Tetesi: Hili la Polisi kupitia hotuba za wanasiasa kabla ya kuwahutubia wananchi ni udikteta au kulinda 4R?

Tetesi: Hili la Polisi kupitia hotuba za wanasiasa kabla ya kuwahutubia wananchi ni udikteta au kulinda 4R?

Hii habari ambayo inawataka wanasiasa wapeleke hotuba zao wazipitie kabla ya kuzitoa kwenye majukwaa, inania ya kukomaza demokrasia au kuifuta demokrasia?
Hii itahusu mpaka hotuba za viongozi wa Ccm ?
 
Bungeni wapangiwe cha kusema, kwenye mikutano ya hadhara pia? Hii habari ina walakini...labda wataikanusha au labda mtoa mada anapima upepo kwa niaba yao hao Polisi.
 
Back
Top Bottom