Hili la nauli Serikali iliangalie upya yaani ongezeko la Tsh 15,000/ kweli!? Nauli kutoka 38,000 hadi 53,000 jamani kweli!? Mbona mmekuwa wabinafsi?

Toa mfano badala ya kudanganya.Nauli zimeongeseka kwa.wastani wa sh.5,000-13,000 kulingana na umbali.

Yaani ulipe nauli wewe harafu useme Rais anakombolewa? Na sio kweli kwamba Rais hafuatilii ,mbona miamala na mafuta alipunguza bei? Aliyekudanganya hafuatilii ni nani?

Mwisho umeambiwa kama unaona nauli kubwa tembea Kwa miguu au nunua chombo chako
 
Alaa kwamba kipindi Cha Mwendazake nauli hazikupanda au? Mwisho unataka usafiri kwenye gari ya nani harafu ulipe nauli unavyotaka wewe?
 
Wewe ulitakaje?
 
Wanamiliki vituo vya mafuta (Filling Stations) ndio hao hao na wengine wanamiliki mabasi au vyombo vya usafiri.
Wao hawatumii sana usafiri huo ambao sisi tunatumia. Wanajua hakuna mwananchi mwenye akili ya kuwawajibisha
 
Wakiwapita na mavxr yao wakiwa ndani wakipigwa kiyoyozi nyie mkiwa kwenya mabasi mmebanana,na kujambiana wanawazomea [emoji1]
Wanasema waoneni wale mafal....waleeee

Ova
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Machawa katika ubora wao ......
 
Wanamiliki vituo vya mafuta (Filling Stations) ndio hao hao na wengine wanamiliki mabasi au vyombo vya usafiri.
Wao hawatumii sana usafiri huo ambao sisi tunatumia. Wanajua hakuna mwananchi mwenye akili ya kuwawajibisha
Wewe ulitakaje? Umekatazwa Kumiliki ?
 
Ttzo lenu wananch mnaposikia bei za mafuta zimepanga huwa mnazani waathilika ni wamiliki wa vyombo vya usafiri tu kumbe wote tuna athilika

Unakuta mtu mzma kabsa anajitoa akili “ wacha mafuta yapande kwan mm namiliki gar au pikipik” sasa bei znapokuja kupanda ndo tunastuka mi nazan mlipe tu izo nauli ili mjifunze kuhoji

Lakin pia izi bei kupanda zitatupunguzia ndugu lawama wanaokujaga kusalimu kipind hiki cha skukuu
 
Hakika mkuu binafsi hata nguvu la kulalamika nakosa kwa haya maumivu wanayotusurubu nayo
 
Hii Nchi imekuwa ni kama ng'ombe aliyekatwa kichwa.......tunajiendea tu

Suala la kupanda kwa gharama za Nauli tulijua lazima tutafika huku. Shida kubwa ililetwa na kupanda kwa bei ya Mafuta (Fuels).

Ajabu gharama za Dizeli/Petrol huku kwetu ni kubwa kuliko hata hapo Zambia japo wao wanapitisha mafuta yao kupitia Tanzania
 
Unaropoka tuu ,unajua gharama za maisha zilivyo Zambia wewe? Unajua kwamba watu wa Zambia Wanalia.kwa ugumu wa Maisha sio tuu mafuta kuanzia vyakula bei ziko Juu na hawamtaki huyo Rais aliyetokea upinzani kama Machadema yanavyowadanganya?

Yaani wewe Kwa akili Yako unadhani Wanasiasa wanatafuta madaraka kukusaidia wewe au?
 
Huo ndio upuumbavu wako/wenu.... Mnaona kila anayekosoa ni Chadema .... pathetic
Machadema nyie ni mapunguani na hamjielewi.

Kwa kichwa chako hicho unachofugia nywe unadhani kuja siku Machadema yatakusaidia wewe uwe na maisha mazuri au?

Kuelewa hutaki hata mifano kwenye Nchi zilizochagua Wapinzani kipi Cha maana wamewaletea zaidi ya kuzidisha ugumu wa Maisha? Pole kukosa akili ni kama ugonjwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…