Hili la kuapisha Viongozi wa Serikali kibarazani nyumbani kwa Rais limekaaje?

Huyu babu ana stress sana, namtafakari sana ila bado simwelewi vizuri.

Nina hofu baada ya Dunia kufanikiwa kuishinda CORONA tutatengwa na tutaingia kwenye kipindi kigumu zaidi kiuchumi.

Hatupendi yatokee lakini kwa hali inayoendelea tutataabika sana.

God intervene.
 
Hata mimi nilikuwa nawaza hivyo hivyo.
 
Mnachekesha sana kila kitu kupinga tu,
Kwani katiba inasemaje?

Na mnaotaka arudi Dar au Dodoma akija ndio Corona itaisha au?
 
Huyu alipaswa kuishi kua mtendaji wa kata,iko siko atahutubia kavaa taulo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnachekesha sana kila kitu kupinga tu,
Kwani katiba inasemaje?

Na mnaotaka arudi Dar au Dodoma akija ndio Corona itaisha au?
Sasa hujiulizi kwa nini baada ya kuapishwa kama Rais,hakuendelea kuishi kwake Chato ?Sasa office za serikalini za nini kama Rais anaweza kufanya kazi za serikali nyumbani au hotelini kwake ?
 
Huyo aliyeapishwa ni Mjinga Wacha tu aapishwe kibarazani, angeweza hata kuapishwa kwenye zizi la ng'ombe na bado angekenua tu meno!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…