Hili la Maalim Seif kupatikana na maambukizi ya COVID19 linatia ukakasi. Ni aibu kubwa kwa Serikali yetu

Kwanza kabisa limewashutua watu wengi sababu kwa mujibu wa muongozo utoji taarifa ni Rais,waziri mkuu au waziri wa afya, kwa nini hawajatupa taarifa kuwa kuna maabukizi ya covid 19 hapa nchini?

Ok fine kama kiongozi wa serikali ambae ni makamu wa kwanza wa rais Zanzibar amepata Covid 19,je muuza vitumbua huko forodhani Zanzibar? Je, haiwezi kuwa imeshavuka mpaka Dar es salaam maana kuna muingiliano mkubwa wa watu kati ya Zanzibar na Dar es salaam.

Kwa nini serikali ya rais JPM haitaki kutupa ukweli kuwa kuna maambukizi ya Covid 19? Mnataka yaliyotokea Brazili yatokee hapa Tanzania? Maana kama kuna maambukizi kwa nini tusiambiwe ukweli ili tuchukue tahadhali kwa hali ya juu?

Watanzania tuchukue hatua kujilinda maana tutapukukutika kama njugu. Maana kama viongozi wakubwa wanapata maambukizi alafu serikali inafanya siri,je sisi makabwela tukipata maambukizi tutaweza kutoboa?
Korona ni ugonjwa kama ugonjwa mwingine,ndio maana Magufuli aliwambia tujifunze kuishi nao kama magonjwa mengine,ndio maana umesikia mahalimu anaumwa yuko anapiga malimau baada yasiku tatu àtakuwa mtaani anadunda kazi inaendelea.
 
Sawa,lakini tunataka kuambiwa ukweli kuwa kuna maambukizi hapa Tanzania.
 
NI ugonjwa wa kawaida ila HOFU NDO ITAWAMALIZA.
1.paul dybala aliumwa kapona.
2.rolnado aliumwa kapona.
3.mo salaah aliumwa kapona n.k
Kama Kinga zako za mwili NI DHAIFU lazma utaichukia Corona na kupanic.
Malimao yapo tangawizi zipo.
Chaguo ni lako.
Wewe huna akili,ndio maana umekiri ni mjinga.
 
Kwanza kabisa limewashutua watu wengi sababu kwa mujibu wa muongozo utoji taarifa ni Rais,waziri mkuu au waziri wa afya, kwa nini hawajatupa taarifa kuwa kuna maabukizi ya covid 19 hapa nchini?

Ok fine kama kiongozi wa serikali ambae ni makamu wa kwanza wa rais Zanzibar amepata Covid 19,je muuza vitumbua huko forodhani Zanzibar? Je, haiwezi kuwa imeshavuka mpaka Dar es salaam maana kuna muingiliano mkubwa wa watu kati ya Zanzibar na Dar es salaam.

Kwa nini serikali ya rais JPM haitaki kutupa ukweli kuwa kuna maambukizi ya Covid 19? Mnataka yaliyotokea Brazili yatokee hapa Tanzania? Maana kama kuna maambukizi kwa nini tusiambiwe ukweli ili tuchukue tahadhali kwa hali ya juu?

Watanzania tuchukue hatua kujilinda maana tutapukukutika kama njugu. Maana kama viongozi wakubwa wanapata maambukizi alafu serikali inafanya siri,je sisi makabwela tukipata maambukizi tutaweza kutoboa?
Inawezekana Maalim Seif ni Mpagani , hana Mungu ndio maana ile baraka ya kufukuza corona iliyotoka kwa mungu wa ccm yeye hakuipata
 
Kwanza kabisa limewashutua watu wengi sababu kwa mujibu wa muongozo utoji taarifa ni Rais,waziri mkuu au waziri wa afya, kwa nini hawajatupa taarifa kuwa kuna maabukizi ya covid 19 hapa nchini?

Ok fine kama kiongozi wa serikali ambae ni makamu wa kwanza wa rais Zanzibar amepata Covid 19,je muuza vitumbua huko forodhani Zanzibar? Je, haiwezi kuwa imeshavuka mpaka Dar es salaam maana kuna muingiliano mkubwa wa watu kati ya Zanzibar na Dar es salaam.

Kwa nini serikali ya rais JPM haitaki kutupa ukweli kuwa kuna maambukizi ya Covid 19? Mnataka yaliyotokea Brazili yatokee hapa Tanzania? Maana kama kuna maambukizi kwa nini tusiambiwe ukweli ili tuchukue tahadhali kwa hali ya juu?

Watanzania tuchukue hatua kujilinda maana tutapukukutika kama njugu. Maana kama viongozi wakubwa wanapata maambukizi alafu serikali inafanya siri,je sisi makabwela tukipata maambukizi tutaweza kutoboa?
Kwa maelezo zaidi clip hii hapa
 
Ahaaaa, ndugu mamlaka za kutupa taarifa zimetudanganya? Kutumika na nani?
Juzi ulimuunga mkono magu kwa kauli yake kuwa hakuna korona! Leo imekuwaje unalamba matapishi yako?
Wewe na johnthebapist ni mtu mmoja mwenye Id tofauti? Kama sivyo Basi ninyi ni mapacha wa unafiki!
Mlipaji mkuu wa ccm polepole anakuzoom tu na huenda ukatolewa kwenye payroll soon! Andika masifa ya ccm na awamu ya 5 acha kuinyooshea kidole!
 
Unao uhakika na unachoandika?
 
Sawa,lakini tunataka kuambiwa ukweli kuwa kuna maambukizi hapa Tanzania.
Kwani ukijua itakusaidia nini?chakujua kuwa corona hipo duniani chukua tahadhari,nunua malimau/tangawizi,au jifungie ndani kwako, lakini jua corona nikama ugonjwa mwingine tu,wanaopona niwengi Sana kuliko wanaokufa
 
Huna akili timamu,udhani Usa na Brazil hakuma malimau na tangawizi?
 
Unataka uambiwe na Nani?mlinzi wa afya yako wa kwanza niwewe mwenyewe,mwenye macho haambiwi tazama, chukua tahadhari mkuu
Covid 19 ni ugonjwa mtambuka. Kama unadhani utajilinda mwenyewe unajidanaganya. Lockdown zimefanyika ulaya na Usa lakini wamekwama.
 
Kwanza kabisa limewashutua watu wengi sababu kwa mujibu wa muongozo utoji taarifa ni Rais,waziri mkuu au waziri wa afya, kwa nini hawajatupa taarifa kuwa kuna maabukizi ya covid 19 hapa nchini?

Ok fine kama kiongozi wa serikali ambae ni makamu wa kwanza wa rais Zanzibar amepata Covid 19,je muuza vitumbua huko forodhani Zanzibar? Je, haiwezi kuwa imeshavuka mpaka Dar es salaam maana kuna muingiliano mkubwa wa watu kati ya Zanzibar na Dar es salaam.

Kwa nini serikali ya rais JPM haitaki kutupa ukweli kuwa kuna maambukizi ya Covid 19? Mnataka yaliyotokea Brazili yatokee hapa Tanzania? Maana kama kuna maambukizi kwa nini tusiambiwe ukweli ili tuchukue tahadhali kwa hali ya juu?

Watanzania tuchukue hatua kujilinda maana tutapukukutika kama njugu. Maana kama viongozi wakubwa wanapata maambukizi alafu serikali inafanya siri,je sisi makabwela tukipata maambukizi tutaweza kutoboa?
Hivi hata wewe unatuuliza swali hilo humu jukwaani,kusifia kumeisha.Au hoja ni nini hasa.
 
Huna akili timamu,udhani Usa na Brazil hakuma malimau na tangawizi?
Sawa Sina akili,kwaiyo unataka watu wafanyeje? maana hata huko mnaowategeme awana dawa ya corona,hayo malimau unayoyadharau yameisha saidia wengi sana Ndio maana unaona kwetu corona sio tishio tena,ila jifunze kuandika vizuri.
 
Back
Top Bottom