubwa. ma ccm ni majinga, tunayajua, sasa madhara yake mtayaona.

binafsi unaona tuna Bunge?. Yule mzee alikuwa ni dikteta uchwara! Rais wa ajabu!
 
Lakini amezungumzia hadi suala la kutumia mabavu kuhakikisha chama chake ndo kinakuwa na uwakilishi bungeni kitu ambacho kimepelekea kukosekana kwa wapinzani ambao wangepaza sauti bungeni kupinga mambo kama haya.

Ukiwa unatoa maoni yako ondoa hulka ya mahaba niue ndo utaiweka akili iwe huru ku argue mambo.
huyu mwamba nimemshangaa sana, Magu aliharibu sana hili Taifa. alikuwa Rais wa hovyo!
 
Hakuna kitu sikipendi kama kumuona mtu anamsema vibaya Magufuli

Yaani natamani nim-meze mzima mzima nikamnye Burundi
Tukiwasema watu bogus humu ndani hakika wewe unatakiwa uondolewe kwa sababu umevuka kuwa bogus sasa sijui utaitwaje wewe. Hata Adolf Hitler wapo wanaomsifia hadi leo.
 
Kazi ipo hapo.
 
Lakini amezungumzia hadi suala la kutumia mabavu kuhakikisha chama chake ndo kinakuwa na uwakilishi bungeni kitu ambacho kimepelekea kukosekana kwa wapinzani ambao wangepaza sauti bungeni kupinga mambo kama haya.

Ukiwa unatoa maoni yako ondoa hulka ya mahaba niue ndo utaiweka akili iwe huru ku argue mambo.
Wakati hao wapinzani wako wengi bungeni waliwahi kuzuia hoja gani isipitishwe na ccm!
 
Bado sehemu mbalimbali za nchi yetu zinaendelea kujadili kuhusu Uwekezaji wa DP-World. Mbaya zaidi, mitazamo inayotolewa sasa inajadiliwa kwa milengo ya kidini, jambo ambalo si la kawaida katika nchi yetu.

Ni nini mzizi wa haya yote?

Kisa kilianza Mwaka 2020, wakati wa Uchaguzi Mkuu. Ulikuwa ni moja kati ya chaguzi ambazo zilijawa na malalamiko mengi kutoka upinzani, uvunjifu wa sheria za uchaguzi na kupeleka Uchaguzi ule kugubikwa na ripoti chafu za Waangalizi wa ndani na nje.

Lakini kwa nini haya yote yalitokea?

Haya yote yalitokea ili kutimiza adhma ya aliyekuwa Rais wa wakati huo Hayati, Dkt. John Magufuli ya kutaka kutengeneza Bunge la Jamuhuri ya Muungano lenye wanachama wa chama chake tu (CCM). Hili linathibitishwa na kauli yake aliyoitoa Tarehe 22 Januari 2020, alisema;

“Haiwezekani Mkurugenzi nikuteue mimi, nikulipe mini mshahara na kukujazia mafuta kwenye gari halafu kwenye Uchaguzi utangaze kuwa Mpinzani ameshinda”

Kauli hii ndio leo hii imesababisha leo bunge letu kuwa ni Bunge la chama kimoja. Hivyo, maamuzi yote kufanywa kwa kuridhisha chama na viongozi wake wakuu, wakiwamo Rais wa Jamhuri ya Tanzania kama Mwenyekiti wa Chama hiko.

Je, hasara ya jambo hili ni nini?

Hapa kwenye hasara ndipo kwenye lawama, Magufuli alituachia Bunge lisilo na meno, Bunge ambalo lingekubali kila kitu kwa kuwa kimekubalika na Rais ambaye ndiye Mwenyekiti wa chama. Bunge linalopitisha hoja bila kuchunguza kwa kina.

SUALA LA BANDARI SI LA KUJADILIWA VIJIWENI NA KWENYE NYUMBA ZA IBADA.

Haya maoni ambayo watu wanayajadili, vipengele ambacho vinatia shaka kwenye Mkataba, vilipaswa kujadiliwa bungeni kwa sababu, Bunge ndicho chombo pekee chenye Mamlaka ya kuongoza mijadala hii ambayo imezua gumzo, si kuacha mambo haya kwenda mpaka kwenye nyumba za ibada.

Naamini ya kuwa; kuna kundi kubwa la Wabunge ambao wanaamka sasa hivi kutambua kumbe kuna baadhi ya vipengele katika Mkataba vinazua utata, ila walivyokuwa bungeni, kwa sababu ya “Mob Psychology” wakakubali tu bila kuvitathimini ili vinapofika mtaani wananchi waelewe kuwa Bunge lao limejadili kitu gani kupunguza uwezekano wa kuzuka kwa utata huku mitaani.

Matokeo yake, suala hili linajadiliwa kidini leo hii. Tupo kwenye hatari ya KUGAWANYIKA.

JE, CCM HUJALI MASLAHI YA CHAMA KULIKO NCHI WANAYOONGOZA?

Ni rahisi sana kwa mtu yeyote kujibu swali hili kwa jibu la NDIO. Kwa sababu kuu mbili;

  1. Hoja nilizojadili hapo juu, naamini Hayati Magufuli wakti wa uhai wake hakufikiria madhara ambayo nchi ingeweza kuyapata endapo Bunge litaundwa kwa chama chake tu kupitia kupora Uchaguzi mkuu. Lakini hapa ndipo tulipofikia.
  2. Leo, tarehe 27 Agosti, Rais amekasirishwa sana na amepoteza imani na Mkurugenzi na Mkuu wa wilaya ya Mtwara, kwa sababu ya kushindwa kusambaza kadi za CCM kwa wananchi ambao kwa madai yake wanasema ni Upinzani. Amesema“Siwezi kustahimili kadi za chama zinarudishwa, Mkuu wa wilaya yupo, DED yupo, namtimua leo, kadi za chama zinarudishwa na watu wanashida anaulizwa nini, ooh! Unajua kule wengi wapinzani, so what? Watanzania wale, sina imani na mkuu wa Wilaya aliyesababisha kadi zirudishwe
Inaonyesha dhahiri kuwa, Rais ameumizwa kuona chama kinakataliwa na baadhi ya watu, ila sikuona hatua kama hii ikichukuliwa kwenye ubadhilifu ulioandikwa kwenye ripoti ya CAG.

Makosa yale aliyofanya Hayati, ya kutanguliza chama kisha Taifa. Anayafanya aliyepo sasa. Muda utaongoea.

Mwl. Diwani.

Jjiwe alikuwa shhetani
 
Back
Top Bottom