emmanuel mruma
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,777
- 1,719
Amna si sawa mambo yakiendelea hivi hi nchi itawekwe mifukoni mwa watu, kesho atahamishia hazina na BOT kwake huu ni ujinga this is a countryPopote tu pale mtu anaapishwa. Wala sio issue sana.
Muhimu watu wafanye kazi walizotumwa kufanya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Machizi ni wale wenye kusubiri jambo lifanyike ili wapate cha kukosoa.Unamuapisha mtu uliyemtumbua na kusema hafai tena unamuapishia kibarazani kwako?!
Kaulimbiu ibadilishwe kuanzia leo iwe "Hapa uchizi tu"
Atoke chatoo.. aache kutuamimisha vitu vya ajabu.
Anasema tuchape kazi lakini anaogopa corona zaidi ya risasi.
RAIS lazima ajali maisha ya raia wake.
Unataka awe mstari wa mbele kwani yeye ni nesi au doctor?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu alikuwa anapaliwa na mate kooni siyo kikohozi au ugonjwa wa kifua.Anaonekana yuko desperate na confused. Mimi nilikua nasikiliza kupitia radio, kuna mtu alikua anakohoa mara kwa mara, ni nani?
Acha uchocheziAnaonekana yuko desperate na confused. Mimi nilikua nasikiliza kupitia radio, kuna mtu alikua anakohoa mara kwa mara, ni nani?
Popote tu pale mtu anaapishwa. Wala sio issue sana.
Muhimu watu wafanye kazi walizotumwa kufanya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema mzee anakohoaYaani leo ndo kaharibu. Anashangaa shehe aliefunga msikiti. Hajui huu ugonjwa unaambukizwa kwa watu kwa njia ya contact. Watu wakifunga misikiti ni kwa sababu wanazuia contact.
Hujaelewa mantiki yangu.Katiba inasemaje kwani kuhusu kuapisha na sheria inasemaje, usije kusema tatizo katiba kumbe hata haujawahi kuisoma
Kati ya marais wa Tanzania wanao vunja katiba ni huyu ambae ali beep simu isikatike.. Ni mambo ya aibu sana anayo fanyaTatizo sio Rais wala serikali. Tatizo ni wananchi wenyewe. Ni mambumbumbu mpaka yamepitiliza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sana yani. October tusifanye makosa.Ogopa sana huyu mtu anakwambia korona sio ishu, yeye kajificha, yupo tayari mamilioni ya watu yateketee lakini apige hela tu, 2015 ilikuwa ni mistake kubwa kumpa huyu mtu kazi ya uongozi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sana kumuapisha waziri pale hotelini kwake/kibarazani kwake J's Hotel.Kati ya marais wa Tanzania wanao vunja katiba ni huyu ambae ali beep simu isikatike.. Ni mambo ya aibu sana anayo fanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Inabd ajifunze kati ya kuwa leader na kuwa rulerHahahaha. Ndo maana kajichimbia Chato. Maana afya mgogoro.
Hapa najiuliza hivi Nyerere,Mwinyi,Mkapa,Jakaya waliwahi apisha waziri kwenye makazi yao binafsi ?Ile kauli ya Mwl . Nyerere ya kuwa IKULU NI MAHALI PATAKATIFU sijui imefia awamu ya ngapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena kiongozi ajaye wa malaika mbinguni.NILISHASEMA SIPANGIWI CHA KUFANYA, MIMI NI MTUKUFU