Hili la kuapisha Viongozi wa Serikali kibarazani nyumbani kwa Rais limekaaje?

Wakati wa Dharura kama huu wa Covid -19 Kilicho mbele yako halali kukila ili kuokowa maisha.
 
Wakati wa Dharura kama huu wa Covid -19 Kilicho mbele yako halali kukila ili kuokowa maisha.
Sasa kumbe inatisha eeeh.Huku wananchi wanaambiwa waendelee na maisha yao kama kawaida.
 
Kumbuka yeye ni Rais, mtu wa mwisho wa maamuzi katika nchi, hivyo usalama wake ni kitu mhimu sana. Ni kwa sababu hiyo ana walinzi, wenye silaha kali, saa 24.

Kwa jinsi Rais anavyopendwa, akijitokeza tu kutakuwa na mkusanyiko wa watu kiasi cha kuhatarisha maisha kutokana kuambukizana COVID-19. Na kama umeangalia kuapishwa huko, hapakuwa na watu wengi, kama alivyoagiza kuacha mikusanyiko isiyo ya lazima
 
wekeni picha ya huko kibarazani
tuone
 
Tatizo letu ni Katiba.
Katiba yetu ni taka taka
Mkuu katiba yetu sio takataka ila vichwani mwetu kuna takataka. Hivi katiba inaelekeza haipaswi kubadilishwa? Au katiba inaelekeza hata waziri haruhusiwi kujiuzulu pale anapoona mambo hayaendi sawa na boss wake?
 
Umeona eeeh. Yaani mitandao inamuuza sana tena sana. Hapa hatudanganyiki kwa kweli. Mungu katupa akili,ufahamu acha tuvitumie na siyo kuendeshwa na maneno ya Magufuli.
 
Akili kichwani mwako,Ukiamua kujitenga,ni bure hatimae utatoka tu,na ukiamua kujichanganya ni bure hatimae utaikwaa corona.
Sasa kitandawili kigumu mno.
Chukuwa Tahadhari
 
Umeona eeeh. Yaani mitandao inamuuza sana tena sana. Hapa hatudanganyiki kwa kweli. Mungu katupa akili,ufahamu acha tuvitumie na siyo kuendeshwa na maneno ya Magufuli.

Ila Auntie umenishangaza ujue? Ni wewe kweli wa kusema haya? Lol
Miss you thou


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Yaani kumbe ameapishwa kwenye jamvi
 

Attachments

  • IMG_20200501_213212.jpg
    72.6 KB · Views: 7
Kweni wewe hapo kwenye ukoo wako,rafiki zako na mitaani kwenu umeshamuona mwenye amekufa kwa Corona?zaidi ya maneno tu mengi yasiyo na ukweli
Ogopa sana huyu mtu anakwambia korona sio ishu, yeye kajificha, yupo tayari mamilioni ya watu yateketee lakini apige hela tu, 2015 ilikuwa ni mistake kubwa kumpa huyu mtu kazi ya uongozi

Sent using Jamii Forums mobile app

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Mitaani umemuona nani wewe kua amekufa na Corona zaidi ya maneno mengi tu yasiyo na ukweli?sisi wote tuko nchini hapa hapa acheni uswahili,si cha ndugu,jirani,rafiki,mtaani na mitaa mingine mikoani kote tuna ndugu na marafiki,ugonjwa upo lakini hauko kama unavyo semwa bana,wanasiasa wameingilia kati kuchonganisha Serikali na makaburu matoa misaada,yamkini na wewe upo kundi hilo,jambo linavyosemwa si tungekua tunadondoka tu wala msinge kuja hapa kuongea maneno mengi maana hata muda tusingekua nao.acheni uongo na kuwatafutia watu taharuki na hofu
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…