Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Polisi huwa hawatumii akiliHii habari ambayo inawataka wanasiasa wapeleke hotuba zao wazipitie kabla ya kuzitoa kwenye majukwaa, inania ya kukomaza demokrasia au kuifuta demokrasia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Polisi huwa hawatumii akiliHii habari ambayo inawataka wanasiasa wapeleke hotuba zao wazipitie kabla ya kuzitoa kwenye majukwaa, inania ya kukomaza demokrasia au kuifuta demokrasia?
Mambo ya hovyo snHii ni dalili ya mwisho kabisa ya kushindwa kwa Jeshi la Polisi, tangu lini Watu wanaopiga kampeni za kwenye mikutano ya hadharani hotuba zao zikawa zimeandikwa?
Hii itahusu mpaka hotuba za viongozi wa Ccm ?Hii habari ambayo inawataka wanasiasa wapeleke hotuba zao wazipitie kabla ya kuzitoa kwenye majukwaa, inania ya kukomaza demokrasia au kuifuta demokrasia?
Hii habari ambayo inawataka wanasiasa wapeleke hotuba zao wazipitie kabla ya kuzitoa kwenye majukwaa, inania ya kukomaza demokrasia au kuifuta demokrasia?
Sawa, ila sawa na mwalimu kutunga na kufanya testi kisha sahihisha mwenyewe.Hii itahusu mpaka hotuba za viongozi wa Ccm ?