Hili la vibali vya kazi Rais ashauriwe zaidi

Lakini hela so ulikuwa unapata we unahangaika nini sasa
 
Lakini hela so ulikuwa unapata we unahangaika nini sasa
Nikweli tena dola 300 kila kibali, kilichokuwa kinaniuma ni wale jamaa kuja wakiwa hawajui kitu na naona wanapewa mshahara mzuri kuliko local employees
 
Muacheni Samia afanye yanayotakiwa na uatakayoleta tija. Magufuli aliwachukia Wakenya ndipo akam block yule Dada wa Kenya aliyekuja kufanya kazi kama CEO. Magufuli alikuwa anachukulia vitu very personal na wala siyo kwamba alikuwa anajali ajira za Watanzania.

Thereafter Vodacom wakamleta Mmisri, na yupo mpaka leo.

Laiti Magufuli angekuwa anajali ajira za Watanzania angeanza yeye kwanza kuajiri, na siyo kutegemea mwekezaji aje hapa na aajiri Watanzania.

MAUJINGA ya Magufuli tumemzika nayo Chato siku ile ya tarehe 26/ 03/ 2021, na kuanzia kesho hatutaki kumuona tena kwenye TV na radio
 
Mimi sipingi kauli
Natamani iwepo clarification..
Je wageni waajiriwe bila kujali idadi?
Au usimamizi uwepo kama enzi za JK..
Rais amesema wawili watatu ,na utaratibu uwekwe vizuri
 
Sipingani na wewe,ila hiyo namba mbili Magu alidhibiti sana,huwezi kulipa hela nje kama huyo mtu hana Work Permit,pale BOT haipiti hata kwa dawa,lazima uambatanishe Work Permit na Employment Contract,na mabenki wanaogopa sana,zamani ilikuwa mfanyakazi anakuja hana Work permit ila mshahara wake mnatuma account ya nje
 
Hahahaha, jamani huyu Khumbu ananifaya nionekane sijui dunia inakwendaje. Sawa mkuu nimekuelewa.
 
I'm a living example. Nimefanya kazi inayolingana na elimu yangu na kulipwa mshahara unaolingana na elimu yangu kama wanavyolipwa wazawa. Mimi tu na stress zangu niliamua kuacha kazi na kurudi Bongo. Na kuna mtanzania mmoja alikuwa dakitari ameajiriwa kama dakitari na anakula mshahara mkubwa tu kama wazawa na amefungua hospital yake binafsi.
 
Kuna utaratibu wa mgeni akisajili kampuni brella lazima shareholder mmojawapo awe mtanzania bila kujali unamtaka au humtaki, unamjua au humjui ana vigezo vyako vya kampuni au hana

Na nimeshashuhudia makampuni mawili ya wageni mpaka sasa, inawapa usumbufu mkubwa sana

Nadhani mama alikuwa anamaanisha huu utaratibu
 
Uko sahihi wao wataje tu idadi basi kuwa lete idadi fulani basi yeye mwenyewe ndie atajua nani amuweke nafasi ipi awr kasoma au la shaiti yake mtaji wa kwake
 
Nikweli tena dola 300 kila kibali, kilichokuwa kinaniuma ni wale jamaa kuja wakiwa hawajui kitu na naona wanapewa mshahara mzuri kuliko local employees
Kampuni ya kwao mfano umeajiriwa kampuni private IPP unataka ulipwe mshahara sawa na watoto wa Mengi au ndugu zake aliowaajiri hata kama hawajui kitu wewe ndio unawaelekeza?
 
Nikweli tena dola 300 kila kibali, kilichokuwa kinaniuma ni wale jamaa kuja wakiwa hawajui kitu na naona wanapewa mshahara mzuri kuliko local employees
Kwani Chama na Mkude pale Simba wanalipwa mshahara sawa???
 
Uko sahihi wao wataje tu idadi basi kuwa lete idadi fulani basi yeye mwenyewe ndie atajua nani amuweke nafasi ipi awr kasoma au la shaiti yake mtaji wa kwake
YEHODAYA umekuwa na akili sana sasaivi. Kweli naanza kuuona uzalendo wako na mapenzi yako mazuri kwa Tanzania.

Hili suala halihitaji hata kutumia nguvu, ni akili tu, mwekezaji wa kigeni apewe tu namba/ idadi ya wageni anaotakiwa kuwaajiri na mamlaka zisimamie hapo tu. Suala la anaajiri mtu alafu mamlaka zinaanza kusema huyu hafai, huyu anafaa wala sio sahihi!! Kikubwa awe amekidhi kigezo cha namba ya watu wa nje anaopaswa kuwaajiri tu!!
 
Kuanza kwako kunaonesha u r desparate fool uliechelewa maisha sasa unatafta pa kufia, kama una akili tafta kazi upate sio kulialia wageni wanakuzibia wakati bogus dunia haina titi la kukunyonyesha ingia msituni winda au olewa ule bure...
Duh......
 
Hii comment ingefutwa please!! Aliyeandika aonywe.
 
Kuna sehemu wageni ni lazima wawepo na kuna wengine ni uozo... wawekezaji leteni vichwa na sio mazumbukuku... ajira na vipesa vidogo dogo na bata tumepoteza sana.. raha ya wageni mnapiga stoey za kiingeleza sio wakibongo full kiswahili ulizingua anakuzingua
 
Ameshasema Kampuni binafsi... ni zao... waachwe inakuuma nini? Kafungue ya kwako upangiwe kama utasikia raha!
 
Pigo kubwa kwa Wachaga na Wahaya... maana utelezi unaelekea kupotea
 
Tatizo tulizoea ubabe
Ile hali ya kusimangwa bado haijaondoka
Tutaelewa rmtaratibutaratibu
 
Kuna sehemu wageni ni lazima wawepo na kuna wengine ni uozo... wawekezaji leteni vichwa na sio mazumbukuku...
Mwekezaji mtaji wake akileta mazumbukuku wewe kinakuuma nini yeye anajua sababu anakuja kuwekeza apate faida hajaja kucheza ngoma ya mdumange Wewe usimpangie alete nani .Mpe tu idadi walete kadhaa basi alete mazumbukuku shauri yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…