Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Mwakani ataondoka msiwe na shaka yote yataisha CCM ni chama makini sana, haya hayajawahi kutokea hapo kabla
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama siyo kazi yako wacha kuingilia mambo yasiyokuhusu utapata yasiyokuridhi.Siyo kazi yangu kuelewa
Wewe kama nani?Kama siyo kazi yako wacha kuingilia mambo yasiyokuhusu utapata yasiyokuridhi.
Labda umaarufu wa urojo! Ka nchi maskini kuliko hata mkoa wa Lindi! Nje ya muungano Zanzibar watakufa njaa!Zanzibar ni nchi yenye historia pana kuliko hata Tanganyika na sio historia tu mpaka umaarufu.
Nilipo sema Samia amekuja kuimaliza Tanzania, sikukosea hata neno moja.Tumeona picha ya ujumbe wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ukiwa katika kikao huko China unavibao viwili. Kimoja kimeandikwa Tanzania na zingine kina wajumbe wameweka Bangor akiwa kibao cha Zanzibar. Hizi ndio Sera ya Nchi yetu sasa, baada ya kupata Waziri Mpya wa Mambo ya Nje au ilikuwepo kabla. Na nini tafsiri yake kimataifa na ndani ya nchi
Pia soma:Nchi zilizoungana ni Tanganyika na Zanzibar, kwanini Zanzibar ipo na sisi ni Tanzania bara, kwanini wasioitwe Tanzania Visiwani?
Kwani itakuwa bado ipo hiyo nchi hapo atakapo malizana na kazi anayoifanya?Huyo chura kiziwi wenu ataiacha hii nchi vipande vipande
Mkuu, Erythro', ninakuamini sana kwa kazi hii; tafadhali ninakuomba picha hiyo muhimu uiweke mahala salama.😆😆😆😆😆😆😆😆
Inawezekana pia, ila swali dogo tu,Labda umaarufu wa urojo! Ka nchi maskini kuliko hata mkoa wa Lindi! Nje ya muungano Zanzibar watakufa njaa!
Viongozi ndio watuambie wana maslahinganinna Zanzibar! Hakuna mwananchi wa kawaida anautaka huo muungano.Inawezekana pia, ila swali dogo tu,
zenji wanataka kuvunja muungano, sasa kwanini bara wanaulazimisha? Hapo tu,
Nikieleweshwa hapa tu basi kweli nitaamini zenji wanaenda kufa njaa
Hussein Mwinyi ni raisi wa nchi gani?Bendera yake ipoje? Ina kiti UN?
Mimi ndio nimeileta humu JFMkuu, Erythro', ninakuamini sana kwa kazi hii; tafadhali ninakuomba picha hiyo muhimu uiweke mahala salama.
Aaaah. Kumbe?Mimi ndio nimeileta humu JF
Pascal Mayalla unasemaje hapa?Tumeona picha ya ujumbe wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ukiwa katika kikao huko China unavibao viwili. Kimoja kimeandikwa Tanzania na zingine kina wajumbe wameweka Bangor akiwa kibao cha Zanzibar. Hizi ndio Sera ya Nchi yetu sasa, baada ya kupata Waziri Mpya wa Mambo ya Nje au ilikuwepo kabla. Na nini tafsiri yake kimataifa na ndani ya nchi
Pia soma:Nchi zilizoungana ni Tanganyika na Zanzibar, kwanini Zanzibar ipo na sisi ni Tanzania bara, kwanini wasioitwe Tanzania Visiwani?
Sasa ni wakati mzuri WA kutekeleza riporti ya Nyalali, Kisanga na ya Warioba juu ya Muungano, WA Sirikali,3 , Mbili za Wanaoungana yaani ya Tanganyika (Tanzania Bara) ya Tanzania Visiwani (Zanzibar) na ya Muungano.Huyu bibie (Mama Samia Suluhu Hassan), Mzanzibari na Kaimu Rais wa Tanganyika, anashindwa nini kutumia mamlaka yake ya U - Rais kuamuru mchakato wa kukamilisha uandaaji wa katiba mpya kuendelea...?
Iweje anataka kusababisha sintofahamu isiyo na sababu kwa kukiuka na kuvunja katiba kwa kuipa Zanzibar vitu na mambo yasiyokuwepo ktk makubaliano ya muungano kwa kupitia mlango wa nyuma wakati ana fursa ya kuyafanya kuwa halali kikatiba...?
Awape Zanzibar mamlaka kamili. Na sisi Watanganganyika tunataka Tanganyika yetu irudi haraka sana kutoka huko ambako CCM imeificha....!!
Hivi ni vitu vidogo, kuna nchi nyingi kabla ya Muungano zilikuwa na ubalozi Tanganyika na ubalozi Zanzibar, baada ya Muungano, nyingi zilifunga balòzi zake za Zanzibar na kubaki za Tanganyika zilizogeuka za Tanzania, miongoni mwa nchi ambazo hazikufunga ubalozi wake Zanzibar ni pamoja na yale mataifa makubwa matano yenye veto UN, Marekani, Urusi, Uingereza, Ufaransa na China, India pia haikufunga, bali walizigeuza balozi hizo kuwa balozi ndogo. Nchi hizi zinai treat Zanzibar with a special treatment of autonomous, hivyo wakitoa mualiko Tanzania inàalikwa kama nchi Tanzania na Zanzibar inaalikwa kama autonomous part of Tanzania hivyo kila mtu na mwaliko wake na kibao chake, bali Tanzania kama nchi ni nchi moja tuu, JMT!.Pascal Mayalla unasemaje hapa?
Sawa nchi ni moja kaka, heshima kwako.Hivi ni vitu vidogo, kuna nchi nyingi kabla ya Muungano zilikuwa na ubalozi Tanganyika na ubalozi Zanzibar, baada ya Muungano, nyingi zilifunga balòzi zake za Zanzibar na kubaki za Tanganyika zilizogeuka za Tanzania, miongoni mwa nchi ambazo hazikufunga ubalozi wake Zanzibar ni pamoja na yale mataifa makubwa matano yenye veto UN, Marekani, Urusi, Uingereza, Ufaransa na China, India pia haikufunga. Nchi hizi zinai treat Zanzibar with a special treatment of autonomous, hivyo wakitoa mualiko Tanzania inàalikwa kama nchi Tanzania na Zanzibar inaalikwa kama autonomous part of Tanzania hivyo kila mtu na kibao chake.
Nchi ni moja tuu, JMT!.
P
Hivi ni vitu vidogo, kuna nchi nyingi kabla ya Muungano zilikuwa na ubalozi Tanganyika na ubalozi Zanzibar, baada ya Muungano, nyingi zilifunga balòzi zake za Zanzibar na kubaki za Tanganyika zilizogeuka za Tanzania, miongoni mwa nchi ambazo hazikufunga ubalozi wake Zanzibar ni pamoja na yale mataifa makubwa matano yenye veto UN, Marekani, Urusi, Uingereza, Ufaransa na China, India pia haikufunga. Nchi hizi zinai treat Zanzibar with a special treatment of autonomous, hivyo wakitoa mualiko Tanzania inàalikwa kama nchi Tanzania na Zanzibar inaalikwa kama autonomous part of Tanzania hivyo kila mtu na kibao chake.
Nchi ni moja tuu, JMT!.
P
Sababu ni moja tuu, they are the minority!. Muungano ni wa nchi mbili zenye equal status, kuungana na kuunda nchi moja ya JMT yenye uraia mmoja tuu wa Tanzania, kwa vile Tanganyika ni giant na Zanzibar ni minutes, itaonekana kama Zanzibar imemezwa na Tanganyika, Tanganyika ni the majority na Zanzibar ni the minority, Mwalimu Nyerere akaamua Tanganyika ndio ife, Zanzibar ibaki with its internal autonomous.Sawa nchi ni moja kaka, heshima kwako.
Kwa maoni yako kwa nini chetu ni chao na chao ni chao, mfano ajira na kumiliki Ardhi.