Hii habari ambayo inawataka wanasiasa wapeleke hotuba zao wazipitie kabla ya kuzitoa kwenye majukwaa, inania ya kukomaza demokrasia au kuifuta demokrasia?
Hii ni dalili ya mwisho kabisa ya kushindwa kwa Jeshi la Polisi, tangu lini Watu wanaopiga kampeni za kwenye mikutano ya hadharani hotuba zao zikawa zimeandikwa?
Hii habari ambayo inawataka wanasiasa wapeleke hotuba zao wazipitie kabla ya kuzitoa kwenye majukwaa, inania ya kukomaza demokrasia au kuifuta demokrasia?
Hii habari ambayo inawataka wanasiasa wapeleke hotuba zao wazipitie kabla ya kuzitoa kwenye majukwaa, inania ya kukomaza demokrasia au kuifuta demokrasia?
Bungeni wapangiwe cha kusema, kwenye mikutano ya hadhara pia? Hii habari ina walakini...labda wataikanusha au labda mtoa mada anapima upepo kwa niaba yao hao Polisi.