Hili la nauli Serikali iliangalie upya yaani ongezeko la Tsh 15,000/ kweli!? Nauli kutoka 38,000 hadi 53,000 jamani kweli!? Mbona mmekuwa wabinafsi?

Mwamba mmoja alisema mtanikumbuka kwa yale mazuri sio kwa yale mabaya !!
Aliyeshiba siku zote huwa hamjui mwenye njaa !!
Muda utaongea !!
 
Kama TISS ni Wazalendo,Mpango angekabidhiwa nchi alafu mengine tutajadili baadaye!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Watanzania wako busy na kuzomeana kati ya simba na yake nani anaafadhali .acha ifiki hata 120000

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Na itafika tu na zaidi ya hiyo !!
Latra ! Latra ! Hii latra angepewa Mzee David Mwaibula awape somo japo yeye ni mstaafu !!
Nashangaa wastaafu wa kazi za siasa eti ndio huwa wanapewa kazi nyinginezo hata kama walishastaafu kitambo !!!
 
Machawa ndo wameifikisha hapa tz.

Kwenye mambo ya msingi km haya akina MAYALA et al huwezi kuwaona wakikemea, Ila nambo ya hovyo hovyo ndo utawaona wakishadadia.
 
Latra awawezi toa maamuzi bila baraka ya Rais Samia! Nauli mpya zina baraka za Rais Samia ndio maana yupo kimya!
 
Madala5 mengi wamiliki ni wafanyakz wa Ratra
 
Exactly,mkuu wa Laa-tla ana madala5 pia
 

Kama:

1. Mafuta bei juu; tuko kimya.

2. Mabasi yafungwe vig'amuzi Kwa gharama zao; tuko kimya.

3. Walipie gharama za ving'amuzi kwa mwezi; tuko kimya.

4. Kelele za uwapo wabrashi viatu majiani; tuko kimya.

5. Wanunue machine za tiketi mtandao; tuko kimya.

6. Walipie gharama za kuendeshwa tiketi mtandao mwezi kwa mwezi; tuko kimya.

7. Kelele za Kodi, kubambikiziwa faini, wapiga debe, nk; tuko kimya.

Tutegemee maajabu yapi kwenye nauli?

Nashauri bei ziongezwe mara dufu tupate kujitambua!
 
Ester - Mwigulu - WF
Shabiby- Shabiby - MP
Abood - Abood - MP
Kimbinyiko - Ndugai - MP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…