Hili la kifo cha Dkt. Faustine Ndugulile limeniumiza sana, shida ni nini?

Nioneshe huyo Tajiri.?

All in all hujaelewa mada.utabibu sio madaktari, utabibu ni vifaa. Hata dawa unazoandikiwa hazitoki kwenye vichwa vyetu, zinatoka kwenye guideline na miongozo ambayo imeshaweka…. Akiumwa malaria mpe hiki, akiwa na infection mpe hicho….. ndio mana hata wasiosomea udaktari akipewa train anaweza ku practice. Unaponiambia madaktari wanatoka india na kwenda USA na wanafanya vema…….. unakuwa na notion kuwa udaktari ni watu

Now days tunatumia robotucs and automation with machine learning and artificial intelligence kutibu. Tunahitaji limited number of human resources.

Hata ukimchukua Dr wa Tanzania, akienda USA akafanya registration, atafanya vema kwa sababu hatotibu from his head bali from miongozo na resources zinazokuwepo ambazo ni advanced

Je umenielewa ? Au unahitaji kueleweshwa zaid ?
 
Lakini isituzuie kuchukua tahadhari just because kifo ni kifo na kifo mpango wa mungu. Tukiamini kwenye haya yatupasa tukae na tusubiri kifo. Lisu alipona kwa sababu the right place inayoweza kusababisha kifo haikuguswa
Nakubaliana na wewe tahadhari ni muhimu sana na ndio inavyotakiwa na juhudi zinatakiwa katika kutetea uhai

Lkn mwisho wa siku uhai na kifo vipo mikononi mwa muumba
 
Acheni kusingizia India wengi wa viongozi wetu wanatembeaga nao tu.

Victoire King Kong III

VIongozi wetu wanakufa ghafla sana ,Mafuru naye kabla hajapelekwa india siku kama nne alikuwa Arusha kwenye mkutano ,na Dr Faustine na yeye kama siku 10 nyuma alikuwa fresh tu anapiga story na wabunge wenzake na kushauriana mambo.
 
Wana uwezo wa kula vizuri na kufanya mazoezi lakin wapi ,unavyosema viongozi wengi ukiwaangalia hawana nuru kabisa wagonjwa wagonjwa tu
umesema 💯
 
Hapo lazima watu wauane 130m +78m(60% ya 130m) kwa mwezi almost 200m inaingia kwa family ,a lot of money aisee.
 
Hapo lazima watu wauane 130m +78m(60% ya 130m) kwa mwezi almost 200m inaingia kwa family ,a lot of money aisee.
kuna benefits nyingine na mambo ya vacation, it was a really steak 🥩 mzee, tena Sirloin steak 🥩. Kuna benefits za nchi pia zinapatikana

Aisee haya maisha unatakiwa uwe katili na mbishi ndio utafika kwenye ukuu, otherwise…….
 
VIongozi wetu wanakufa ghafla sana ,Mafuru naye kabla hajapelekwa india siku kama nne alikuwa Arusha kwenye mkutano ,na Dr Faustine na yeye kama siku 10 nyuma alikuwa fresh tu anapiga story na wabunge wenzake na kushauriana mambo.
Msiba wa Mafuru mama ulimuumiza sana , CCM wanaelewa vema

Jamaa wanamichezo ya hovyo sana
 
Na baadhi ya magonjwa yana waganga wazuri kabisa hapahapa nchini ila hawako recognized
 
Kifo ni Kifo !! Kila mtu atapitia kifo....ulitaka afe nani uone sawa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…