Hili la maambukizi ya ajabu ya COVID-19 litapita na mtabaki mmeumbuka

Mungu yupo na sisi.
Mungu sio mjinga Ndugu yangu! Kasome maandiko ya akina Mfalme Naamani aliyekua na ukoma. Kuna very special cases ambazo Mungu yeye mwenyewe hutenda miujiza ya Uponyaji na mengine. Mungu hashurutishwi na Wana siasa, tusimdhihaki Mungu, ametupa akili tuzitumie, tusizitumie kwenye kuibia kura tu
 
Acha ujinga na propaganda za Uccm.
Corona is there to stay. Kinachotakiwa ni Magufuli kuacha mkwara mbuzi akubaliane na matakwa ya WHO ambayo Tanzania kama nji imesaini kuridhia mikataba ya Kimataifa kulinda Afya za Watz na Dunia kwa ujumla.
 
Nani huyo unaemsema? Kwani Mbowe alipohojiwa Aljazeera mwaka jana na kusema Dar wanakufa watu 30 elfu kwa siku hamkujua kuwa kuna vifo vingetokea? Mungu alikuwa pamoja na Tanzania.
 
Hakuna mwanasiasa anayemshurutisha Mungu. Watanzania wanamuomba Mungu.
 
Acha ujinga na propaganda za Uccm.
Corona is there to stay. Kinachotakiwa ni Magufuli kuacha mkwara mbuzi akubaliane na matakwa ya WHO ambayo Tanzania kama nji imesaini kuridhia mikataba ya Kimataifa kulinda Afya za Watz na Dunia kwa ujumla.
Wewe ndio mjinga na mpumbavu. Wapi imeandikwa kwa kuwa Tanzania ni mwanachama wa WHO basi tukubaliane na dawa au chanjo hata kama zima madhara? Pumbavu.
 
Mungu sio wa kuchezea! Tutumie akili hata kama ni ndogo, ni zetu! Tutumie kutatua changamoto zetu huku tukimuomba! Nenda kasome kwenye Bible Kisa cha wale Washkaji waliokua na Ukoma, hawakukaa pale, waliamua kuondoka kwa "imani" hawakubaki pale ili Mungu awatendee muujiza pale, no walichukua hatua!

Kwenye hii Corona, issue ya ku-relax na kujiaminisha kuwa tuko salama, ni kumjaribu Mungu wetu. Mungu hajaribiwi
 
Nani amerelax? Tunasali kumuomba Mungu mchana na usiku. Kumbuka hata mizimu ya mababu tunaiomba pia.
 
Wewe kama Mtanzania siyo Mtanzania ni Mgeni Raia tokea mbali kwani hutaki kuona watanzania wanaanza kunawa mikono kupaka vitakasa mikono kuvaa barakoa kwa bidii kama awali Mbona waziri wa Afya wa Zamani alizuia mpaka salam za kushikana mikono? Huyu waziri wa sasa Hataki hata kuhamasisha tahadhari
 
Nani amekuambia haya?
 
Unajidanganya, chukua tahadhali. Rais awali alikana kwa nguvu zote gonjwa hilo halipo, maombi yameliteketeza. Juzi ulimi uliteleza akakiri ipo, tena ya ajabu na imeletwa na walio enda kuchanjwa nje ya nchi. Amesahau kuwa mipaka ya nchi ya anga na nchi kavu iko wazi na waingiao wanashukuriwa kwa kutovaa barakoa.
 
None of your business.
Sasa kama uliona hatuna business na huu ugolo wako umeleta humu wa nini? Hakuna group la chama chenu huko ili mjadiliane hotuba za mtukufu wenu? Au unadhani kujibalaguza huna chama kunatosha kutidanganya wewe siyo mwanachama wa Zuzu Party?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…